ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania Africa inahita nchi moja wapo kuwa super power wa nchi zote, la sivyo! Congo itaendelea kuonewa na kila viongozi wa vinchi vya ajabu!

    Ndiyo! Africa mpaka sasa sifahamu ni nchi gani ambayo viongozi wake wakikohoa, kina Kagame wanakaa kimya Congo, watu wake wanapata tabu sana kwa vita ambavyo tangu nimekuwa na akili nasikia tu wanauwana na sababu kuu ni vijimajeshi vya nchi za Waafrica wenzao kutumwa kwenda kupora mali za nchi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Tinga Tinga (Longido) hatuna Maji miaka mingi. Ajabu Serikali inaleta miradi ambayo haikamiliki, TAKUKURU mko wapi?

    Mimi ni Kijana wa Jamii ya Kimasai kutoka Longido, Kata ya Tinga Tinga, naomba malalamiko haya wa Wananchi yamfikie Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda. Kata yetu inashida ya maji tangu enzi na enzi japo tuko karibu sana na vyanzo vingi vya maji, pia Serikali imekuwa ikileta miradi mbalimbali...
  3. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Walimuita Baba yangu majina ya ajabu, Freemason, mchawi

    Habarini ndugu, Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Mzee wangu, nimeamua kushare story hii fupi inayohusu jambo ambalo lilimkuta enzi za uhai wake. Kama ilivyo kawaida katika jamii zetu, mtu akiwa na mafanikio huitwa majina yote mabaya pasipo kujali uhakika wa madai hayo.. Siku moja ya...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya ajabu ajabu Afrika Mashariki ni kiashiria cha kuingia ugonjwa wa "serial killer"?

    Serial killers ni watu wanaofanya mauaji ya zaidi ya mtu mmoja kwa minajili ya kujipatia furaha tu, mauaji yao mara nyingi huwa yanalenga kundi fulani la watu mfano wanawake, watoto, watu wa rangi fulani n.k Aina hii ya mauaji imekuwa maarufu zaidi katika nchi za magharibi ikihusishwa zaidi na...
  5. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wapo tayari kuweka kando dhamana ya mamilioni ya wananchi na kumlinda mtu mmoja!

    Heshima kwenu wanajamvi, Nimemfuatilia Mh. Rais Mstaafu Mzee Kikwete akielezea mahusiano yake na familia ya Manji, kwamba alikabidhiwa kijana wake amlee. Ni wazi Manji alikwapua fedha nyingi za NSSF kupitia miradi kausha damu. Tuna shukuru Mungu Magufuli alimfikisha sehemu yake inayostahili...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!

    Wanabodi, Hebu shuhudia Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo... 1. Nyomi!. Kiukweli kabisa watu ni wengi ajabu, sijui hata walitoka wapi, mabasi yote yalijaa, watu kwa makundi wanatembea kwa miguu, tumekaa foleni masaa 3!. Hii maana yake Bulldozer Mwamposa, ana nguvu za upako wa mvuto...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Wakenya watu wa ajabu sana aisee .unaharibu nchi yako kwa sababu ya Kodi?

    https://youtu.be/MJapGEmItUY?si=-VeOmElPPZE7ppPd Yani unaharibu mali za watu ,unachoma ndege ,unachoma ofisi za bunge ,nk Kwa sababu Kodi? Kwa namna navyo waona si Dhani kama ni afya kuwa nao kama nchi Moja huko mbele kwenye maswala ya EAC
  8. kajamaa kadogo

    JamiiForums Tanzania Mnavimba sana humu mitandaoni ila wazazi wenu wanatumia simu za ajabu sana

    •itel kiswaswadu •Tecno kiswaswadu •bontel kiswaswadu •O king kiswaswadu Na misimu yote ya kichina isiyofahamika ndio wazazi wetu wanatumia tena huku tukijinadi ooh mimi mzazi wangu yupo fresh kumbe dakika mbili tu simu yake chaji imeisha na hapatikani hewani
  9. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Jambo gani la ajabu kushuhudiwa likifanywa na bodaboda?

    Mwaka mmoja nilifika eneo moja hapo Morogoro, njia ya Dodoma kabla hujafika mizani, sasa mwenyeji wangu alinambia nikishuka kwa bajaji nichukue boda mpaka kwake, sasa kama kawaida bajaji umesimama tu boda kibao hizi hapa nikadandia moja chap nikampa maelekezo akaanza yafuata, barabarani jamaa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha wauwa demokrasia kupewa kubali na ubunge ni ajabu!

