afrika

  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Corona halisi imeishia Ulaya na Marekani tunalazimishwa Afrika tulie kama wao, basi na wao wahamie kwetu ili nasi twende kwao. Magufuli nimekuelewa

    Unahitaji utulivu wa akili na umakini katika kufikiri ili kumuelewa Magufuli kelele za Covid-19: Hoja Sita! Denis Mpagaze ___________________________ Katika kipindi hiki cha corona na propaganda za magharibi, tusipojipa muda wa kuusaka ukweli tutakuja kumuelewa Rais Magufuli akiishaoondoka...
  2. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Mifumo ya Elimu Afrika inarudisha maendeleo yako?

    JE WAJUA? UBOVU WA MFUMO WA ELIMU UMECHANGIA UMASKINI WAKO Mfumo wa elimu Africa na *chui wa makatasi* ( sehemu ya 1) Na Mikael Aweda Naanza kwa kuuliza swali la kushtua kidogo. Je, wajua kuwa mfumo wa shule zetu nyingi Afrika unachangia wewe kuwa maskini?? Bila shaka hilo hi swali la...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha umasikini Afrika sio viongozi ila ukosefu wa ujuzi wa sayansi na teknolojia

    Jibu rahisi la waafrika wote ambalo wamepewa na mabeberu, la kwanini Afrika ni masikini, ni 'ubaya na kasoro za viongozi wetu'. Lakini jibu sahihi ni ukosefu wa ujuzi wa kisayansi na teknolojia, kuzalisha na kutengeneza bidhaa kwa kutumia malighafi na madini yetu. Kwa sababu sio rahisi kupata...
  4. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania Historia/ Shujaa: Bibi Zura Karumbi, Afrika na Uafrika VOL 1

    Mchawi mpatie mwanao amlee, kauli ina ukakasi hii. Ndio hatomuua, lakini je akimfundisha uchawi mtoto huyo na kuja kuwa balaa kwenye nyumba yako?. Kuna wachawi wameokoa watu na kupata tuzo. Wenzetu wa kabila Fulani wakikuhisi tu hata kama una macho mekundu wanakuua. Tumepoteza mashujaa wengi...
  5. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Rais Paul Kagame awakemea vikali Marais wa Afrika wasiowajibika kuzuia janga hatari la ugonjwa wa Corona

    Akihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30 Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari, hawajulikani walipo, wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani, maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu. Wanasali kila jumapili...
  6. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania Historia: Chuo Kikuu cha Timbuktu, Afrika na uafrika vol 1

    Miaka ya 2000, msanii wa mtindo wa Hiphop kutoka Marekani #Nas alitamba kwa nyimbo ya i can. Nyimbo ambayo iliimbwa na inaimbwa na wengi pale tu wanapositia mdundo au kuskia kiitikio chake kitamu. Dakika ya 2 sek 42 anaanza kuzungumzia urithi wa Afrika. Hakuacha kuitaja timbuktu kama sehemu...
  7. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania Historia: Chuo kikuu cha Timbuktu, Afrika na Uafrika vol 1

    Miaka ya 2000, msanii wa mtindo wa Hiphop kutoka Marekani #Nas alitamba kwa nyimbo ya i can. Nyimbo ambayo iliimbwa na inaimbwa na wengi pale tu wanapositia mdundo au kuskia kiitikio chake kitamu. Dakika ya 2 sek 42 anaanza kuzungumzia urithi wa Afrika. Hakuacha kuitaja timbuktu kama sehemu...
  8. B

    JamiiForums Tanzania WHO yasema idadi ya maambukizi ya Corona hayatakuwa makubwa Afrika kama ilivyokadiriwa

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetabiri kuwa idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona barani Afrika haitakuwa kubwa kama ilivyokadiriwa na kilele chake pia kitachelewa kufika katika nchi nyingi za bara hilo kutokana na hatua madhubuti zilizochukuliwa kuzuia kuenea kwa virusi hivyo. Mkurugenzi...
  9. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania Tom Mboya , Afrika na Uafrika Vo;OL 1

    Kwa wapenzi wa muziki, kibao cha Nerea kilichoimbwa na Saut Soul, dakika za mwishoni anatajwa Tom Mboya. Ni kawaida kwakua nyimbo hii imewataja mashujaa wengi wa Afrika. Nyimbo nyingine ya SAUT SOL FT NYANSHISKI, Tujiangalie, kuna sehemu wanasema Na TOM mboya ameshika tama Alituacha kama...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Serikali yakiri kuficha takwimu za #coronavirus ili kuepuka taharuki

