africa

  1. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam yatajwa miongoni mwa majiji kumi Afrika yanayokua kwa kasi zaidi

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Haki huinua Taifa, Nchi yetu imeanza kuingia midomoni mwa Watu kila kona duniani kwa sasa, Kwa Taarifa hii tu, Dar es salaam itapokea wageni lukuki toka nje na ndani, Kila Mzalendo lazima aone kazi nzuri na njema anayoifanya Rais Samia Suluhu Hassan kwa Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Tufundishane/ tueleweshane kidogo kuhusu timu kubwa barani Africa, hapa ndo tunajifunza na kuelewa

    Ukiondoa zile ranks zilizotolewa na CAF katika timu bora na mambo mengine Ni sifa zipi ambazo zinasema kwamba hii timu ni TIMU KUBWA Tuendelee kujifunza, elimu haina mwisho
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania au Afrika Mashariki kuna chuo kinafundisha masuala ya teknolojia ya nyuklia?

    Eti kuna chuo cha mambo ya nyuklia? Vipi katika Afrika. Kuna chuo kinafundisha masuala ya Nyuklia?
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 10 Largest Dams In Africa

    Tanzania and Ethiopia, the only one’s representing East Africa.
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania

    Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania, "Hakuna kama Samia" Nchi yetu imetajwa kwenye orodha ya nchi kumi zenye gharama ndogo kwenye kununua GB1 ya internet barani Africa kwa tathmini iliyofanywa mwezi uliopita. Bei ya juu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Soko la pamoja la Afrika ni nini?

    Jamani tufafanulieni Soko la pamoja la Africa ni kitu gani
  7. JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia, Tanzania moja ya nchi Afrika zinazovutia kwa uwekezaji 2020/21

    Wanasalimu kwa Jina la JMT, Siku njema huonekana asubuhi, Hatimaye Rais Samia Suluhu Hasaan ameiingiza nchi yetu kwenye nchi Tano zenye mazingira mazuri ya Uwekezaji barani Africa. Sasa Tanzania tutashuhudia wawekezaji wakimiminika nchini kwetu na kwahakika Vijana wetu watapata ajira na...
  8. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Kijani barani Afrika (Africa Green Revolution Forum)

    📌 MAPINDUZI YA KIJANI BARANI AFRICA. (Africa Green Revolution Forum) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango ameshiriki kwa njia ya mtandao Mkutano wa Mapinduzi ya kijani Barani Afrika (Africa Green Revolution Forum) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania M-Pesa Africa active users top 50 million

    Mobile money transfer platform M-Pesa has hit the 50 million active users mark in Africa as it eyes to expand services across the continent. The mobile financial services platform is operated by Safaricom in Kenya and South Africa’s Vodacom, which runs the services through its subsidiaries in...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 If i'm a Leader, what would I do to ensure peace is achieved and sustained in Tanzania

    Leader is a person who have influential power over other people and which is rule other people, suppose I am a leader and I get time to talk with my fellow leaders inside and outside my country, I will take as advantage to use my influential power to teach and advise others what to do, to...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni ngumu kuamua kutokuwa na mtoto Afrika?

    Why can't we(Africans) set apart woman and motherhood. Africa kama wewe ni mwanamke basi ni kama vile hujakamilika bila kuzaa. Karibia kila mwanamke Africa anataka azae. Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikitafuta mwanamke ambaye yeye hana mpango wa kuzaa wala kuwa na mtoto. Si jambo la ajabu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 New threat: Epicentre of violent extremism shifting to sub-Saharan Africa

    Inclusive and sustainable development stipulated in Agenda 2063: The Africa We Want, will be illusory if we don’t effectively mitigate violent extremism which is gaining momentum in sub-Saharan Africa. This new phenomenon is worrying and must to be well-studied, understood and effectively...
  13. C

    JamiiForums Tanzania 27 surprising facts about Africa

    27 SURPRISING FACTS ABOUT AFRICA Africa is the world’s second largest continent and is home to some of the most beautiful countries in the world with some of the most unique landscapes and wildlife which is why it is a top holiday destination. Here are 27 fun facts about Africa and we hope that...
  14. JamiiForums Tanzania Activists slam J&J for exporting vaccines produced in South Africa to Europe

    Activists slam J&J for exporting vaccines produced in South Africa to Europe By Rédaction Africanews Last updated: 18/08/2021 Health activists in Africa have slammed Johnson & Johnson for exporting vaccines produced in South Africa to countries in Europe, which have already immunized...
  15. JamiiForums Tanzania 1884 Africa was divided without a presence of any African

    This is where they sat in 1884(Berlin) and divided Akebulan (Africa) among themselves without inviting a single African. They destroyed our heritage and made us become beggars of foreign aid. The one time United Africa was destroyed and it becomes a shadow of herself. They loots away our riches...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Uungaji mkono wa China kwenye majukwaa ya kimataifa sio jambo la bahati mbaya

    Katika muda wa miaka 20 iliyopita China imejitokeza kuwa msaada mkubwa kwa nchi nyingi duniani, hasa nchi za dunia ya tatu ambazo kwa muda mrefu zimekuwa wahanga wa unyonyaji, kupuuzwa na ukandamizaji. Lakini kujitokeza kwa China na kuwa na sauti kwenye jukwaa la kimataifa, iwe ni kwenye eneo...
  17. JamiiForums Tanzania Nani anayehusika kupeleka takwimu za maambukizi ya COVID-19 Africa CDC?

    Kwa mujibu wa taarifa zilizopo Africa CDC inaonekana mpaka tarehe 19 August 2021 Tanzania ina visa 16,970 vya maambukizi ya virusi vya corona na vifo 50.Pia WHO inaonyesha kuna visa 1,367 na vifo 50. Je, hizi taarifa ni rasmi ? Kuna makosa yaliyofanyika au ni hujuma ? Kuna umuhimu wa jambo...
  18. JamiiForums Tanzania SoC01 Mfungwa sio mnyama, alipwe, alipe kodi

    Mfungwa anapomaliza kifungo na kurudi uraiani anakuwa kama mtoto. Hana kazi, hana mali na wakati mwingine hata utu wake huonekana tofauti. Anaweza kuonekana kama mhalifu kama wengine wengi ambao wakitoka jela huwa na sura za kutisha. Huonekana si kitu. Hana mbele wala nyuma na waswahili husema...
  19. B

    JamiiForums Tanzania President Samia: Some don't believe that women can lead

    10 August 2021 Tanzania's President Samia Suluhu Hassan says there were people who doubted she was qualified to lead when she first became head of state because she was a woman. In an exclusive interview with BBC Africa's Salim Kikeke, President Suluhu also spoke about her Covid-19...
  20. JamiiForums Tanzania Guinea yaripoti kisa cha kwanza cha Ugonjwa wa Marburg

    Wataalamu wa Afya Nchini humo wamethibitisha kisa cha kwanza cha Marburg katika Ukanda wa Afrika Magharibi. Ugonjwa huo umetajwa kuwa jamii moja na Virusi vya Ebola. Mgonjwa aliyekutwa nao amefariki dunia. Imeelezwa, Ugonjwa huo unasambaa kwa binadamu kupitia majimaji. Jitihada za kutafuta watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…