Guinea yaripoti kisa cha kwanza cha Ugonjwa wa Marburg

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Wataalamu wa Afya Nchini humo wamethibitisha kisa cha kwanza cha Marburg katika Ukanda wa Afrika Magharibi. Ugonjwa huo umetajwa kuwa jamii moja na Virusi vya Ebola. Mgonjwa aliyekutwa nao amefariki dunia.

Imeelezwa, Ugonjwa huo unasambaa kwa binadamu kupitia majimaji. Jitihada za kutafuta watu waliokuwa karibu na Mgonjwa zinafanyika.

Mifumo iliyowekwa Guinea na Mataifa jirani kudhibiti milipuko ya Ebola inarejeshwa tena ili kukabiliana na Ugonjwa huo.

===

Health officials in Guinea have confirmed West Africa’s first case of Marburg, a highly-infectious disease that’s in the same family as the virus that causes Ebola.

The World Health Organization (WHO) said the virus needed to be “stopped in its tracks”.

Marburg virus disease is transmitted to people from fruit bats and spreads among humans through the transmission of bodily fluids.

It’s a severe, often fatal illness that causes fever and bleeding disorders.

Samples taken from the patient in Guinea, who has since died, were tested in the country’s laboratories, and returned a positive result for the Marburg virus.

Dr Matshidiso Moeti, from the WHO, said the virus had the potential to spread far and wide.

Efforts are now underway to find people who may have been in contact with the man.

The systems in place in Guinea and neighbouring countries to control recent Ebola outbreaks are being taken up again in response to the Marburg virus.

Source: BBC
 
Officials in Guinea have confirmed a case of the Marburg virus disease, the first appearance of the deadly illness in West Africa, the World Health Organization (WHO) said on Monday.

"The potential for the Marburg virus to spread far and wide means we need to stop it in its tracks," said Dr Matshidiso Moeti, WHO Regional Director for Africa.

Guinean officials identified the case in the southern Gueckedou prefecture, said the WHO statement.

"This is the first time Marburg, a highly infectious disease that causes haemorrhagic fever, has been identified in the country, and in West Africa," it added.

The disease falls into the same family as the virus that causes Ebola, another deadly and highly infectious disease.

Guinea's discovery comes just two months after the WHO declared an end to the country's second outbreak of Ebola, which started last year and claimed 12 lives.

Corona haijapoa unakuja mwingine mkubwa zaidi, wanadamu sasa tutaacha kufanya kazi tufanye kazi moja ya kujikinga ma haya magonjwa yanayozuka kila siku.

But kama Ebola haikuwahi kufika huku naamini hata hiyo Marburg virus itaishia huko huko. njia zake za kuambukiza zinatoa nafasi ya kujipanga.
 
sasa hii ni family moja na ebola maana yake ukimgusa tu mgonjwa unaye, kujikinga ni mtihani kuna release ingine ya corona kule inaitwa LAMDA naskia ni corona sasa yenye six packs sjui tunatokaje huu mwaka
 
Corona haijapoa unakuja mwingine mkubwa zaidi, wanadamu sasa tutaacha kufanya kazi tufanye kazi moja ya kujikinga ma haya magonjwa yanayozuka kila siku.

But kama Ebola haikuwahi kufika huku naamini hata hiyo Marburg virus itaishia huko huko. njia zake za kuambukiza zinatoa nafasi ya kujipanga.
ili kujikinga unatakiwa kuvaa hivi.

1628602383938.png
 
Corona haijapoa unakuja mwingine mkubwa zaidi, wanadamu sasa tutaacha kufanya kazi tufanye kazi moja ya kujikinga ma haya magonjwa yanayozuka kila siku.

But kama Ebola haikuwahi kufika huku naamini hata hiyo Marburg virus itaishia huko huko. njia zake za kuambukiza zinatoa nafasi ya kujipanga.
Mujiandae kuchanjwa hapo.
 
Hayo Mabegi ndiyo ugonjwa gani tens, khaa!!
Wataalamu wa Afya Nchini humo wamethibitisha kisa cha kwanza cha Marburg katika Ukanda wa Afrika Magharibi. Ugonjwa huo umetajwa kuwa jamii moja na Virusi vya Ebola. Mgonjwa aliyekutwa nao amefariki dunia.

Imeelezwa, Ugonjwa huo unasambaa kwa binadamu kupitia majimaji. Jitihada za kutafuta watu waliokuwa karibu na Mgonjwa zinafanyika.

Mifumo iliyowekwa Guinea na Mataifa jirani kudhibiti milipuko ya Ebola inarejeshwa tena ili kukabiliana na Ugonjwa huo.

===

Health officials in Guinea have confirmed West Africa’s first case of Marburg, a highly-infectious disease that’s in the same family as the virus that causes Ebola.

The World Health Organization (WHO) said the virus needed to be “stopped in its tracks”.

Marburg virus disease is transmitted to people from fruit bats and spreads among humans through the transmission of bodily fluids.

It’s a severe, often fatal illness that causes fever and bleeding disorders.

Samples taken from the patient in Guinea, who has since died, were tested in the country’s laboratories, and returned a positive result for the Marburg virus.

Dr Matshidiso Moeti, from the WHO, said the virus had the potential to spread far and wide.

Efforts are now underway to find people who may have been in contact with the man.

The systems in place in Guinea and neighbouring countries to control recent Ebola outbreaks are being taken up again in response to the Marburg virus.

Source: BBC
 
Mmh..hamna rangi tutaacha ona..kazi kujikinga hata kulima hatulimi tena...
 
Bora wataalamu wetu wangejipanga ili 'tuwasukumizie' hii kitu huko kwao. Labda watatia akili na chanjo kupatikana ,,,
Hivi na africa tukitengeneza chanjo ya ebola alafu tukasema wazungu wakija africa lazima wachanjwe je watakubali?
 
Back
Top Bottom