89% ya waliofariki na Corona wametoka bara la Ulaya, Marekani, China na Iran, huku 0.5% vikitoka Afrika na 0.2% weusi tii! Then why lockdown in Africa

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Ukifuatilia kwa umakini epidemiology ya ugonjwa huu haiziathiri ngozi nyeusi zilizokulia Africa zinazopambana na Virus wengi walioko kwenye Vumbi tunalokutana nalo pengine Vumbi hili lina particles ndogondgo ambazo hazitakiwi na mwili na hivyo basi kinga za miili yetu ziko stressed kuingia vitani kila siku yaani ni kinga korofi zilizo tayari kwa Vita kila dakika kuulinda mwili maana tunazikorofisha kila kukicha na zenyewe hazichoki

Kwa lugha rahisi ya kisayansi ni kwamba Virus ni single celled organism prokaryotes, ambaye hawezi kuishi nje ya host

Kosa walilolifanya wazungu ni kuliondoa vumbi ambalo lina mahusiano ya moja kwa moja na maisha yet u

Sayansi inasema hawa Virus huwa wako katika hali ya kujitafutia chakula ambapo basi virus hawa huona mwili wa binadamu au viumbe wengine Kama sehemu ya kutafuta chakula kukuua huwa si kusudio Lao

Kwa hiyo viongozi wa Afrika ruhusuni tu watoto waende shule na watu waendelee na maisha yao

Wazungu wafikirie upya uhifadhi wa Mazingira yao
 
Nasubiri Michango yenu zaidi
Siku Africa tutakumbwa na Gonjwa la Virus hivi kisawasawa tutapukutika kama Ukimwi ulitupukutisha. Wenzetu hii Fursa Kwao Wanajipanga wanasahihisha kilichokosekana kwenye Health System/facilities zao. Wakiponea hii haitakaa iwapitie na kuwashinda tena.

Nawapa Pole Wazungu na Wachina Kwa kuondokewa na Wapendwa wao na Corona. Mungu awape maarifa zaidi na zaidi Corona itokomee duniani. Haipendezi kuwamocky.
 
Kwa hiyo unataka kwenye hili bara la giza tujaribu sumu kwa kuilamba....
Na kama kweli itakuwa ni sumu ya ukweli You're fucking dead....
Ila kumbuka kunguru muoga huishi miaka mingi.
 
Mkuu chukua tahadhali. Nawa mikono mpaka kwenye viwiko angalau kwa sekunde 20, usichokonoe pua kwa vidole, usiguse macho kwa vidole( kutoa tongotongo uchafu), usiguse mdomo kwa vidole ni hatari. Punguza msongamano usio wa lazima. Covid 19 inaua.
 
Vumbi linaweza kutufanya tusiathiriwe na Corona lakini magonjwa yanayotokana na vumbi yanatuua sana Mkuu.
 
China supplies 2 million masks for Africa.
The most suspicious is that the WHO says that Africa must prepare for the worst.
My advice is as follows: Wherever you are (markets, hospitals, etc ...) if they distribute the masks, please do not take them.
These are infected brands.
Save lives.
Share to everyone.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
 
Corticopontine,
Bichwa lako la habari ukijumlisha hizo asilimia unapata 89.7% tu. Asilimia 10.3 iko wapi?

Halafu utumbo wako wa habari ni tofauti na bichwa lako la habari.

Halafu unajidai kuiongelea "science"!

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Bichwa lako la habari ukijumlisha hizo asilimia unapata 89.7% tu. Asilimia 10.3 iko wapi?

Halafu utumbo wako wa habari ni tofauti na bichwa lako la habari.

Halafu unajidai kuiongelea "science"!

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hii ndio kazi yako siku hizi?

Anzisha thread zako, sio kukosoa tu hata mambo madogo kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna uthibitisho gani wa kisayansi kwamba hawa virusi huwa hawaathiri ngozi nyeusi? Unachochea watu kuuchukulia huu ugonjwa kuwa ni ugonjwa poa, mods futeni huu uzi mara moja!
 
Siku Africa tutakumbwa na Gonjwa la Virus hivi kisawasawa tutapukutika kama Ukimwi ulitupukutisha. Wenzetu hii Fursa Kwao Wanajipanga wanasahihisha kilichokosekana kwenye Health System/facilities zao. Wakiponea hii haitakaa iwapitie na kuwashinda tena. Nawapa Pole Wazungu na Wachina Kwa kuondokewa na Wapendwa wao na Corona. Mungu awape maarifa zaidi na zaidi Corona itokomee duniani. Haipendezi kuwamocky.
kuna ebola yenye death rate ya 50% haijatumaliza tuje tuishe kwa ugonjwa wenye death rate ya 5%???? gerarahiaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bichwa lako la habari ukijumlisha hizo asilimia unapata 89.7% tu. Asilimia 10.3 iko wapi?

Halafu utumbo wako wa habari ni tofauti na bichwa lako la habari.

Halafu unajidai kuiongelea "science"!

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kwani nimetaja nchi zote Duniani tumia akili wewe mbona ukilaza umekuzidi? Kwa akili yako umeona nimetaja Dunia nzima eeeh??
 
Siyo za kijinga wewe ndiye mjinga hujielewi data zilizopo ndo zinasema hivyo sasa wewe hata hufuatilii mambo yaweza kuwa uko busy kumhudumia mmeo tu hata hvy ugonjwa si Corona tu yapo magonjwa mengi yanaua kuliko Corona yenyewe hii
Wacha ubwege wewe. Hizo "data" zako ambazo hazifahamu 10.3% ya wqliokufw walipo ndilio za kijinga. Eti "sayansi"! "Sayansi" ya kibwege hiyo.
 
Watu wamekuwa Wakifa kila siku duniani lakini sasa mmekuwa wa ajabu sana tangu Corona iwavamie, eti mnajua idadi za vifo vyote duniani, inawasaidia nini kujua idadi ya waliokufa.

Kwa kujua idadi hakuwapi chanjo wala tiba, sasa idadi za vifo makazi gani?!

Kuna tofauti gani kufa kwa umri mkubwa, kwa malaria, HIV, kipindupindu, ajali na hivi vifo vya Corona?!

Takwimu hizi msaada wake ni upi?!
 
Back
Top Bottom