Ukweli mchungu!
Nchi nyingi za Kiafrika, zinaongozwa na wanasiasa mbumbumbu. Hii wala haihitaji kutumia nguvu kubwa kulitambua. Fuatilia wanasiasa wetu wengi, elimu zao ni za kuunga-unga. Wengi wana viraka vya elimu. Wengi wako kwenye nafasi aidha kwa sababu ya mchango wa wazazi wao au...
Hii nchi ya Zambia sijawahi kusikia kuna waasi, matukio ya kigaidi wala vurugu za kisiasa. Hata chama tawala kiliachia madaraka wapinzani kwa amani kabisa. Je hii ndiyo nchi salama zaidi Afrika?
Hatimaye, kwa uweza wa Mwenyezi Mungu, nahodha Samia Suluhu Hassan amekifikisha chombo mwisho wa mwaka 2023 kikiwa salama, hakuna hata aliyechubuka.
Ni safari ndefu yenye mawimbi makali, ambayo, kama si umahiri na weledi wa nahodha, ingetuwia ngumu.
Tanzania ndio muhimili wa amani Afrika...
Afrika Kusini imewasilisha kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki ya (ICJ) iliyopo The Hague Nchini Uholanzi dhidi ya Israel kwa kile ilichokitaja kuwa ni vitendo vya “mauaji ya kimbari” katika ukanda wa Gaza.
Kesi hiyo katika ICJ inahusiana na madai ya ukiukaji wa Israel wa jukumu lake...
Nchi za afrika zinazidi kujianika kwa kujionesha unafiki,ona sasa eti afrika kusini imepeleka mashtaka mahakama ya kimataifa ya haki(ICJ),kulikuwa na haja gani kuishtaki Israel?,kama kweli wanapenda haki sana kwanini wasingewashtaki Russia kwa kuua watoto wa Ukraine bila kuchokozwa?,kwahiyo sasa...
Ona hawa ‘makomandoo’ wa jeshi la Senegal.
Sipendi kuhukumu sana bila ya kuwa na taarifa za kutosha, ila kwa kutumia macho tu, naweza kusema hawa watu [wanajeshi wa Kiafrika] ni vilaza sana.
Hawa wajeda wa Senegal kumbe hawana tofauti na hawa wakwetu wanaovunjaga matofali kwenye maonyesho ya...
Umoja wa Mabalozi wa Nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania wamekabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa nyumba kwa wananchi waliokumbwa na mafuruko na maporomoko ya udongo katika eneo la Katesh Wilayani Hanang mkoa wa Manyara.
Akikabidhi msaada huo...
Hili tukio la mtoto mdogo kuchagua Simba sc baada ya kuwekewa nembo ya Simba na yanga, kisha akachagua Simba sc ni ishara yakwamba Simba sc ndio timu teule kutoka kwa Mungu kuiwakilisha Tanzania, Afrika mashariki na kati,na Afrika kwa ujumla Duniani kote kama Timu bora ya nyakati zote.
Pia...
Mwaka 2013, rais Xi Jinping wa China alitangaza Pendekezo la ‘Ukanda Mmoja, Njia Moja’ (BRI), ambalo limekuwa na manufaa kwa nchi mbalimbali zinazoendelea haswa nchi za Afrika katika sekta mbalimbali, ambapo thamani ya uwekezaji kati ya China na nchi zilizojiunga na Pendekezo hilo mpaka sasa...
Tuna kizaz cha wanaume wanaopenda kutumia hisia sana instead ya kutumia logics and facts.
Unakuta Mwanaume 30+yrs Bado ana stress za mapenzi yupo single hisia zote ziko kwa Wadada mwenye makalio makubwa mwanamke akimkataa tu anakua full stressed blaza tumia logic.
Mwanaume anacare sana...
Ni dhahiri kuwa vilabu vya Afrika Kaskazini ndivyo zinazofanya vizuri kuliko vile vya AfriKa Magharibi.
Hakuna haja ya kuokoteza wachezaji toka West Africa, wenye viwango duni. Wekezeni katika kusajili Toka North Africa.
HUTAJIFUNZA HILI KATIKA SHULE YOYOTE.
° Eneo la Afrika = 30,37 milioni km2
° Eneo la China = 9,6 milioni km2
° Eneo la Marekani = milioni 9,8 km2
° Eneo la Europa = milioni 10,18 km2
● Afrika ni kubwa kuliko Ulaya yote, Uchina na Marekani kwa pamoja.
● Lakini kwenye ramani nyingi za dunia...
Kwa ambao hatukusoma sana,si wajuzi wa teknolojia ya Hali ya juu,mitaji mikubwa changamoto kwetu,basi suruhisho la kututoa ktk UMASKINI ni biashara ya duka.
Faida ya duka la mahitaji ya nyumbani,. I)uhakika wa kuuza bidhaa Kila siku kwani watu wengi...
Tunatambua uwezo wa binadamu katika kujumuika na kuendesha mambo mengine ya kidunia, uongoni ni busara ya kushawishia kupitia maamuzi kwa ajili ya wengine.bahati mbaya iliyoje viongozi wa afrika hawana sifa ya uongozi (influence) bali wamepata authority (mamlaka) na power (nguvu) ya kutuendesha...
Kama zawadi ya sikukuu ya Krismasi, kuanzia Jumatatu wiki hii yaani tarehe 25, Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Madagascar, Mali, na Mauritania zimeungana na nchi nyingine 21 za Afrika katika kunufaika na soko la China kwa asilimia 98 ya bidhaa zake kama kahawa, matunda na...
Baada ya Papa Francis kuagiza kanisa katoliki kote ulimwenguni isipokua China kubariki ndoa za mashoga, sasa ni wakati muafaka Kanisa Katoliki Afrika kujiondoa kutoka kwenye mikono ya ukoloni wa Vatican na kujitenga kama ilivyo Kanisa Katoliki China.
China kanisa katoliki la Vatican halina...
Licha ya Rais William Ruto kueleza manufaa ya ziara zake Nje ya Nchi, mapokeo yamekuwa tofauti kwa Wananchi wakiwemo Watumiaji wa Mitandao ambao wanakidai Rais hakai Ofisini ili kutatua changamoto za Gharama za Maisha. Katika kipindi cha miaka miwili, Ruto amefanya ziara 42 katika 26, Nchi 15 ni...
Club ya kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club ni moja kati ya vilabu vichache Afrika vinavyowania kuwa wawakilishi wa bara hili katika mashindano ya kombe la dunia la vilabu mwaka 2025