Ethiopia sasa ni nchi ya pili Afrika kwa ku-export maua. Kenya bado ni ya kwanza

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Watanzania fulani humu hupenda kusema kuwa Tanzania inaexport maua kwa wingi kushinda Kenya. Ukweli usiopingika ni kuwa Kenya ni ya kwanza Afrika kwa wingi wa kuexport maua. Kumbe hata nchi kame kama Ethiopia pia inaexport maua kwa wingi kushinda walazy wa kusini? Wabongo tusiwahi bishana tena kuhusu jambo hili. Kubalini tu kuwa Kenya ni baba yenu. Hii hapa habari kamili, fuata kwenye link ukitaka habari zaidi.

=======

Ethiopia Becomes Africa’s Second Largest Flower Exporter

Dear Sir, Madam,

In this week's newsletter, good news for Ethiopia as the country becomes Africa's second largest flower exporter. Then we have an article on PM Abiy's official working visit in Sudan. Last, we cover the "From Sheger to Ethiopia" project through the panel that took place at the Prime Minister's Office.

Ethiopia has become the second largest flower exporter in Africa, according to the Ministry of Agriculture.

The country had done well in exporting cut flowers during the 2019-20 fiscal year, next to neighboring Kenya.

Ethiopia is also ranked as the 5th largest non-EU cut flower exporter to the Netherlands, France, Germany, Italy, Canada, Norway, Sweden, UK, the Middle East, and other EU countries.

In a related development, the Ministry of Trade and Industry said the Netherlands is the top destination for Ethiopia exports, followed by the US, Somalia, Saudi Arabia, and Germany.
 
Sitaki tena siku nyingine kugombana na Watanzania kuhusu jambo hili. Kenya inaexport maua kwa wingi kushinda nchi yoyote ile hapa Afrika. Hata Ethiopia inawashinda nyie malazy.
 
Hakuna mtu anapinga kwamba Kenya inazalisha maua na Chai nyingi zaidi Africa, tunachosema ni vipi Kenya inazalisha Chai na maua kwa wingi lakini inapofika katika uzalishaji wa chakula mnasingizia ukame?, kwani chai na maua vinalimwa maeneo yenye jangwa?.

Hii ni wazi kwamba ardhi nzuri yenye rutuba ipo ila inamilikiwa na wazungu na mabwenyenye wachache ambao ndio wazalishaji wakubwa wa chai na maua, muache kusingizia ukame

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Si wewe ndio jana ulikuwa unauliza ni kitu gani Kenya inawazidi kwenye kuexport? Sasa leo tena unabadilisha posti la goli?
 
Swali langu lilikua linalenga zaidi katika manufacturing goods, sio mazao ya Kilimo, kwasababu ninajua tukisema kuhusu mazao ya kilimo mtasingizia Kenya hamna ardhi kubwa Kama ilivyo Tanzania

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna mtu anapinga kwamba Kenya inazalisha maua na chai nyingi zaidi Africa, tunachosema ni vipi Kenya inazalisha Chai na maua kwa wingi lakini inapofika katika uzalishaji wa chakula mnasingizia ukame? Kwani chai na maua vinalimwa maeneo yenye jangwa?

Hii ni wazi kwamba ardhi nzuri yenye rutuba ipo ila inamilikiwa na wazungu na mabwenyenye wachache ambao ndio wazalishaji wakubwa wa chai na maua, muache kusingizia ukame

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app

Chai nyingi kenya huzalishwa na wakulima binafsi ambao ni Wakenya wa kawaida, hawa wako under KTDA, stop consoling your failures as a nation.

There are private foreign companies that grow and export tea and flowers too. Kenya is a free market economy where foreigners are free to do business. The same there are foreign firms mining and exporting your minerals, some of these firms are Kenyan.

1600069940338.png
 
Sitaki tena siku nyingine kugombana na Watanzania kuhusu jambo hili. Kenya inaexport maua kwa wingi kushinda nchi yoyote ile hapa Afrika. Hata Ethiopia inawashinda nyie malazy.
Kenya majority of upper country citizens are living like this

Sijawahi kuona Taifa limelaanika kama Kenya, akili zenu na za viongozi wenu zipo matakoni, sasa hayo maua yanaondoaje njaa isiyokoma Kenya?

images - 2020-09-14T111609.955.jpeg
images - 2020-09-14T111646.581.jpeg
images - 2020-09-14T111805.454.jpeg
 
Chai nyingi kenya huzalishwa na wakulima binafsi ambao ni Wakenya wa kawaida... hawa wako under KTDA.. stop consoling your failures as a nation.

There are private foreign companies that grow and export tea and flowers too, Kenya is a free market economy where foreigners are free to do business.. the same there are foreign firms mining and exporting your minerals ... some of these firms are Kenyan.

View attachment 1569357
Sasa inakuaje hao wazalishaji wa chai binafsi wanaweza kuzalisha chai nyingi Africa nzima lakini wanashindwa kuzalisha Chakula cha kutosheleza japo Kenya tu?.

Tuanachosema ni kwamba, Kenya mnayo ardhi ya kutosha kuzalisha Chakula cha kutoshekeza mahitaji yenu na hata kuuza nje ya nchi kama mnavyouza maua na chai, kulaumu ukame kuwa ndio sababu ya njaa Kenya haina mashiko.

Vile vile hii tabia ya kukimbilia kusema Kenya is a free market Economy kama sababu ya kuficha aibu yenu ya kufa kwa njaa kila mwaka ni sababu ya kijinga Sana, free market gani inayoshindwa kutoshekeza watu mahitaji ya msingi kama Chakula na maji?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Chai nyingi kenya huzalishwa na wakulima binafsi ambao ni Wakenya wa kawaida... hawa wako under KTDA.. stop consoling your failures as a nation.

