#COVID19 Nani anayehusika kupeleka takwimu za maambukizi ya COVID-19 Africa CDC?

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,938
25,282
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo Africa CDC inaonekana mpaka tarehe 19 August 2021 Tanzania ina visa 16,970 vya maambukizi ya virusi vya corona na vifo 50.Pia WHO inaonyesha kuna visa 1,367 na vifo 50.

Je, hizi taarifa ni rasmi ? Kuna makosa yaliyofanyika au ni hujuma ? Kuna umuhimu wa jambo hili kutolewa ufafanuzi.

Screenshot from 2021-08-19 20-33-32.png

Source: Africa CDC - COVID-19 Daily Updates

Screenshot from 2021-08-19 20-35-25.png

Source: https://covid19.who.int/table
 
Mkuu Sina jibu la swali lako Ila Kuna swali Gwajima alikuwa akiwauliza waumini wake kwamba zile takwimu za watu wanaochanjwa zinarekodiwa kwenye database ya kampuni Moja kubwa ya electronics inayomilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa ulimwnguni. Je, ni kwanini takwimu zisihifadhiwe kwenye database ya shirika la afya duniani na je ni kwa faida ya nani?!

Mimi siyo mfuasi wa Gwajima lakini nilibahatika tu kusikiliza hicho kipande na hakutoa jibu la Hilo swali. Kwako Mkuu...
 
Ninacho kifahamu ni kwamba wizara ya afya inawajibika kutoa takwimu ya magonjwa kama haya kwa WHO(Sio Covid peke yake). Then WHO inaweza kushare taarifa zote na other member contries.

So hapo hakuna cha kushtua kuona takwimu zetu zipo hapo, Wizara yetu ndio imepeleka na ndio hali halisi(Endapo hatujafoji data).
 
Mkuu Sina jibu la swali lako Ila Kuna swali Gwajima alikuwa akiwauliza waumini wake kwamba zile takwimu za watu wanaochanjwa zinarekodiwa kwenye database ya kampuni Moja kubwa ya electronics inayomilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa ulimwnguni. Je, ni kwanini takwimu zisihifadhiwe kwenye database ya shirika la afya duniani na je ni kwa faida ya nani?!

Mimi siyo mfuasi wa Gwajima lakini nilibahatika tu kusikiliza hicho kipande na hakutoa jibu la Hilo swali. Kwako Mkuu...
Gwajima anawaza tyu kwa sauti.

Wizara inarecord data zote za walio chanjwa, Walio ugua, Walio kufa. Then inawajibika kushare na WHO. WHO inawajibika kushare na member countries wengine. Na hii ni kwamagonjwa mengi tu sio Covid-19 peke ake.
 
Gwajima wa ajabu sana mimi nimesain form na data kuingizwa kwenye counter book kubwa.

Sasa wao wana waaminisha watu kwamba sababu kichupa kina serial # na barcode basi ukichomwa tu data zinaingia USA kwenye database ya aliyetengeneza dawa na wanaanza kuwa track.
 
Back
Top Bottom