Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Habari za asubuhi wanaJF,
Majuzi nilipost kuwa nilikuwa nahitaji mtaalam wa kutengeneza health database. Nilipata msaada na asanteni kwa walioniandikia inbox.
Leo, nina hitaji lingine:
Uwe na siku njema.
Majuzi nilipost kuwa nilikuwa nahitaji mtaalam wa kutengeneza health database. Nilipata msaada na asanteni kwa walioniandikia inbox.
Leo, nina hitaji lingine:
- Health Management System (HMS) kwa ajili ya mazingira ya hospitali na zahanati
- Mteja tunayemfanyia kazi ana network ya hospitali/zahanati zaidi ya 500, kwa hiyo multi-tenancy ni jambo muhimu mno. System tunayohitaji itakuwa on the cloud, maana hiyo ni hii - itakuwa ni system moja lakini kila facility (kituo cha afya) kitakuwa na login area yake na data zake, ila system itakuwa moja kwa ajili ya updates etc.
- Iwe na API kwa ajili ya kuweza kuvuta data kirahisi. tunapanga kuwa na mobile app na POS extension kwa ajili ya wepesi, kwa hiyo hilo ni la kuzingatia pia
- Ikiwa na uwezo wa kuintegrate na API ya NHIF/NSSF na bima zingine major, itakuwa ni added advantage.
Uwe na siku njema.