There are private foreign companies that grow and export tea and flowers too, Kenya is a free market economy where foreigners are free to do business.. the same there are foreign firms mining and exporting your minerals ... some of these firms are Kenyan.

View attachment 1569357
2018 sio? the Dutch r leading exporters of cut flowers in the World! Unilever a Dutch company is a leading exporter of black tea in the World!
 
Chai nyingi kenya huzalishwa na wakulima binafsi ambao ni Wakenya wa kawaida... hawa wako under KTDA.. stop consoling your failures as a nation.

There are private foreign companies that grow and export tea and flowers too, Kenya is a free market economy where foreigners are free to do business.. the same there are foreign firms mining and exporting your minerals ... some of these firms are Kenyan.

View attachment 1569357

Hii KTDA ambayo inaiba pesa za wakulima? Unajua ni kwanini wakulima wa chai wamegoma na wengine kufukuzwa kazi? Unajua vile Kinoti na CS Munya wnahangaika huko Murang`a juu ya hii ishu ya chai na wakulima?
 
Sasa inakuaje hao wazalishaji wa chai binafsi wanaweza kuzalisha chai nyingi Africa nzima lakini wanashindwa kuzalisha Chakula cha kutosheleza japo Kenya tu?.

Tuanachosema ni kwamba, Kenya mnayo ardhi ya kutosha kuzalisha Chakula cha kutoshekeza mahitaji yenu na hata kuuza nje ya nchi kama mnavyouza maua na chai, kulaumu ukame kuwa ndio sababu ya njaa Kenya haina mashiko.

Vile vile hii tabia ya kukimbilia kusema Kenya is a free market Economy kama sababu ya kuficha aibu yenu ya kufa kwa njaa kila mwaka ni sababu ya kijinga Sana, free market gani inayoshindwa kutoshekeza watu mahitaji ya msingi kama Chakula na maji?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Kwa akili yako ndogo mtu apande mahindi na maharagwe cheap foods awache chai

Eka moja ya chai ni sawa na 50 za mahindi.

Ukiwa na pesa mfukoni utanunua food unataka na ubaki na savings
 
Kwa akili yako ndogo mtu apande mahindi na maharagwe cheap foods awache chai,
Eka moja ya chai ni sawa na 50 za mahindi.
Ukiwa na pesa mfukoni utanunua food unataka na ubaki na savings
Sasa kwanini wakenya wanakufa kwa njaa? Kwanini Kenya inajikuta ikidhalilika na kunyanyasika duniani kwa kutangazwa kuwa ni nchi inayohitaji msaada wa chakula na watu wake wanakufa kwa njaa?

Ina maana huko kwenu hamjui kitu kinachoitwa matumizi bora ya ardhi?, kwanini nchi ndogo kama Rwanda ambayo 50% ni milima lakini wameweza kugawanya ardhi yao vizuri wanajitoshekeza kwa chakula na pia wanalima mazao ya biashara? Ukweli ni kwamba, wazungu na mabwenyenye ndio wenye kumiliki ardhi kubwa na ndio wazalishaji wakubwa wa chai na maua, wacha kuficha Ukweli.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kenya majority of upper country citizens are living like this

Sijawahi kuona Taifa limelaanika kama Kenya, akili zenu na za viongozi wenu zipo matakoni, sasa hayo maua yanaondoaje njaa isiyokoma Kenya?

View attachment 1569375View attachment 1569376View attachment 1569378
Hii hasira yote ni ya nini sasa? Viongozi wetu ni wajinga ndio maana hao watu wa North wanaumia. Sasa sisi wananchi wa kawaida unatutukana badala ya kutusi viongozi wetu ambao wametelekeza maeneo hayo. Lakini ugatuzi umebadilisha mambo sana kuanzia mwaka wa 2013. Gatuzi ndogo la Turkana huwa inapokea zaidi ya $60 million kila mwaka, kwa hivyo poverty inapungua kila siku.
 
Hii hasira yote ni ya nini sasa? Viongozi wetu ni wajinga ndio maana hao watu wa North wanaumia. Sasa sisi wananchi wa kawaida unatutukana badala ya kutusi viongozi wetu ambao wametelekeza maeneo hayo. Lakini ugatuzi umebadilisha mambo sana kuanzia mwaka wa 2013. Gatuzi ndogo la Turkana huwa inapokea zaidi ya $60 million kila mwaka, kwa hivyo poverty inapungua kila siku
Tony254, Kenya tatizo kubwa sio pesa unafahamu vizuri sana, Kenya kwenye pesa ndio mnaongoza ukanda huu, bajeti kubwa, KRA inakusanya pesa nyingi, wizara zenu zinapewa bajeti kubwa sana, KDF wanapata pesa nyingi sana, polisi na Magereza wote wanatengewa pesa nyingi, lakini katika utekekezaji Kenya ni zero kabisa.

Mfano ni mapambano ya Corona, ukiacha hizi pesa za Kemsa ambazo ni mikopo, GoK ilikuwa ndio ya kwanza kutoa pesa nyingi katika kukabiliana na Corona, utakumbuka kuna PESA iliyotoliwa kwa ajili ya wasanii wa Kenya. Katika kutekekeza Kenya imekua nchi ya mwisho katika kudhibiti Corona pamoja na kutumia bajeti kubwa kuliko nchi zote ukanda huu.

Back
Top Bottom