Dr Faustine Ndungulile ambaye ni Naibu Waziri wa Afya ameipongeza na kuishukuru Jf kwa uchambuzi makini na kuelimisha Jamii kuhusu Ugonjwa wa Corona .
Hii ni heshima kubwa sana kwa Wanachama wote wa JF
Wito: Tuendelee kuelimisha wananchi wenzetu namna bora ya kujikinga na Corona .
Mungu...
Mkurugenzi mkuu wa shirika la Afya duniani amesema kwamba chanjo dhidi ya virusi vya cororna itapatikana ndani ya mwaka 1 au mwaka 1 na nusu. Shirika la Afya duniani (WHO) latoa maelezo kuhuiana na chanjo ya virusi vipya vya Corona Tedros Adhanom Ghebreyesus, mkurugenzi mkuu wa shirika la afya...
Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa mtu yeyote kutangaza majina ya wagonjwa wa corona kwani hiyo ni siri kati ya Daktari na mgonjwa.
Waziri amesema kutaja taja majina kunaleta unyanyapaa kitu ambacho ni kibaya sana mbele ya jamii na mbele za Mungu. Na zaidi Ummy amesema ndio...
Sasa tunaelewa social distancing? Nikuibie kiduchu:
- Working from home instead of at the office/kufanya kazi kutokea nyumbani. Hii mambo ya kila mtu kwenda ofisini tuache. Kwanza tunaenda kusoma magazeti na kuongelea Bunju Arena!
- Closing schools or switching to online classes/ kufunga...
Afisa afya wa uwanja wa ndege wa JNIA amesema siyo kweli kwamba wanaowekwa katika karantini wanalazimishwa kukaa hotel za bei kubwa.
Amesema kamati ya mkoa imechagua Hotel kadhaa kulingana na hadhi ya abiria wanaowasili hivyo kiwango cha malipo ni kati ya sh 150,000 kwa wenye uwezo hadi sh...
Zanzibar ni nchi ndogo lakini ina mikakati imara kila linapotokea swala au janga la kitaifa.
Waziri wa afya mh Hamad Rashid ni mpinzani kutoka chama cha ADC lakini ndiye aliyepewa majukumu muhimu katika vita hii.
Nadhani Tanzania bara tuna jambo la kujifunza kutoka Zanzibar na ni jambo jema...
Naomba kujuzwa hospitali au kituo Cha afya Cha PRIVATE ili nimuanzishe kliniki mama mtarajiwa wa mwanangu. Ana mimba ya wiki 17. Nahisi nimemchelewesha kuanza kliniki ndio maana sitaki kelele za manesi wa hospitali zetu za serikali.
Kupitia Corona Serikali za Dunia inabidi zijifunze kwamba AFYA NDIO MTAJI WA NCHI KUJIENDESHA;
Ndio, yaani inabidi huduma za afya zitolewe bure na zigaramiwe na serikali.
Serikali za dunia mpaka sasa zimeshuhudia hasara kubwa sana kutokana na janga la CORONA, kwamba watawaliwa hawafanyi kazi...
Pakua handbook bure chini katika .pdf format... Very resourceful. Wanajamvi tuweke handbooks zote, video illustrations, and any other pertinet information to share with fellow citizens on how we can prevent and control the coronavirus. This thread is intended to leverage in research and...
Sophie Wessex alimuakilisha Malkia South Sudan mwezi huu. Maofisa wa afya walimpima afya mara tu aliposhuka kwenye ndege.
Sophie was in fact pictured being tested for the coronavirus on arrival, with the Queen's ambassador to South Sudan Chris Trott writing on Twitter: "Very pleased to...
Hello JF,
Msinichoke na mada zangu za afya ya akili…lol
Ila humu ndani kama mmeobserve wengi sana tunahitaji msaada…
Mada za watu kutaka kujiua zimekua nyingi sana.
Hivyo basi ningependa kutoa wito,
Kwa madaktari wa afya ya akili kuja foward…
Currently Dr. Wansegamila nimeona ndio...
Leo hii hata ukienda Uchina nchi ambayo mlipuko ulianzia, lazima wakuweke karantini siku kumi na nne haijalishi umepimwa umekutwa na virusi vya corona au hukukutwa navyo.
Kitu kingine wataalamu wanasema Mtu mwenye Corona anaweza kuonyesha dalili za Corona Corona lakini ukampima mara kadhaa...
Habari za leo wanajamvi,
Kuna mchongo fulani hivi naifukuzia, nahitaji kujua kama kuna mtaalam yeyote (wewe au unayemfahamu) ambaye ana uzoefu wa kutengeneza electronic database ya shirika la afya k.m. chama cha madaktari, chama cha wauguzi (nk)
Focus ni kujua inatengenezwaje, uzoefu na...
Waziri Mkuu wa Australia Bw. Scott Morrison akiwa katika mkutano na waandishi wa habari alitangaza kuongeza zuio la wananchi wake kusafiri kwenda nchini Italia ikiwa ni miongoni mwa mkakati wa nchi hiyo kuwalinda Wananchi wake dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.
Sambamba na hilo, meelezwa kuwa nchi...
Habari wana Jamvi,
Wakati dunia inahangaika kutafuta dawa(tiba) ya kutibu ugonjwa wa Corona Virus Covd19.
Ikumbukwe hadi sasa watu wapatao 111,000 tayari wameambukizwa katika mabara 3 na zaidi ya watu 3,890 tayari wamepoteza maisha .
Hivyo hili ni Janga kwa Dunia nzima.
Lakini kwa wenzetu...
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ikishirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na Taasisi mbalimbali imebaini kwamba ndani ya mwili wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Mangula kulipatikana na sumu,uchunguzi kuhusu tuhuma ya sumu hiyo ilivyoingia mwilini upelelezi bado unaendelea...
Hellow wanabodi naomba kujuzwa madhara ya punyeto kwa mda mrefu zaidi ya miaka 8, Na nizipi njia za kusaidia kuacha hiyo tabia?
Na vipi kuna naamna ya kurudisha nguvu za kiume znazopotea kwa ujinga huo?
Nisaidieni madaktari
Wadau.
Leo Nimeona nipate Maoni yenu kwa kuzingatia kichwa cha habari Hapo Juu.
Kwa Siku za Mbeleni na kwa kutazama Uhalisia Wa Changamoto Mbalimbali za Kiafya Nchini, Je unaona Nani Atafaa Kuongoza Wizara ya Afya Na kwa Sababu zipi?
Kibinadamu Hakuna awezaye kudumu milele sehemu Moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.