Afrika Kusini imefungua mipaka yake kwa wasafiri kutoka nchi za Afrika, lakini imedumisha vikwazo dhidi ya nchi ambazo zina viwango vya juu vya maambukizi ya corona ikiwa ni pamoja na Uingereza, Marekani na Urusi.
Nchi hiyo ilifunga mipaka yakemwezi Machi mwaka huu katika juhudi za kuzuia...