luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,985
Serikal ya Tz imekubali kuwapa Ke ndege aina ya cranes ambao Taifa ilo la Kenya waliomba kwa Tanzania.
Hawakutosheka na tausi?Serikal ya Tz imekubali kuwapa Ke ndege aina ya cranes ambao Taifa ilo la Kenya waliomba kwa Tanzania.
AhHawakutosheka na tausi?
mna uwezo, kdf hahahahNa KE tunawapa Vifaru,acheni utopolo