Uwezo wa ajabu na wa kipekee alionao Christiano Ronaldo

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,720
10,216
1705037750671.jpg
Cristiano ronaldo ana uwezo mkubwa wa kufunga magoli kutokana na uwezo wa ajabu alio nao, Ronaldo anafunga magoli ya kichwa kwa kuruka juu mpaka meter 2.95 ,binadamu wa kawaida anaruka mpaka meter 1.8 ..Alex ferguson alishawahi sema "Nilimlaumu evra kwann hakumzuia ronaldo, lakini baada ya kuangalia marudio nilijiona mjinga, kichwa cha Evra kilikuwa kwenye magoti ya Ronaldo."

Bike cycle ama Cristiano Ronaldo ana uwezo wa kujipinda angani usawa wa meter 2.3, alifanya hivyo dhidi ya Juventus kwenye fainal ya UEFA.

Ronaldo ana uwezo wa kuganda hewani, amekuwa akifanya hivi mara nyingi huwa anasubiri mpira angani kwa sekunde 1.5, binadamu wa kawaida anauwezo wa kuganda angalau sekunde 0.53, mchezaji wa basketball anakaa hewani kwa sekunde 0.93.

Wasayansi walimfanyia majaribio wakagundua Ronaldo ana uwezo wa kufunga goli kwenye giza,
hiki kitendo kinaitwa subconcious yani Ronaldo ana uwezo wa kufunga goli bila kuangalia mpira ulipo wala kufikiri.

Now you know!
 
Ile HEDA anawafunga man u, nahisi patrice evra alikuwa amepinda kidogo.

Sipingi uwezo wa jini ronaldo ila story nyingine za kwenye kahawa hizi huwa naita.
 
Kuna game sijui ni atalanta wale, sikumbuki vizuri, kipindi yupo juventus alipiga ndosi moja matata saana,
Hivi ile game morroco vs portugal, striker wa morroco Youssef En-Nesyri aliruka umbali gani,
 
Chrstiano Ronaldo ni mchezaji mzuri kwenye kufunga magoli hasa magoli ya vichwa na ya free kick alipokuwa kijana mdogo manchester united

Ila magoli yake mengi sio bora ni kusukumiza mpira wavuni

Ni kweli chirstiano ronaldo ni mfungaji bora sana ila sio mchezaji bora

Huwa nagadhabika sana watu wanapimlinganisha na Messi

Mtu ambaye ametuumiza wapenda mpira ni neymar
Huyu mtoto tulimfaidi kwa misimu miwili tu barcelona akaanza ujinga

Laiti neymar angewekeza uwanjani hata kwa 80%tu ronaldo asingefikia hata nusu ya uwezo wa neymar
 
laiti au sio?
 
View attachment 2869319
Cristiano ronaldo ana uwezo mkubwa wa kufunga magoli kutokana na uwezo wa ajabu alio nao , Ronaldo anafunga magoli ya kichwa kwa kuruka juu mpaka meter 2.95 ,binadamu wa kawaida anaruka mpaka meter 1.8 ..Alex ferguson alishawahi sema "nilimlaumu evra kwann hakumzuia ronaldo ,lakini baada ya kuangalia marudio nilijiona mjinga , kichwa cha Evra kilikuwa kwenye magoti ya Ronaldo"

(bike cycle )Cristiano Ronaldo ana uwezo wa kujipinda angani usawa wa meter 2.3 , alifanya hivyo dhidi ya Juventus kwenye fainal ya UEFA

Ronaldo ana uwezo wa kuganda hewani ,amekuwa akifanya hivi mara nyingi huwa anasubiri mpira angani kwa sekunde 1.5 , binadamu wa kawaida anauwezo wa kuganda angalau sekunde 0.53 , mchezaji wa basketball anakaa hewani kwa sekunde 0.93

wasayansi walimfanyia majaribio wakagundua Ronaldo ana uwezo wa kufunga goli kwenye giza ,
hiki kitendo kinaitwa subconcious yani Ronaldo ana uwezo wa kufunga goli bila kuangalia mpira ulipo wala kufikiri

Now you know

IMG_6266.jpg
 
Chrstiano Ronaldo ni mchezaji mzuri kwenye kufunga magoli hasa magoli ya vichwa na ya free kick alipokuwa kijana mdogo manchester united

Ila magoli yake mengi sio bora ni kusukumiza mpira wavuni

Ni kweli chirstiano ronaldo ni mfungaji bora sana ila sio mchezaji bora

Huwa nagadhabika sana watu wanapimlinganisha na Messi

Mtu ambaye ametuumiza wapenda mpira ni neymar
Huyu mtoto tulimfaidi kwa misimu miwili tu barcelona akaanza ujinga

Laiti neymar angewekeza uwanjani hata kwa 80%tu ronaldo asingefikia hata nusu ya uwezo wa neymar
Ni mahaba tu ila Messi na Ronaldo wapo daraja moja na kila mtu ana kitu chake special zaidi ya mwenzake
 
Back
Top Bottom