Habarini za asubuhi wana jamvi, Msaada wa mawazo kidogo.
Ni mda wa miezi zaidi ya miwili sasa nakaa na rafiki yangu, Tulikutana eneo la kazi mimi na yeye tukiwa ndo wanawake io hali ikatufanya tuwe marafiki, tunasaidiana katika mambo mengi na ni mtu mzuri.
Miezi miwili iliopita mambo yake...