afrika

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tamko la wazee Chadema: Mbowe ndiye kiongozi pekee barani Afrika asiyelipwa posho wala malipo yoyote na chama chake, anajitolea!

    Baraza la wazee wa Chadema limetoa tamko lake la kumtetea Mwenyekiti wa chama hicho dhidi ya njama ovu zinazotekelezwa na wabunge waliohamia CCM wakimtumia Mwita Waitara aliyewahi kuwa mlinzi wa Mbowe. Katika tamko lake baraza la wazee limetaja sifa kuu 3 za Mbowe: Mosi Mbowe ni mwenyekiti...
  2. Singidan

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Wadiya: Taifa la Afrika lisilotambulika

    Ukitazama filamu iitwayo “The Dictator” iliyoingia sokoni kwa mara ya kwanza mwaka 2012 (sasa inapatikana katika mtandao wa Netflix na Youtube) utabaini kuwa kuna taifa barani Afrika linaloitwa Jamhuri ya Kidikteta ya Wadiya, maarufu kwa jina la Wadiya. Ni filamu iliyoigizwa katika nchi mbili...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Diamond atuzwa ufalme wa kuwa Mtumbuizaji Bora Afrika

    Wiki iliyopita kuibuka mzozo wa Burnaboy na Diamond nani mkali Jana kwenye show ya MTV Base Afrika kijana wetu kagongelea msumari hakuna wa kumzidi kwenye perfomance stejini au kokote akifanya show Hadi B Dozen kakubali mzigo aliopiga Diamond, leo akiwa live kwenye kipindi cha XXL japo...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Salamu na ushauri kutoka Afrika ya Kusini kwa dada aliyedhalilishwa kuwa aliiba mume wa mtu

    Dada aliyedhalilishwa kwa kupigwa ikisadikika kwa kufumaniwa na mme wa mtu amesema wakati wa shamlashamla aliibiwa shilingi laki tisa Mimi sham natuma salamu Kwanza pole kwako kwa kudhalilishwa mimi Kama mwanamke niliumia sana kwa kitendo ulichofanyiwa, hata Kama alikuwa hivyo haikuwa lazima...
  5. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliokwama kwa lockdown Afrika Kusini warejea nchini

    Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Meja Jenerali (Mst) Gaudence Milanzi Jumatatu Mei 25, 2020 amesimamia zoezi la repatriation (usafirishaji) wa dharura) ya Watanzania pamoja na raia kadhaa wa nchi hiyo waliokwama kutokana na Lockdown na kusitishwa safari za ndege inayoendelea huko, kutoka...
  6. Robidinyo

    JamiiForums Tanzania Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

    Kuhusu kulipia show =========== Jamaa kaona isiwe kesi, Kiki hakuna kaamua kujilipua kwa kununua Airtime ili Akiki siku mbili tatu ==================== Kuhusu performance ya kuwa nzuri ===================== ================== Kuhusu performance ya kuwa sio nzuri ================
  7. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kulegeza masharti kukabiliana na Corona

    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amesema maambukizi ya virusi vya Corona nchini mwake yanaendelea kuongezeka kama ilivyobashiriwa na wanasayansi. Katikati mwa wiki iliyopita wanasayansi nchini Afrika Kusini walionya kuwa huenda watu 50,000 wakapoteza maisha na wengine zaidi ya Milioni tatu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Siku ya Afrika: Rais Magufuli ang'ara, UN yazitaka nchi tajiri kusamehe madeni kwa nchi za Afrika ili ziweze kupambana na Corona

    Leo ni siku ya Afrika. Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona. Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Rais Ramaphosa asema mlipuko wa Corona utakuwa mbaya zaidi nchini humo

    Rais wa Afrika Kusini ametehadharisha kuwa hali ya mlipuko wa virusi vya corona inaelekea kuwa mbaya zaidi, wakati akitangaza kulegeza masharti ya kubaki nyumbani. Cyril Ramaphosa amesema zaidi ya watu 22,000 wamerekodiwa kuwa na maambukizi juma lililopita. Pamoja na hayo , rais amesema kuwa...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Kiongozi wa Chama cha siasa kutokea Afrika anayeheshimika zaidi Duniani

    Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za kistaarabu , ni mvumilivu asiye na kisasi hata kwa watesaji wake waliojiapiza hadharani na gizani kumshughulikia. Huyu ndio Mwanasiasa...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania China kuendelea kuisaidia Afrika kukabiliana na COVID-19

