Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,175
- 1,273
Mh. Ummy Mwalimu jana amekanusha uzushi uliokua umesambaa kuhusu ongezeko la makato ya bima ya afya kutoka sh. 18,000 hadi 40,000 akisema swala lipo kisheria mfanyakazi atachangia 3% na mwajiri wake atachangia 3%.
Hii ina maana hiyo 40,000 mwajiri atatoa 20,000 na mfanyakazi atatoa 20,000 badala ya 18,000 na ambao siyo waajiriwa itabidi wapambane na yale mamilioni na malaki.
Ila serikali haijafanya jambo lolote la kumsaidia mwananchi, yote hayo ni kwa ajili ya kujiongezea kula, kura na gawio. Kwetu bima ya afya ni bora kuliko ndege