ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Mbali na kuwa DP World hawajaanza rasmi kazi ya Bandari nchini, ajabu wamefanikiwa kutugawa kidini

    Hivi naotaa ama ni ukweli dhahiri? Kwamba: badala ya hoja zetu kujikita kwenye utatuzi wa vipengele tata vya mkataba wa Dp world na hatimaye tufikie hatima njema kama taifa na kutuacha kwenye umoja wetu. Sasa watu maarufu kabisa, wasomi na viongozi wakuu wa dini na serikali wanaacha kwa...
  2. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Picha: Reli ya gharama kubwa, ajabu, vichwa vya treni yenyewe vya ajabu ajabu

    Unajenga reli ya gharama kubwa, ajabu, unacholeta wala hakifanani! Haya, kichwa chenu hicho hapo.
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania "IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?

    Wanabodi, Mimi mwenzenu, japo ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea pia kwa kujitolea, nimehudumu kwenye sekta ya habari kwa takriban zaidi ya miaka 30, hivyo jicho langu limeona mengi, linaona mengi, na litaendelea kuona mengi...
  4. Kigoma Region Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ndubu ni samaki wa ajabu anayepatikana Ziwa Tanganyika

    Samaki huyo mwenye mpomo au Komwe jina lake anaitwa NDUBU, ni samaki mwenye kuvutia kwa macho anapendeza mno akiwa kwenye maji. Samaki huyu ni moja ya kivutio cha watalii katika ziwa letu Tanganyika. Hutumika kama samaki wa kuliwa ni mtamu sana na mwenye ladha nzuri na pia hutumika kama samaki...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya wanawake kupenda wanaume weusi huku wakitaka kupata watoto weupe!

    Haya ni maajabu ya wanawake. Utasikia napenda mwanaume mrefu mweusi lakini cha ajabu wanapenda kuzaa vitoto vyeupe pee.
  6. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Mtu akiwa peke yake ana enjoy vitu vya ajabu sana. Ukipata nafasi kuwa unamwangalia utashangaa

    Imagine toka asubuhi... Nipo tu bila nguo hotelini. Naagiza chakula wanaleta na watch movies tu. Kubwa zaidi nakunywa zangu pombe huku najamba tu na ku enjoy harufu yake. Nimegundua kuwa harufu ya kujamba kwako mwenyewe ina sooth the mind. Basi humu room. Sitamani aingie mtu. Maana napenda pia...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Mkataba wa Bandari unaegamia zaidi upande mmoja na hauna ukomo wa muda. Hauwezi kuvunjwa kwa sababu zozote zile

    Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu wote ni wajibu wa serikali ya Tanzania lakini haki zote ni haki za DP WORLD Mkataba huu (wa uendelezaji wa bandari) ni mkataba kati ya nchi na nchi kuhusu uwekezaji, na mkataba unasema ni kuhusu...
  8. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Lilikuwa tukio la ajabu.

    Nakumbuka tulikwa kwenye mkesha wa mwaka mpya miaka kadhaa iliyopita, Nilikuwa mimi na rafiki zangu wanne, Tulikuwa tunatembea huku tunaimba nyimbo za mwaka mpya, Ghafla tukaona mtu akiwa juu ya mnyama sijui alikuwa mnyama gani yule, alikuwa kwenye spidi kali mno, alipotufikia alishika breki...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Sisi Tanzania ni watu wa ajabu sana! Hakuna tunachoweza zaidi ya UCHAWA!

    Yaani watu mnakwenda tu kwenye maonyesho na mnarudi mmesainishwa mikataba ya kimangungo ya " kuuza" bandari zenu kwa waarabu! Baada ya TICTS kumaliza muda wao iko wapi taarifa ya kina ya utendaji wao ili tuone manufaa, changamoto na skills transfer ambayo Watanzania wamepata ili kuweza...
  10. USSR

    JamiiForums Tanzania Kanisa la ajabu misungwi mwanza limefungwa huku makaburi yakitafutwa

    Mchungaji huyu mwenye upako Kama yule Mackenzie wa Kenya anayelaza wagonjwa zaidi ya miambili kwa gharama za elfu sitini akiwa na wagonjwa mahtuti waliotoroka mahospitalini amekamatwa na kanisa kufungwa. Wagonjwa wamerudishwa hospitalini na wengine kuamliwa kuondoka huku taharuki ya makaburi...
  11. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Erlιng Haɑland, na shamba lake lenye mifugo ya ajabu.

