johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,961
- 141,959
Afisa afya wa uwanja wa ndege wa JNIA amesema siyo kweli kwamba wanaowekwa katika karantini wanalazimishwa kukaa hotel za bei kubwa.
Amesema kamati ya mkoa imechagua Hotel kadhaa kulingana na hadhi ya abiria wanaowasili hivyo kiwango cha malipo ni kati ya sh 150,000 kwa wenye uwezo hadi sh 30,000 kwa akina " mwenzangu na miye!
Hivyo wanaolalamika wana sababu nyingine labda lakini gharama kiukweli wanajichagulia wao wenyewe.
Source: ITV kumekucha