afrika

  1. YEHODAYA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ng`ombe mlevi kushinda wote Afrika Mashariki huyu hapa

    Kutana na ng`ombe chapombe
  2. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na Esther Bulaya watakiwa kujieleza kwanini walienda Afrika ya Kusini bila kibali cha Mahakama

    Hakimu Thomas Simba ameahirisha kesi ya viongozi wa CHADEMA ili kutoa muda kwa wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na wadhamini wao kujieleza kwanini wasifutiwe dhamana baada ya kusafiri nje ya nchi bila ruhusa ya mahakama. Mdee amesema alienda Afrika Kusini kupata matibabu baada ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika ( AU) wampongeza Rais Magufuli kwa kutekeleza kwa vitendo ndoto za mwalimu Nyerere za kuiunganisha Afrika

    Kamishna wa AU mh Bade kwa niaba ya Umoja wa Afrika amempongeza kwa dhati Rais wa Tanzania Dr Magufuli kwa kuzitekeleza kwa vitendo ndoto za mwalimu Nyerere za kuiunganisha bara la Afrika. Bade ametoa pongezi hizo jijini Arusha wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la makao makuu ya...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Dangote aongoza kwa utajiri Afrika, Mo Dewji ashika nafasi ya 16

    Mfanyabiashara maarufu nchini Mohammed Dewji (Mo) ametajwa kuwa miongoni mwa mabilionea 20 wa Afrika kwa ripoti ya mwaka 2020 licha ya utajiri wake kupungua kwa Dola milioni 300 (Sh692.67 bilioni). Katika orodha hiyo ya jarida mashuhuri la Forbes kwa mwaka huu limemtaja Mo mwenye miaka 44 kama...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Watu wengi Kusini mwa Afrika wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi

    Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limetoa wito wa fedha zaidi kwa ajili ya juhudi zake za kupambana na njaa katika nchi za kusini mwa Afrika ambazo watu wengi wanakabiliwa na ukosefu wa usalama wa chakula kutokana na athari za mabadiliko ya tabianchi na hali mbaya ya kiuchumi. Taarifa...
  6. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi abainisha uzembe matumizi ya Kiswahili Afrika Kusini

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki nchini Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amesema Tanzania ilizembea kupata fursa ya kufundisha lugha ya Kiswahili nchini Afrika Kusini na kusababisha fursa hiyo kuangukia kwenye nchi nyingine. Akizungumza katika hafla ya kuwaapisha...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afrika ina mafuriko ya dawa feki

    Shirika la Afya Duniani (WHO) inakadiria kuwa watu 100000 wa Afrika hufa kwa dawa bandia. Ilikadiriwa kuwa mwaka 2015 watoto 122,000 chini ya miaka mitano walifariki kwa kutumia dawa zisizo na ubora za kuzuia malaria kusini mwa jangwa la Sahara Utawala dhaifu, huduma mbovu za afya na wimbi la...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Afrika hatukua tayari kupata Uhuru miaka ya 50-60

    Miaka karibia 60 baada ya uhuru 50% ya raia hawana uhakika wa huduma za jamii. Kuna vijiji huko unasafiri siku mbili kabla hujafika kituo chako cha karibu cha polisi. Mtu akifariki kama ni kifo chenye mashaka inabidi maiti ikae siku mbili ndani kabla polisi hajafika. Elimu, Afya, Maji hali ya...
  9. MJENGA

    JamiiForums Tanzania Utandawazi (Globalization): Adui hatari wa Afrika asiyesemwa kwa undani madhara yake

    Ndugu zangu poleni na majukumu. Leo nimeona tukumbushane jambo muhimu la kuliewa sote Waafrika. Nimeona tujikumbushe ni wapi wakubwa wa dunia wanatupeleka sisi tuitwao dunia ya tatu. Ni kwamba kuanzia karne ya 14 hadi 16 huko Ulaya tayari vijitaifa (nation states) vilikuwa vimeanza kupata...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli, Rais Bora Afrika kwa mwaka 2019

    Kwa vigezo vinavyoonekana na kupimika, Mheshimiwa Magufuli ndiye RAIS BORA barani Afrika kwa mwaka 2019. Nina sababu 20 ambao ni Ushahidi wa ubora wa Magufuli ukimlinganisha na maraisi wengine wote wa Afrika: 1. Amefufua shirika la ndege lililokufa kwa kununua ndege mpya 8 kwa pesa taslimu 2...
  11. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Shirika La Misaada Afrika