    Yaani Dr Bashiru angetakiwa kufukuzwa kazi kwa kuhongo wabunge, kuuwa demokrasia ya nchi na mpaka leo nchi yetu inapata matatizo kwasababu yake
  11. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mwaliko na masharti ya ajabu Eid

    Sikutegemea kama rafiki yang kipenzi utakuwa na roho mbaya kiasi hiki aisee! Yani bila aibu kwenye mualiko wako unanimbia kuwa nikija kwako kula mwisho sahani moja.? Aisee umenifunza kitu.
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Huyu mbunge alicho kifanya ni cha ajabu sana

    Huyu mbunge alicho kifanya ni cha ajabu sana. Sidhani kama mwenye akili timamu anaweza kufanya hivi.
  13. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania TECH: Kuna mtu niliwahi kumtumia picha ya ku-view once cha ajabu akanifowardia hiyo picha

    Kama kuumbuka nilishaumbuka tena si mara moja mara mbili watu tofauti huyu wa pili alisema yeye anatumia simu ya samsung. Wa kwanza hakuweza hata kuniambia anatumia simu gani. Kuna jamaa angu anatumia samsung nilimtumia picha ya view once yy hakuweza kuis screenshot wala kuihifadhi! hapo...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu kutakuwa na njaa, heri ukose hela ila uwe na chakula ndani

    Chukua hii nakupa; japo hatupangiani maisha kila mtu anajua jinsi anavyoyaendesha ila kiukweli life ni gumu ndugu zangu na mwaka huu huku mashambani hali sio hali hasa Kwa upande wa zao la mahindi. Mikoa ambayo sio wazalishaji wakubwa wa chakula tumepata pata ila sio ya kuuza ni kwa ajili ya...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Paredi la ubingwa Yanga na vibweka vyake

    1. Harmonize anaonyesha ishara za lugha za matusi hadharani hasa zikiwadhalilisha wanawake na mashabiki wanazishangalia, jambo la kushangaza mpaka sasa sio LHRC, TAMWA, BASATA, TFF au taasisi nyingine yoyote iliyokemea na kulaani vitendo hivyo. 2. Kingereza kibovu mno katika platform ambayo...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Stationery kukosa flash na usb ni ajabu

    Umeanzisha stationery machine zote muhimu unazo isipokiwa flash na usb Leo flash Hadi buku 5 unapata usb 1500 kwa 2000 Unajikuta unakosa jero ya wateja bure printer ya Epson 300-400k, photocopier ya canon 700-1000k na vikorokoro vingine unakosa usb na flash
  17. excel

    JamiiForums Tanzania Ajabu sana: Dereva wa basi ahatarisha maisha ya watu 60 kwa kuikwepa bajaj yenye watu watano

    #HABARI Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma kwa kutumia basi la Kampuni ya Shabiby namba T 341 EEU, wamenusurika kifo baada ya basi hilo kuanguka katika eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro na kujeruhi abiria kadhaa. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wanasema...
  18. KENZY

    JamiiForums Tanzania Nina rafiki wa ajabu sijapata kuona!

    Alikuja akaniazima ghetto,bila hiana nikamuazima alikuwa na pisi yake moja maridhawa! mtoto mchongoko,uno la kigoda ngozi nyepunyepu halafu kamdomo kale kakuombea miamala!.. ujinga wa huyu rafiki yangu upo hapa mfukoni alikuwa na vile vidonge vya pii two!,sasa baada yakumaliza mchezo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Lissu alipaswa kuwajibika, ajabu anachangisha anunuliwe gari

    Chadema imepitisha watuhumiwa wa Rushwa kuwa wagombea wa Uwenyekiti wa kanda kwa mujibu wa tuhuma za Makamu Mwenyekiti wao Tundu Lissu REACTION ANAYETUHUMU WENGINE KWA RUSHWA ni kuomba anunuliwe gari.? Kama Tundu Lissu ni msafi why he still associated with the worst criminals waliopokea...
  20. Kinyungu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wana Ujasiri wa Ajabu sana!

    Shaquille O'nel na mpenzi wake mpya wa miaka 21 wakila raha Spain.... Hapa kuna mtu atapata murder case🤣🤣
Back
Top Bottom