afrika

  1. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli, Rais Bora Afrika kwa mwaka 2019

    Kwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika: 1. Amefufua shirika la ndege lililokufa kwa kununua ndege mpya 8 kwa pesa taslimu 2...
  2. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Shirika La Misaada Afrika

    Pana haja ya kuanzishwa (iwapo bado) shirika mahsusi wa kutoa misaada itokayo nchi za Afrika kwenda nje ya Afrika. Sikumbuki kusikia shirika la misaada la nchi yoyote ya Kiafrika. Kama lipo shirika la namna hiyo, basi halisikiki sana. Wanufaika wa shirika hilo wanaweza kuwa Waafrika na binadamu...
  3. kibol

    JamiiForums Tanzania Ally Msengi amesajiliwa na klabu ya Stellenbosch ya Ligi Kuu Afrika Kusini kwa mkataba wa miaka mitatu

    KIUNGO mkabaji chipupizi wa Tanzania, Ally Msengi amesajiliwa na klabu ya Stellenbosch ya Ligi Kuu Afrika Kusini kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Kinondoni Municipal Council (KMC) ya Dar es Salaam. Mratibu wa kampuni ya Siyavuma Sports Group, Michael Mwebe ameiambia Bin Zubeiry Sports –...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Elimu ya usawa wa kijinsia bado inahitajika Afrika

    Gender ni jinsia ya kike na kiume. Afrika mtoto wa kiume anapewa nafasi kubwa katika famila tangu akiwa mdogo. Mfano tu mama kunyanyaswa na mumewe kwakua hana mtoto wa kiume. Kuna familia unakuta wamezaliwa mabinti na wavulana. Imetokea mabinti ndiyo wenye uwezo wa pesa, watasaidia uchumi wa...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Benki ya Maendeleo Afrika yatoa mabilioni ya pesa kwa ajili ya ujenzi wa barabara Kenya na Tanzania

    Watu zaidi ya milioni tatu katika nchi za Tanzania na Kenya, watanufaika na Euro milioni 345 kutoka Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kusaidia ujenzi wa barabara. Barabara zitakazohusika ni za Mombasa-Lunga Lunga/Horohoro na Tanga-Pangani-Bagamoyo katika awamu ya kwanza, ikiwa ni asilimia 78.5...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Azimio la kulinda haki ya matumizi ya intaneti Afrika lawasilishwa

    Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Mambo ya Nje katika Baraza la Wawakilishi Karen Bass (Mdemokrat wa California) amewasilisha azimio linalozitaka serikali za Afrika kulinda na kuhamasisha haki za kibindamu kupitia uhuru wa intaneti na kuwaunganisha kidijitali raia wa nchi zote za Afrika. “Kuzuia au...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Pesa 8 zenye nguvu Afrika

    Nguvu ya pesa hutambulika kwa vitu vingi ikiwemo upatikanaji na uzalishaji wake ( supply and demand ), nguvu za soko ndani ya nchi, mfumko wa bei na soko la ubadilishwaji pesa. Dola ya marekani huchukuliwa kuwa pesa yenye nguvu zaidi duniani hivyo katika upimaji wa pesa nyingine, tunaitumia...
  8. Mr worldwide

    JamiiForums Tanzania Easther Matiko katika mashindano ya riadha ya wabunge Afrika mashariki

    Mashindano ya riadha, mita 400
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wakatishwa tamaa na COP25

    Mazungumzo ya Mabadiliko ya Tabia Nchi ya Madrid (COP25) yamemalizika kwa hali ya kuvunja moyo, baada ya wachafuzi wakubwa wa mazingira kupinga nyongeza ya jitihada za kukabiliana na ongezeko la kiwango cha joto duniani. Waandaaji wa mkutano waliwakusanya washiriki kutoka mataifa 200 hadi zaidi...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Afrika wanapelekwa India kwa ajili ya ngono

    BBC Africa Eye imefichua mtandao unawashawishi wanawake wa Kiafrika kwenda India, ambako wanalazimika kufanya ukahaba ili kuwaridhisha wanaume wa Kiafrika wanaoishi New Delhi. Paspoti zao zinachukuliwa na matembezi yao kudhibitiwa hadi watakapolipia gharama kubwa waliyotumia kusafiri kwenda...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nchi gani ya Afrika iliyoongozwa/tawaliwa na Rais mmoja tu kwa miaka mingi na ikapata maendeleo?