    Pana haja ya kuanzishwa (iwapo bado) shirika mahsusi wa kutoa misaada itokayo nchi za Afrika kwenda nje ya Afrika. Sikumbuki kusikia shirika la misaada la nchi yoyote ya Kiafrika. Kama lipo shirika la namna hiyo, basi halisikiki sana. Wanufaika wa shirika hilo wanaweza kuwa Waafrika na binadamu...
  12. kibol

    JamiiForums Tanzania Ally Msengi amesajiliwa na klabu ya Stellenbosch ya Ligi Kuu Afrika Kusini kwa mkataba wa miaka mitatu

    KIUNGO mkabaji chipupizi wa Tanzania, Ally Msengi amesajiliwa na klabu ya Stellenbosch ya Ligi Kuu Afrika Kusini kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Kinondoni Municipal Council (KMC) ya Dar es Salaam. Mratibu wa kampuni ya Siyavuma Sports Group, Michael Mwebe ameiambia Bin Zubeiry Sports –...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Elimu ya usawa wa kijinsia bado inahitajika Afrika

    Gender ni jinsia ya kike na kiume. Afrika mtoto wa kiume anapewa nafasi kubwa katika famila tangu akiwa mdogo. Mfano tu mama kunyanyaswa na mumewe kwakua hana mtoto wa kiume. Kuna familia unakuta wamezaliwa mabinti na wavulana. Imetokea mabinti ndiyo wenye uwezo wa pesa, watasaidia uchumi wa...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Benki ya Maendeleo Afrika yatoa mabilioni ya pesa kwa ajili ya ujenzi wa barabara Kenya na Tanzania

    Watu zaidi ya milioni tatu katika nchi za Tanzania na Kenya, watanufaika na Euro milioni 345 kutoka Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kusaidia ujenzi wa barabara. Barabara zitakazohusika ni za Mombasa-Lunga Lunga/Horohoro na Tanga-Pangani-Bagamoyo katika awamu ya kwanza, ikiwa ni asilimia 78.5...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Azimio la kulinda haki ya matumizi ya intaneti Afrika lawasilishwa

    Mwenyekiti wa kamati ndogo ya Mambo ya Nje katika Baraza la Wawakilishi Karen Bass (Mdemokrat wa California) amewasilisha azimio linalozitaka serikali za Afrika kulinda na kuhamasisha haki za kibindamu kupitia uhuru wa intaneti na kuwaunganisha kidijitali raia wa nchi zote za Afrika. “Kuzuia au...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Pesa 8 zenye nguvu Afrika

    Nguvu ya pesa hutambulika kwa vitu vingi ikiwemo upatikanaji na uzalishaji wake ( supply and demand ), nguvu za soko ndani ya nchi, mfumko wa bei na soko la ubadilishwaji pesa. Dola ya marekani huchukuliwa kuwa pesa yenye nguvu zaidi duniani hivyo katika upimaji wa pesa nyingine, tunaitumia...
  17. Mr worldwide

    JamiiForums Tanzania Easther Matiko katika mashindano ya riadha ya wabunge Afrika mashariki

    Mashindano ya riadha, mita 400
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wakatishwa tamaa na COP25

    Mazungumzo ya Mabadiliko ya Tabia Nchi ya Madrid (COP25) yamemalizika kwa hali ya kuvunja moyo, baada ya wachafuzi wakubwa wa mazingira kupinga nyongeza ya jitihada za kukabiliana na ongezeko la kiwango cha joto duniani. Waandaaji wa mkutano waliwakusanya washiriki kutoka mataifa 200 hadi zaidi...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Afrika wanapelekwa India kwa ajili ya ngono

    BBC Africa Eye imefichua mtandao unawashawishi wanawake wa Kiafrika kwenda India, ambako wanalazimika kufanya ukahaba ili kuwaridhisha wanaume wa Kiafrika wanaoishi New Delhi. Paspoti zao zinachukuliwa na matembezi yao kudhibitiwa hadi watakapolipia gharama kubwa waliyotumia kusafiri kwenda...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Nchi gani ya Afrika iliyoongozwa/tawaliwa na Rais mmoja tu kwa miaka mingi na ikapata maendeleo?

    Iko mifano mingi Afrika ya nchi ambazo marais wake wameongoza au tawala kwa muda mrefu (miaka mingi) lakini hakuna chochote cha maana walichofanya. Kutaja kwa uchache, Uganda na Congo!!! Itambulike iwe Rais mwenyewe, wasaidizi wake, washauri wake au mwananchi wa kawaida kufikiria tu rais...
Back
Top Bottom