afya

  1. MEKADDISHKEM

    JamiiForums Tanzania Vifo vya watu mashuhuri Tanzania, chanzo ni huduma mbovu za afya

    Safari za nje ya nchi kufungwa tutegemee kupoteza watu mashuhuri wengi, kwani wengi wao walikuwa wakitegemea kliniki za nje ya nchi, sipati picha kama kipindi hichi Mbunge Tundu Lissu, angepata matatizo muda huu tungempoteza. Wangonjwa wa Pumu sasa wanakufa kwa kukosa msaada zamani akianguka...
  2. W

    JamiiForums Tanzania COVID19 Tanzania: Mambo ambayo Wizara ya Afya inapaswa kufanya

    Si jambo jipya tena, maambukizi ya corona Tanzania yapo kwa kasi kubwa sana kwenye jamii, pia tumeendelea kuona vifo vikiongezeka siku hadi siku. Tuna maswali mengi sana kama watanzania juu ya mikakati ya wizara ya Afya ya Tanzania kukabiliana na Tatizo la Corona. Je sekta ya Afya imejiandaa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu anawasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake

    Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu yuko mubashara TBC na Channel ten akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2020/21 Up dates:
  4. Maleven

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya kishindo cha awamu ya tano katika sekta ya afya kusomwa Jumatano 29.04.2020

    Katika ratiba ya vikao vya Bunge tarehe 29.4.2020 Waziri Ummy Mwalimu atawasilisha BAJETI ya kufunga Awamu ya Tano. Bajeti hii ya Sekta ya Afya itakuwa ya kihistoria kwa kuwa inasomwa wakati Tanzania na Dunia inapitia ktk majaribu makubwa katika kipindi Cha zaidi ya miaka Mia moja! Bila...
  6. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Kujifukiza kiholela kutaleta athari kubwa baada ya Covid 19: Wizara ya Afya itupe mwongozo wa mchanganyiko sahihi haraka

    Kwenye kipindi hiki cha covid 19 kumekuweko na shuhuda na maelezo mbalimbali kuhusu aina za michanganyiko ya viungo, majani au mitishamba ya kutumia kwa kunywa au kujifukiza na wakati mwingine maelezo yamekuwa yakipishana. Michanganyiko ambayo imekuwa ikitajwa sana na wengi inajumuisha vitu kama...
  7. simplemind

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda 200 survey teams to conduct rapid assessment to establish the prevalence of COVID-19 among communities in Uganda

    Baada ya mafanikio makubwa kukabili maambukizi ya corona Uganda , waziri Jane Ruth Aceng amepeleka team ya waatalamu mitaaani kutathmini hali halisi na hatimaye kuundosha lockdown kwa awamu. ===== The minister of Health Jane Ruth Aceng has flagged off 200 survey teams that will conduct a...
  8. MATEGUZYO

    JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa huduma ya Afya NHIF

  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya: Teketeza/haribu barakoa yako vizuri kabla ya kuitupa/baada ya kumaliza kutumia

    Na WAMJW- DSM . Serikali kupitia Wizara ya Afya, imetoa wito kwa wananchi kuteketeza Barakoa zao vizuri baada ya kumaliza matumizi yake kisha kuitupa sehemu salama ili kuepusha kusambaa kwa magonjwa ya mlipuko hususan ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona. . Wito...
  10. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Wizara ya afya watalaamu wenu wapo wapi? Tunahitaji taarifa sahihi juu ya ugonjwa wa Covid-19

    Kila mtu sasa hivi amechanganyikiwa, watu wanaishi kwa hofu maana elimu au taarifa kuhusu huu ugonjwa zinachanganya. Mimi binafsi nilitarajia kuwa hata kila baada ya saa moja anakuja mtaalamu wa wizara ya afya na kutoa elimu juu ya huu ugonjwa kwenye Tv. Mfano mmoja tu ni kwenye kuvaa mask ni...
  11. canular

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie mawasiliano ya wizara ya Afya ama Mwenye mawasiliano ya waziri wa Afya Tanzania

    Wakuu tujipe pole na tuendelee kujikinga na maambukizi ya corona tuendelee kuvaa barakoa na kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka ,moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu jamani Ninaomba kwa mwana jf yeyote yule mwenye mawasiliano ya staff wa wizara ya Afya au mawasiliano ya waziri wa Afya...
  12. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli alifanya maamuzi ya busara kwa kuwaita Wakuu wa Vyombo vya Usalama kuongelea COVID19, badala ya kuwaita Wataalamu wa Afya?