    Iko mifano mingi Afrika ya nchi ambazo marais wake wameongoza au tawala kwa muda mrefu (miaka mingi) lakini hakuna chochote cha maana walichofanya. Kutaja kwa uchache, Uganda na Congo!!! Itambulike iwe Rais mwenyewe, wasaidizi wake, washauri wake au mwananchi wa kawaida kufikiria tu rais...
  12. B

    JamiiForums Tanzania CNN: Tanzania yatoa kivutio namba 1 cha kutembelewa kwa mwaka 2020, yazishinda nchi nyingine 30

    With its expansive landscapes and formidable animal life, the world's second-biggest continent is arguably the best for photographers. Throw in that sense of being in a place that hasn't changed for centuries, and sometimes millennia, and you get some of the most inspiring, and inspired...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nini mantiki ya Zanzibar kushiriki mashidano ya vilabu ya Afrika na si timu ya taifa?

    Wadau hili suala huwa linanitatanisha sana! Hivi inakuwaje Zanzibar inashiriki mashindano ya Vilabu ya CAF ilihali sio mwanachama, na ndiyo linapokuja suala la Timu ya Taifa inayotambuliwa ni ya Tanzania (URT) Au kwenye vilabu Zanzibar hushiriki kama mwalikwa wa kudumu?
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hili la marais wa Afrika kulindwa na walinzi wawili katika matukio tofauti lipo tu barani Afrika au ni duniani kote?

    Nimekuwa nikiona sana karibia marais wengi barani Afrika (ila sina uhakika kama na wa Tanzania nae yupo hivyo) mara nyingi wanakuwa wanalindwa na walinzi wa aina mbili wawapo katika matukio tofauti ya kijamii na kitaifa. Kwa mfano kuna Rais mmoja barani Afrika huwa naona akiwa katika matukio ya...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Afrika kushindwa kutambua talanta yetu kumeturudisha nyuma

    Muziki na mbio ni talanta kubwa ya Afrika. Hatukuliona hili mapema tuling’ang’ania elimu ya mzungu na kila familia ilipigana iwe angalau na mmoja mwenye degree ya chuo kikuu ili aikomboe familia. Angalia number ya wanamuziki, wakimbiaji na wanamichezo wenye asili ya Afrika, entertainment is our...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Je, ni vitu vingapi vilivyoibwa Afrika na sasa vipo katika makavazi tofauti duniani?

    Ni jogoo mwenye historia yenye utata ambaye amesafiri mbali zaidi ya taifa la Nigeria anakotoka - na sasa anatarajiwa kurudishwa nyumbani. Chuo kimoja kuu cha Cambridge kimetangaza kwamba kitarudisha mojawapo ya kile kilichotajwa kuwa shaba ya Benin , kilichoibwa kutoka mji mkuu wa Benin ambao...
  17. Determinantor

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Ali Mufuruki afariki dunia Afrika Kusini. Aagwa katika Ukumbi wa JNICC. Kuzikwa Makaburi ya Kisutu, Dar

    Kuna taarifa za msiba wa Alli Mafuruki. Hakuna taarifa zaidi zilizopatikana hadi sasa. Pumzika kwa Amani ==== Mwenyekiti na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Infotech Investment Group, Ali Mufuruki amefariki dunia leo Enzi za uhai wake Mufuruki aliwahi kuwa Mkurugenzi Huru, Mwenyekiti wa Bodi...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Takwimu: Umoja wa mataifa waeleza kuwa takribani watu 280 wafariki na wengine milioni 2.8 wameathirika kwa mafuriko Afrika Mashariki

    Umoja wa Kimataifa (UN) waeleza kuwa Karibu watu 280 wamefariki na wengine zaidi ya milioni 2.8 walioathiriwa na mvua nzito na mafuriko katika ukanda wa Afrika mashariki. Ofisi ya UN ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imesema nyumba, miundombinu na makazi ya watu yameharibiwa jambo...
  19. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli, Afrika yetu hatukuwa na Tairi (Gurudumu) kabla ya Ukoloni?

    Nimemsikia Profesa mmoja kutoka Chicago School of Economics, akisema kwamba sababu ya Afrika yetu kuwa nyuma kimaendeleo kuliko sehemu nyingine ni kwa sababu hatujawahi kuwa na tairi hapo nyuma, ndioo namaanisha tairi kama la gari. Yaani hatukuwahi kuunda tairi na kulitumia kwenye shughuli mbali...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mvua Afrika Mashariki: Vimbunga pacha kupiga Alhamisi, Ijumaa

    Vimbunga viwili vinatarajiwa kutua katika pwani ya Afrika Mashariki usiku wa leo Alhamisi na kesho Ijuamaa, mamlaka za hali ya hewa zinaripoti. Eneo la Puntland nchini Somalia ndilo linalotarajiwa kuathirika zaidi na tufani hiyo. Kwa mujibu wa wataalamu wa hali ya hewa, mgandamizo wa hali ya...
Back
Top Bottom