    Shamba la Erlιng Haɑland, limejaa wanyama wenye maumbo ya ajabu, huyu ni ng'ombe mwenye vichwa viwili.
  12. Dam55

    JamiiForums Tanzania CODEX GIGAS; Kitabu cha kale chenye historia ya ajabu

    KUTOKA KWA NYEMO CHILONGANI. Tuanze kupiga mastori kadhaa kuhusu mambo mbalimbali yaliyowahi kutokea miaka hiyo ya nyuma. Nataka leo nikwambie kitu kimoja kuhusu kitabu kikubwa sana, kitabu kisicho cha kawaida ambacho watu wengi wanasema ni Biblia ya Shetani. Usishtuke sana, acha tupige...
  13. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Kauli tatu za ajabu sana Tanzania kuhusu vifo vya viongozi

    1. Mungu kaamua ugomvi 2. Watu wazuri hawafi 3. Keshaanza kuoza. Naona kama vile kauli hizi zitatutesa sana kwenye umoja wetu kama taifa huko tuendako.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tamaduni za kipekee na za ajabu Afrika

    Utamaduni ni jinsi binadamu anavyokabili maisha katika mazingira yake. Hii pamoja na ujuzi, Imani, Sanaa, sheria , mila, desturi, ambavyo mtu anajipatia kama mwanajamii. Inapokuja kwamba mambo fulani yanakubaliwa na jamii fulani kutekelezwa basi huitwa utamaduni wa jamii hiyo. Tutakubaliana...
  15. Saidama

    JamiiForums Tanzania Umewai kushuhudia/kuona kitu gani cha ajabu kwenye maisha yako ambacho hutosahau?

    Funguka
  16. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo Ibada 3 za Kingono zinazofanywa Kimila barani Afrika

    Habari zenu wanakijiji cha Jamii Forums leo bhana nimewasogezea Ibada 3 za kingono zinazofanywa kimila na baadhi ya jamii barani Afrika.. lengo la hii thread si kwa nia ya kuchafua jamii hizo au waafrika bali lengo ni kujifunza tu maana kujifunza hakuna mwisho ..haya twende kazi... 1. IBADA YA...
  17. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mnaopanda daladala mnashuhudia mengi ya ajabu

    Hellow African Jana nikikuwa na safari ya kwenda Chanika nikaona bora nitumie daldala kutokana na umbali pia folenii na marekebisho ta njia Nikiwa kwenye daladala nilikuwa nimesinzia kutokana na kuchoka tulipo fika sehemu fulani sikumbi kwasababu sio mwenyeji wa mitaa iyo nikawa nimetulia...
  18. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Wazee wa zamani walikuwa na tabia na matendo mabaya na ya ajabu sana

    Habari wakuu,hamjambo? Njlikua na jamaa yangu akinisimulia jambo nikafikiria Sana kuhusu hawa wazee wetu kwa matukio yao Kama ifuatavyo.. Wengine wao walikua na tabia ya kujihusisha kimapenzi na wajukuu,watoto na ndugu wa karibu,kwanini nasema hivyo? Kuna kijana wa kike mdogo na msumbufu...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mgahawa wa ajabu, nani yupo free nimpeleke

    Je unaweza kushiriki chakula cha jioni ukiwa mtupu bila nguo na watu 40 usiowafahamu? • Huko nchini Marekani upo mgahawa unaowapokea wateja wanaopenda kupata mlo wakiwa watupu. • "The Füde Breathwork Experience" mjini New York City ni hafla ya chakula cha jioni ambapo washiriki hula chakula huku...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Mambo 8 ya kushangaza kuhusu Korea Kaskazini

    (1) Kalenda ya Korea Kaskazini inategemea mwaka wa kuzaliwa wa mwanzilishi wa nchi hiyo, Kim Il-Sung. Mwaka huu 2023, Korea Kaskazini itaadhimisha mwaka wa 112, kwa vile Kim Il-Sung alizaliwa mwaka 1912. (2) Korea Kaskazini ina mfumo wake (operating system) kwenye upande wa computers zao...
Back
Top Bottom