Kwanini watu wanakula Kasa licha ya wengine kufa kwa sumu waliyonayo?

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,486
34,789
Katika pita pita zangu nikakutana na taarifa ya kuwa watu wa nne wamefariki na wengine 40 kulazwa hospitalini baada ya Kula samaki Aina ya Kasa huko Tanzania visiwani ..

Na hii inakuja baada ya takriban mwez mmoja watu Saba kufa na wengine kadhaa kulazwa baada ya Kula samaki huyo huyo aitwaye kasa

Kwa wenye uelewa huyu samaki ana sumu ya aina gani?

Na kwanini watu wanaendelea kumla ilhali madhara yake yanaonekana pindi unapomla? Au ni mtamu sana kias kwamba wanazengo they don't care kuhusu sumu yake?

kasaa-pic-data.jpg

Huyo mnyama ana magonjwa mengi ya hatari ba na nchi nyingi Duniani haruhusiwi kuwindwa, kwa sababu za kiafya na za ki Ikolojia

Zaidi soma hapa
 
Katika pita pita zangu nikakutana na taarifa ya kuwa watu wa nne wamefariki na wengine 40 kulazwa hospitalini baada ya Kula samaki Aina ya Kasa huko Tanzania visiwani ..

Na hii inakuja baada ya takriban mwez mmoja watu Saba kufa na wengine kadhaa kulazwa baada ya Kula samaki huyo huyo aitwaye kasa

Kwa wenye uelewa huyu samaki ana sumu ya aina gani?

Na kwanini watu wanaendelea kumla ilhali madhara yake yanaonekana pindi unapomla? Au ni mtamu sana kias kwamba wanazengo they don't care kuhusu sumu yake?

View attachment 2057990

Huyo ni kobe
 
Huyo siyo samaki, ni Kobe wa baharini
 
Kinachowaponza wakazi wa pwani ni kuwa kila kiumbe wa baharini wao wanaita Samaki na wanakula!!!
Hao Kobe Wana sumu kali !
 
Kasa mtam sana akipikwa anakua kama supu ya nyama ya ng'ombe aliyenonaaa sana! Ukija kwangu nikakupa kasa wala hutojua labda utofautishe ladha!

Na siye wavuvi tunajua kasa mwenye sumu ni yup! Pwan tunamla saana! Ukisikia watu wamekufa jua ni bahat mbaya tu! Kama ambavyo unaweza sikia watu wamekufa kutokana na food poison. Karibu pwan
 
Kasa mtam sana akipikwa anakua kama supu ya nyama ya ng'ombe aliyenonaaa sana! Ukija kwangu nikakupa kasa wala hutojua labda utofautishe ladha! Na siye wavuvi tunajua kasa mwenye sumu ni yup! Pwan tunamla saana! Ukisikia watu wamekufa jua ni bahat mbaya tu! Kama ambavyo unaweza sikia watu wamekufa kutokana na food poison. Karibu pwan
Nije saangapi
 
Back
Top Bottom