Melki the Storyteller
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 5,701
- 9,779
Mwenzenu ninapendwa japo sipatiwi tendo la ndoa. Naimani asilimia mia kuwa ninapendwa. Maana huyu mwanamke huufurahia sana uwepo wangu, huvutiwa na ucheshi wangu, hunitamka mara kwa mara mdomoni, huniulizia na kunisifia sana kwa marafiki zake, pia marafiki zangu.
Vijizawadi vidogo vidogo vya hapa na pale napewa kimasihara sana, nimetambulishwa mara kadhaa kwa mama yake pamoja na ndugu wengine. Sijaombwa pesa hata mara moja zaidi ya mimi tu kujishtukia, lakini tendo la ndoa limekuwa mtihani. Yaani hata kwa dawa hayuko tayari kuyapanua lakini nina imani ananipenda sana.
Niko tayari kumuoa hivyo hivyo, kama ni tendo nitakuwa napata nje ya ndoa!
Ahsanteni.