    Tuliona wenyewe Rais Magufuli akiwaita wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, wengi wakitoka jijini Dar na wengine wakitokea Dodoma, umbali mrefu wa kilometa maelfu, kuongelea ugonjwa wa corona, ambao unatikisa dunia nzima hivi sasa, ikiwemo Tanzania. Nimekuwa nikijiuliza hivi si yeye...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla aende Wizara ya Afya na Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na Maliasili ili tuimalize Corona kwanza

    Napendekeza pafanyike mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri ambapo Dkt Kigwangalla ahamishiwe Wizara ya Afya akaungane na Dkt. Faustine Ndugulile ili kwa pamoja wakaongoze mapambano ya kuitokomeza Corona. Mhe Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na mali asili kuziba pengo la Dkt. Kigwangalla...
  14. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu: Wagonjwa 37 wamethibitishwa kupona virusi vya Corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema hadi sasa jumla ya Wagonjwa waliopona ni 48 ambao ni kati ya Wagonjwa 108 waliothibitika kuwa na Ugonjwa huo, ila kwa sasa hawana dalili Amesma, "Tuna vifo 10, na hivyo tukabakiwa na wagonjwa 274 na kati ya 11 tumeshawatolea taarifa kuwa wamepona. Ni kweli...
  15. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu-hawakufanya uchambuzi wa COVID19 kwa kina

    Umofia kwenu GTs. Wizara ya Elimu-hawakufanya uchambuzi wa COVID19 kwa kina. Wangefanya kazi yao vizuri leo hii nadhani vyuo vikuu vyote wanafunzi wangeendelea kusoma online. Wizara ya Afya-hawakufanya uchambuzi sahihi namna ya kukabiliana na COVID19. Wangefanya kwa kina leo hii wauguzi na...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Watoa huduma za afya wasikimbie wagonjwa, sio kila homa kali ni Corona

    Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema watoa huduma wa sekta ya afya hawatakiwi kuwakimbia wagonjwa na badala yake, wanatakiwa kuzingatia Kanuni za Udhibiti wa Maambukizi katika kutoa Huduma (IPC). Ummy amesema sio kila homa kali au kikohozi ni CoronaVirus hivyo watoa huduma...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya mnaandaaje matamasha ya maombi na siyo kuweka mikakati ya kupima Corona?

    Ni lazima tutambue nchi yetu inakibiliwa na adui mkubwa sana kuliko nduli Iddi Amin. Leo nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa "WIZARA YA AFYA KWA KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA KIDINI NCHINI, IMEANDAA MAOMBI YA KITAIFA DHIDI YA MAAMBUKIZI YA KORONA YATAKAYOFANYIKA JUMATANO APRIL 22, 2020...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Duniani lawaasa Wananchi kuzingatia mlo kamili na mazoezi kwa watu wazima kipindi hiki cha Corona

    Mkurugenzi wa Shirika la Afya Dunia (WHO) Tedros Ghebreyesus ametaja vitu vitano ili kukabiliana na janga hatari la ugonjwa wa Covid-19. Tedros alisema janga hili la Corona limeichanganya dunia na kufanya maisha ya kila mtu kubadilika na kwamba ili kukabiliana na tatizo hilo ni lazima kuwa...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kuhusu matumizi ya barakoa, kuadimika na kupanda bei, Waziri Kivuli Afya Cecilia Daniel Paresso atoa kauli

    TAARIFA YA WAZIRI KIVULI WA AFYA, MAENDELEO, YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KWA VYOMBO VYA HABARI Kumekuwepo na sintofahamu kubwa miongoni mwa Watanzania juu ya ufahamu wa aina gani sahihi ya barakoa (mask) wanazopaswa kuvaa pale wanapokuwa katika shughuli zao za kila siku ili kujikinga...
  20. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Natoa ombi kwa uongozi wa JamiiForums mumualike Naibu Waziri wa Afya aje afafunue na kujibu dukuduku na maswali ya watanzania

    Natoa hii rai sababu sasa tunakoelekea ni pabaya maana idadi ya maambukizi ya wagonjwa wa Covid -19 inazidi kuongezeka. Mgonjwa wa kwanza kulipotiwa ilikuwa ni March 16 na leo ni April 19 kakini idadi inavyoendekea kuongezeka inatia hofu naashaka kwa sisi wananchi wa hali ya chini. Napendekeza...
Back
Top Bottom