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China Bw. Wang Yi amesema, China itaendelea kuzisaidia nchi za Afrika kupambana na COVID-19, na kuchangia utekelezaji wa pendekezo la Kundi la nchi 20 la kukubali nchi maskini kuahirisha kulipa madeni. Vilevile China inafikiria kutoa msaada zaidi kwa nchi za Afrika...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Magufuli ni Rais bora kushinda Marais wote Afrika kwa sasa

    Kadri siku zinavyokwenda Tanzania, Mh. Magufuli anazidi kujipambanua kama kiongozi bora miongoni mwa viongozi wa Afrika. Sababu zipo nyingi kuthibitisha ukweli wa hoja hii. Japo sababu hizi kwa kiasi kikubwa zinahitaji ufafanuzi wenye hazina kubwa ya mifano lukuki na kuntu. Lakini kwa leo...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Wanaume kutoka Kanda ya Ziwa ndio wanaume wanaojua kuhonga ukanda wa Afrika Mashariki na Kati

    Katika utafiti ambao hivi karibuni utachapishwa mitandaoni kutoka taasisi moja ya utafiti unaonyesha kua wanawake wengi wanasema kua wanaume kutoka kanda ya ziwa ndio wanaume wanaojua kuhonga kuliko wanaume wote Ukanda wa Afrika Mashariki na kati. Wanawake walipoulzwa ni makabila gani hasa...
  14. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania Historia & Shujaa: Dedan Kimathi, Afrika na Uafrika Vol. 1

    Alizaliwa, akapambana na kuuliwa kikatili, tofauti na wengine, yeye hata nchi yake ilipanga kufutilia mbali historia yake na kumtambua. Marehem akumbukwe kwa mazuri bwana. Hata anapopumzika ajiskie kweli alifanya kitu. Hii ni imani yangu mimi muafrika, kama hyukubali pole sana. Awamu mbili za...
  15. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Marais wengi Afrika wanasubiri wazungu watafute dawa ya Corona, wamuige Rais Magufuli

    Marais wengi wa Afrika wajinga Corona imevamia nchi zao ambayo haina dawa badala ya kutafuta dawa wako tu wana lovkdown watu wao wakati dawa hawana. Wanakodoa tu mimacho kwa wanasayansi Wazungu wagundue dawa!!!! Rais Magufuli akaona asisubiri wazungu yeye kama Rais anatakiwa atafute ufumbuzi...
  16. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Je, ufisadi na ubadhirifu ndio tatizo pekee kubwa kwa nchi za Afika?

    Nimetafakari sana na kujiuliza juu ya hili swali. Maana hata kabla ya kurudi kwa mfumo wa vyama vingi hapa Tanzania na nchi nyingine nyingi za Africa, sababu kubwa iliyoletwa na taasisi kama World Bank na nchi nyingi za wahisani ilikuwa ni kudhibiti ubadhirifu na ufisadi. Wahisani na World...
  17. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania HISTORIA: Josiah Mwangi Kariuki, Afrika na Uafrika VOL 1

    Josiah Mwangi Kariuki, almaarufu kama J.M Kariuki. Mwanaharakati na mwanasiasa na maarufu, aliyekaa gerezani kama mwanachama wa Mau Mau, kundi ambalo lilikuwa limepigania uhuru wa Kenya mnamo 1963. Aliyechaguliwa kwenye bunge la Kenya na kuwa mtu muhimu kwa Rais wa Kenya. Mtu mwenye chachu ya...
  18. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania Historia/shujaa: Josina Machel

    Kwakua tumetoka kwenye wiki ya mama duniani, niliona si vibaya nikifululiza habari za wanawake katika thread zangu. Kabla wenzangu hawajanijia juu, leo naomba niwape ya dada huyu. Usiongee maneno ya kumdharau kwa mwanamke kabla haujayasikia ya mwanadada Josina Muthemba Machel. Mama wa Taifa la...
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwanini msichana mwafrika akiishi Ulaya lazima awe mzuri mrefu tofauti na ambavyo angeishi sana Afrika?

    Fanya utafiti utagundua msichana wa kiafrika akikulia afrika anakuwa wakawaida ila akija ulaya au marekani anakuwa mzuri mno mnoo.
  20. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania HISTORIA/SHUJAA :Yaa Asantewaa, AFRIKA NA UAFRIKA VOL 1 by me

    Ni ajabu sana hii dunia ilivyoumbwa, umewahi ona wanawake wapambanaji? Mwanamziki kutoka Kingstone Jamaica Orville Richard almaarufu kama Shaggy, ana nyimbo yake ambayo amemwelezea mwanamke alivyo na nguvu na upendo. Mwanamke akikaa sehemu basi lazma mambo yanyooke.. kama utahitaji kujadili...
Back
Top Bottom