afya

  1. Zitto

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema...

    Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema: Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe...
  2. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Kumbe hawa tunaowadharau ndio wanaotupa Trillioni Tisa kwenye Afya!

    Kumbe hawa tunaowadharau na kuwakumbatia Wachina ndio hutuchangia Asilimia 80% katika budget yetu ya Afya. Kutoa Dawa za ARV’s na Support ya kupima VVU / UKIMWI.
  3. Melkiad Jr

    JamiiForums Tanzania Fahamu madhara ya mabaki ya chakula tumboni !!

    Ebu jiulize unakula mara tatu kwa siku halafu unaenda chooni mara moja au baada wiki au mwezi, je unadhani chakula kinachobaki kinajificha wapi ?! Ebu tafakari mfano huu wewe hapo ulipo una uchafu ndani ya nyumba yako halafu unauweka kwenye ndoo, kila mara ikijaa unauacha uchafu huo ndani halafu...
  4. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Mfano 1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.? 2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi ya kutunza ngozi, iwe yenye afya na inayovutia zaidi

    Habari Wana JF Nauliza mafuta gani au tiba mbadala au njia gani inafaa tumiwa kwa mtu anayefanya kazi juani(sun rays) muda mrefu ili kutunza afya ya ngozi? ============ Ngozi ya mwanadamu inahitaji matunzo ili iweze kuwa na afya na mvuto wake wa asili. Ngozi isipotunzwa vizuri huweza kupata...
Back
Top Bottom