Jiji la Tanga Kuna vyuo vya Afya vidivyo na sifa kama uyoga baada ya Ummy mwalimu kuwa waziri wa Afya kulikoni?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,828
21,460
Serikali isipofuatilia kwa umakini sifa za uanzilishwaji wa vyuo vya Afya kuna uwezekano wa kuzalisha madaktari feki.
Ukiangsli Jiji la Tanga , kwa mfano tangu mbunge wao Ummy Mwalimu awe waziri wa Afya, kuna vyuo vya afya vingi bubu vimeanzishwa kila kona ya Jiji kulikoni!
 
Ingependeza zaidi ukivitaja. JF hapa mambo ni hadharani unless unaleta uzushi.
 
Charity begin at home..
Begins.... we ukipewa uwaziri utasahau kwenu? Kuimba ni kupokezana!

Mzilankende alipeleka uwanja wa ndege chato wenzie waanikie dagan acha nayeye apeleke ili kesho wafugie kuku.
 
Nchi hii kila mtu anafanya yake bila uoga
 
Attachments

  • 654D602F-C477-456A-9D6B-A73B90ADBBC2.jpeg
    654D602F-C477-456A-9D6B-A73B90ADBBC2.jpeg
    58.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom