Madereva wanaoendesha magari aina ya Subaru na Alteza

Kamarada

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
253
161
UMOFIA KWENU!

Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kupata maoni au mtizamo wa jamii kwa namna inavyowachukulia madereva wanoendesha magari aina ya SUBARU na ALTEZA hapa Tz.

Kwa kuanzia, mimi binafsi nawaona wengi wao kuwa ni:

1 - Vijana wa kiume
2 - Wanaendesha kwa 'rafu' sana.
3 - Over speeding hata kama anapokwenda ni karibu ama haparuhusu over speed
4 - Wapo arrogant/wakorofi/ hawanaga ustaarabu
5 - Wanapenda sana 'Ligi' za barabarani
6 - Wanapenda sana starehe/ kujirusha
7 etc...

Hayo ni kwa mtizamo wangu. Ukitoa mtizamo wako pia tunaweza kuwasaidia wachache ambao ni wasikivu wakabadilika, kupunguza ajali za barabarani na kuleta ustawi kwa jamii.

NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom