aina

The Aïna River is a tributary of the Ivindo River that rises in Cameroon. Along the way it forms the border between Cameroon and Gabon and then the border between Gabon and Republic of the Congo (Map.).
The native pygmies along the river were noted as some of the few to use the plant Strophanthus tholonii as an ingredient in their arrow poison; other Strophanthus species are more commonly used.

View More On Wikipedia.org
  1. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa pombe aina ya Banana inaathiri nguvu kubwa sana ya vijana

    Pombe hii ina kiwango cha kilevi asilimia kumi(10%)tu lakini wanywaji wa pombe hii ukiwaona hata kwa macho utajua tu huyu ni wa banana. Pombe hii imekuwa ikiuzwa kwa bei rahisi tu ya sh 500 ndo mana vijana wengi wanaweza kumudu kuinunua,lakini ulevi wake sio wa kawaida kwani vijana wengi...
  2. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Ludewa: Kijana mbaroni kwa tuhuma za kumbaka nguruwe

    Mkazi wa kijiji cha Mavanga kilichopo katika kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani Njombe anayefahamika kwa jina la Afro Nyigu (31) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma ya kumbaka mnyama aina ya Nguruwe. Afisa mtendaji wa kijiji hicho Ramadhani Kihanga amesema kuwa tukio hilo limetokea...
  3. ommytk

    JamiiForums Tanzania Nataka gari aina ya Toyota IST, bajeti 5 to 6m

    Nahitaji gari aina ist bajeti yangu ni 5 to 6m gari iwe yako sio dalali sinunui kwa dalali
  4. waziri2020

    JamiiForums Tanzania James Ole Milya system ya nchi bado inakufanyia tathmini maana huaminiki una damu za kiharakati

    Wengi mnamkumbuka mwanasiasa James Ole Milya huyu amewahi kuwa mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Arusha na mbunge wa jimbo la Simanjiro. Huyu ni aina ya vijana wapambanaji kwenye ulingo wa siasa hapa nchini tetesi ni kwamba awali alikuwa anabebwa na kundi la Friends Of Lowasa lakini baadae kundi hili...
  5. Tronics guru

    JamiiForums Tanzania Jf mijengo;ujenzi wa aina hii ni salama kwa miaka ya leo?

    Concern yangu ipo kwenye hizo tofali
  6. J

    JamiiForums Tanzania Chanjo za COVID-19 hazisababishi kuibuka kwa aina (variants) mpya za Coronavirus

    Kumekuwa na taarifa nyingi za kupotosha kuhusu chanjo za COVID-19. Mojawapo ni uvumi kuwa chanjo za COVID-19 zinasababisaha kuibuka aina (variants) nyingine za coronavirus. Lakini je, ni kweli? Kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (CDC), Chanjo za COVID-19 hazitengenezi au...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Aina sita ya vyakula ambavyo vikichanganywa hugeuka sumu

    Kila binadamu ana kile alichojaaliwa na Mungu. Siku zote anachoamua mmoja kula huenda kikawa sumu kwa mwingine. Chakula anachokula mtu kinaenda sanjari na hali ya kiafya. Wengine huumwa hadi kusababisha kupoteza uhai na hii ni baada tu ya kupendelea kuchanganya chakula. Mtu mmoja anaweza kula...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Aina ya nondo kwenye umwagaji wa lenta pamoja na nguzo

    Wakuu habarini za kazi, poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa Naombeni msaada kuhusu aina ya ndondo za kutumia kwenye ufungaji wa lenta, nyumba yangu ni kubwa vyumba vitatu, sitting room, dinning room, public toilet, jiko, stoo Kuna baadhi ya wadau walinishauri niweke mm12 mzunguko wa nje na...
  9. Faru Tobbi

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Sabufa aina ya Sea Piano

    Nauza sabufa aina ya seapiano bei 120,000 imetumika miezi 3 ila kama mpya. Mzigo makini mdundo mnene Inapatikana Ubungo Dar es salaam. Njoo pm tumalize biashara
  10. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Aina za fimbo