    Serikali ya Afrika Kusini inaficha ya taarifa kuhusu #COVID19 ili kuepusha taharuki kwa wananchi. Serikali imeamua hayo baada ya hatua yake ya kwanza ya kuweka zuio la kutoka nje kukosolewa vikali Msemaji wa Rais amesema kwa kuwa idadi ya wagonjwa inapanda kwa kasi kuna haja ya kuficha taarifa...
  11. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Fahamu gunduzi kubwa zilizoanza kuvumbuliwa Afrika (Misri) kabla ya Wazungu

    Salute Nakumbuka kipindi nipo secondary kwenye masomo yangu pendwa hasa Biology karibia kila terminology nililiyokua nasoma kwenye definition yake ilikua inaanza na maneno “it’s a Greek word”, swali kubwa nililokua nabaki nalo na mpaka sasa hua najiuliza ni kwamba..Je wagiriki ndio watu wenye...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Kikao cha bunge chavurugwa kwa picha za ngono

    Mkutano wa kamati ya bunge kwa njia ya mtandao Afrika Kusini umevamiwa na wadukuzi na spika kudhalilishwa. Kikao hicho kilikuwa tu ndio kimeanza Alhamisi asubuhi wakati ambapo picha za ngono zilipojitokeza kwenye skrini huku sauti ya mwanamume ikisikika kumtusi Spika Thandi Modise, ambaye...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Sanamu ya Mwl. Nyerere kujengwa katika Makao makuu ya Umoja wa Afrika, Ethiopia

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inaratibu ujenzi wa Sanamu ya Mwalimu Julius Kamabarage Nyerere katika viwanja vya jengo la Amani na Ulinzi la Julius Nyerere lililopo katika Makao Makuu ya Umoja wa...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Hispania katika Afrika haukuacha majengo mengi kama walivyojenga Amerika y Kusini

    Katika kumbukumbu za ukoloni, sifa kubwa ya Hispania ilikuwa ujenzi. Walibuni na kujenga majengo ya kupendeza kama vile sifa ya Uingereza ilivyokuwa katika utawala bora. Katika Afrika, Hispania ilitawala Equatorial Guinea, mpaka sasa hivi Kispaniola ndiyo lugha rasmii ya nchi hii. Wakati...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika kuchunguza ufanisi wa dawa ya mitishamba ya Madagascar

    Umoja wa Afrika (AU) unafanya mazungumzo na Jamuhuri ya Madagascar, ili kupata data za kiufundi kuhusu usalama na ufanisi wa dawa ya mitishamba iliyotangazwa hivi karibuni ambayo ilidai inazuwia na kutibu Covi-19. AU imesema kuwa Kamishna wa tume ya Umoja wa Afrika inayohusika na masuala ya...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dawa ya mitishamba kutibu COVID-19 kutoka Madagascar yaonesha mafanikio makubwa, Nchi kadhaa za Afrika kuanza kutumia

    Wakati wanasayansi duniani wakihangaika kupata chanjo na tiba ya virusi vya Corona, hivi karibuni rais wa Madagascar Andry Rajoelina alizindua dawa ya mitishamba ''inayotibu'' ugonjwa wa Covid-19. Kwa wiki mbili sasa, rais Andry Rajoelina amekuwa akifanya mazungumzo na viongozi wenzake wa nchi...
  17. Maleven

    JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akosekana kwenye kikao kilichofanywa kwa njia ya video cha wenyeviti wa kanda za Afrika

    Akiwa kama mwenyekiti wa SADC, Rais Magufuli amekosekana kwenye kikao kilichofanywa kwa njia ya video ambacho kimeongozwa na Mwenyekiti wa AU ambaye ni Rais wa Afrika Kusini mh. Cyril Ramaphosa. Rais Magufuli ndiye kiongozi pekee wa kikanda aliyekosekana kwenye kikao hicho. Kwa maana hiyo...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kipanya: Wanasayansi wa Afrika wanatafuta dawa ya corona?

  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Vyama vizee Afrika vinakufa na vingine vimeshakufa. Je, kuendelea kuving'ang'ania ni kupingana na asili au ujinga wa ving'ang'anizi?

    Waswahili husema hakuna marefu yasiyo na ncha. Pia hakuna kitu kitadumu milele duniani. Siasa Siasa za ulaya na merikani zinatoa nafasi sawa ya haki kushundana bila mpinzani kupata kashkashi yoyote ile mfano marekani democrats na republic ni vyama kongwe sana huwezi kusikia mmoja akishika dola...
Back
Top Bottom