2020 Afrika Mashariki kutembelewa na marais wawili wa dunia, Trump wa Marekani na Netanyahu wa Israel

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
30,063
2,000
Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa dunia.

Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika Mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine.

Mungu awabariki.

Maendeleo hayana vyama!
 

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
8,266
2,000
Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa Dunia.

Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine.

Mungu awabariki.

Maendeleo hayana vyama!
Kama tunajivunia kutembelewa na mtu kama Trump basi siwezi tena kujivunia kuitwa Mtanzania!
 

kigogo warioba

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
5,350
2,000
hawatakuja bongo, sasa hizo fursa tutazipataje? labda tuwabebe wanyama kama kawaida yetu tuwapeleke huko kenya na rwanda ili tuifuate fursa
 

sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,481
2,000
Ha ha ha ha.. Sifa ya kuwaleta viongoz wa dunia hapa bongo, atabaki nayo Jk pekee.. huyu wa sasa atakaefanikiwa kumleta hapa, tena mara kwa mara ni Paul Kagame, his role model..
 

T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
1,724
2,000
Hawawezi wakaenda nchi zote za Afrika Mashariki. Wakija Kenya tu au Uganda, Tanzania hailambi unga. Pia Netanyahu ni PM sio rais.
 

Job K

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
9,287
2,000
Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa dunia.

Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika Mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine.

Mungu awabariki.

Maendeleo hayana vyama!
Tunaipongeza awamu ya tano ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kufanikisha ujio huu!
 
Top Bottom