Tanzanian MP's still believe Kenya is the giant of East Africa

Everyone in Tanzanian know that Kenya is the giant in this region and then followed by Ethiopia. Hawa was huku jf their low IQ can`t allow them to think straight.
Giant in what?I think in poverty,corruption,slums na ukabila.
 
I don't think hata kama mnaezabishana na Uganda.
Unajuaa vizuri Tanzania ni baba wa afrika tukisema kitu mnakifanya.Bro heshimuni Tanzania kwa sababu Tanzania ni nchi kubwa sana hata amani kwenye nchi za maziwa makuu tumechangia kuleta,yaani kuanzia Rwanda,Kenya,Uganda ,DRc na Burundi. Tanzania ni nchi kubwa sana.
 
Tanzania ni nchi kubwa kwa uchawi, omba omba, kuuza dawa za kulevya na umaskini.
 
Ombaomba mkuu Uhuru .masikini wa tz anamiliki ardhi na ngombe,mbuzi masikini wa Kenya anamiliki nini?ndo maana Kenya inamasikini wengi afrika mashariki
 
Beggars from Tanzania flood Kenyan streets

The issue ni kwamba, kunaweza kuwa na omba omba mmoja au wawili waliovuka hapo nairobi, ila kwa case ya kunyaland ni kwamba the whole nation ni taifa la kuomba omba na kutegemea msaada wa chakula ili wananchi wa survive.
 
Hunger and extreme poverty in Tanzania

Hunger and extreme poverty in Tanzania

Use your head kid, sasa hapo hiyo link ni ya lini na wapi? Ulishawahi kusikia Tanzania inapewa msaada wa chakula kisa njaa kutoka nchi za nje? Hao wenyewe WFP wanatoa chakula Tanzania kulisha wakimbizi halafu unaleta story gani? Kunyaland ndio taifa la omba omba maana hadi kwa waarabu wa jangwani wanawapea msaada wa chakula.
 
From the world food programme website
Solving A Hidden Hunger Crisis in Tanzania

Solving A Hidden Hunger Crisis in Tanzania - World Food Program USA
 
Hahaha wewe kweli kunguni, hivi unaweza kuficha njaa? Na kwanini Tanzania kuwe na njaa wakati Tanzania ndio inaongoza kwa kuuza chakula hapo kunyaland na nchi za kusini za SADC? Ulishawahi kusikia au kuona Tanzania ikipewa msaada wa chakula?.. From that link you posted here hao WFP wali solve vipi hiyo crisis hapa Tanzania? Walitoa msaada wa chakula?
 
Talk
Ombaomba mkuu Uhuru .masikini wa tz anamiliki ardhi na ngombe,mbuzi masikini wa Kenya anamiliki nini?ndo maana Kenya inamasikini wengi afrika mashariki
Talking of umaskini, how do you defend this?
Screenshot (175).png
Screenshot (182).png
 
Hahaha wewe kweli kunguni, hivi unaweza kuficha njaa? Na kwanini Tanzania kuwe na njaa wakati Tanzania ndio inaongoza kwa kuuza chakula hapo kunyaland na nchi za kusini za SADC? Ulishawahi kusikia au kuona Tanzania ikipewa msaada wa chakula?.. From that link you posted here hao WFP wali solve vipi hiyo crisis hapa Tanzania? Walitoa msaada wa chakula?
Two years old girl dying from starvation in Tanzania, Africa.

Back
Top Bottom