    AINA ZA FIMBO By Frumence M Kyauke Fimbo ni kijiti kirefu ambacho kinatumika kwa namna nyingi ili kufikia mbali kuliko mkono wa mtu. Kwa mfano fimbo hutumika kuua nyoka au kutoa adhabu kwa kuchapa mtoto kutokana na kosa fulani. Hizi ni aina za fimbo na matumizi yake: Mpapure Fimbo ya kungwi ya...
  11. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Jinsi Injini ya Ndege aina ya Jet inavyofanya kazi

    Bila shaka umewahi kujiuliza 'injini ya ndege za abiria inafanyaje kazi? Na huenda hukupata majibu! Ukiendelea kusoma,utapata jibu la swali hilo, Kwanza, hebu tuone sehemu za injini ya ndege. Zifuatazo ni sehemu kuu tano za injini ya ndege (Jet Engine) 1.Air inlet Hii ni sehemu ya mbele kabisa...
  12. maishapopote

    JamiiForums Tanzania Wakuu na shida na aina hii ya gadget

    Wakuu nina sonny hometheater sasa haina option ya bluetooth sasa nikaenda mahali nikakuta bluetooth device aina flani nimeitafuta sana kama kuna mtu anajua precisely ni wapi pa kuipata pls
  13. Mjuzi Wenu

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari aina ya alteza inauzwa kwa 5 Millions

    Gari ipo katika hali nzuri tuwasiliane whatsap kwa namba 0692235221
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata USB ya aina hii?

    Naomba mwenye kuweza kuwa na usb ya iana hii, au zinapatikana wapi kwa dar, ni ya ipod, niliyokuwa naitumia imeharibika.nitashukuru.
  15. Baba king

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Mazda Verisa

    Wanajamvi Mwenye Uzoefu na Gari aina ya Mazda Verisa naomba Msaada wake.Asante
  16. Ethan Cruz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zijue aina tano za mahusiano ya kimapenzi

    Wanasaikolojia mbalimbali wamejaribu kuelezea aina za mahusiano ya kimapenz ambayo wapenzi wawili wanaweza kuwa wanayapitia katika kipindi flani cha mahusiano yao. Lakini kabla hatujaangalia hizi aina lazima tujue kuna vitu vitatu vinavounda na kudetermine ni aina gani ya mahusiano ya kimapenz...
  17. Dit000

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina ipi ya uzinzi ni tamu zaidi?

    1. UZINZI MATAWI YA JUU, mfano munatoka Tanzania mnapanda ndege munaenda China kufanyia uzinzi, au mnafanyia uzinzi kenywe hotel za 5 stars dau linakuwa kubwa kidogo kama 400,000/= kwa siku 2. UZINZI MATAWI YA KATI, mfano mnaenda kufanyia uzinzi kwenye lodge,gest za dau dogo kuanzia tsh 5000...
  18. AA TANCH TRADING COMPANY

    JamiiForums Tanzania Pata Mashine za aina zote kwa bei ya viwandani kwa kuagiza kutoka China, Japan, Dubai au South Africa

    Umeshawahi kutafuta kwa mda mrefu kwa mfano mashine ya kuosha magari au mashine za kukausha dagaa. Na mashine zingine zinazohitajika sana kwa mfano mashine ya kukamua alizeti na ile ya kukamua juisi za miwa na ukakosa? Hauitaji kujisumbua kutafuta, tupigie na utuagize tukuletee hadi mlangoni...
  19. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Haya mawe ni madini aina gani? naomba mnisaidie kuchunguza

    Habari jf? naomba mnisaidie kutambua kama hii ni mawe ya madini ama la? kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua
  20. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua mbwa aina ya bull dog. Ni wapi nitapata?

    Natafuta bulldog Wapi nitapata? Nikikosa bulldog Basi mbwa Kama huyu. Call 0655173113
Back
Top Bottom