Mayai ya viini viwili ni mazuri kwa afya? Tunaomba ufafanuzi wa wataalamu

Makamura

JF-Expert Member
May 19, 2022
356
550
Hivi karibuni kumekuwa na Trends kuwa kuna kiwanda fulani hapa Dar es Salaam kinatengeneza mayai ambayo sio ya kutagwa na kuku na haya mayai bhana yanakuja yakiwa yamepakia viini viwili ndan yake.

Tunaomba msaada wa ufafanuzi kutoka kwa wataalamu wa chakula na dawa, juu ya haya mayai ya kisasa haswa hapa Bongo.

Video kutoka mitandaoni ikionesha mayai hayo




 
Back
Top Bottom