1996 : Natafuta pasipoti, nataka kusafiri kikafiri, popote nitafika hata south africa, nyumbani nimechoka, nazidi nyanyasika🎶
Sugu alikuwa visionary sanaa, hapa ulikuwa na umri gani?
Ripoti kutoka Global Initiative inaonyesha kuwa Afrika Mashariki na Kusini ni eneo muhimu kwa uhalifu uliopangwa.( Organized Crime)
Afrika Mashariki na Kusini inachukuliwa kuwa sehemu kuu ya uhalifu uliopangwa, unaounganisha masoko ya kikanda ya uhalifu na mitandao ya kimataifa.
Hii...
Waafrika ni jamii tuliyokwisha ithibitishia Dunia na hata kujithibitishia wenyewe kuwa kuna tija ndogo sana kutoka Viongozi wao.
Chaguzi zimekuwa vichaka tu, ndio maana leo utashangaa nchi iliyotawaliwa na Kiongozi mmoja miaka 40 siku anapinduliwa ndio utawasikia wananchi wanashukuru kwamba...
Nchi 10 za Africa zenye highest external debt kwa mujibu wa data za 2025
1. South Africa – USD 176,314 million (Sep 2024)
2. Egypt – USD 155,204 million (Sep 2024)
3. Tunisia – TND 128,856 million (Sep 2024)
4. Mauritius – MUR 96,713 million (Dec 2024)
5. Angola – USD 50,260 million (Dec 2023)...
Ukweli Kuhusu Mpango wa “JICA Africa Hometown” Uliozinduliwa Katika TICAD 9
Kumekuwa na ripoti na taarifa mbalimbali zinazosambaa mtandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu mpango uitwao "JICA Africa Hometown" uliozinduliwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA) katika Mkutano...
hi i am interested by the etymological database project of Serguei sTAROSTIN
i want to participate in it , bringing infos about african languages to compare them with melano- hindus( veddoids and dravidians) people who originate from Africa as said Bernard Sergent of french CNRS
I think it can...
Kuna sehemu hata uwe na pesa kiasi gani hauwezi kuzifikia au kuingia nchi za aazungu.
Pia kuna vifaa hata uwe na pesa kiasi gani hauwezi uziwa hii ni kwa nchi za wazungu tu.
Haya njoo hapa AFRICA ni sehemu gani ukiwa na pesa hapa africa hauwezi kufika au kuingia?
Au ni kitu gani hapa AFRICA...
Kauli “There is no free lunch in Africa” ina maana ya kwamba:
Katika muktadha wa Afrika, inaweza kumaanisha:
- Ukipata msaada, mara nyingi kuna kitu kinatarajiwa kutoka kwako baadaye.
- Hata kama inaonekana ni zawadi au msaada, kuna nia au faida nyuma yake (kisiasa, kijamii, au kibiashara)...
Sidhani kama inawezekana mtu mweusi aende nchi ya Uarabuni, Iran, China, Urusi, Latin America au mataifa mengine yoyote nje ya Africa yenye rasilimali za maliasili halafu aweze kumilikishwa au kununua rasilimali kama migodi, misitu, bandari, maelfu ya ekari za ardhi na rasilimali nyingine za...
Kulingana na report mbalimbali,
Nchi ya Tanzaia ndio nchi pekee africa inayoshikilia record ya kuingiza bidhaa kwa wingi kutoka Japan, na hapo tunazungumzia used cars.
Nitaweka viambatinisho kadhaa, kwa hivyo msione JICA wanajitutumua na misaada yao, wanajua pia sisi Tz ni wateja wao wazuri...
Yale MAISHA wanayopenda introvert yanahitaji pesa .
Mfano wewe upo DSM na ni introvert unabidi kukaa maeneo Fulani ambayo hayana kelele , ambayo hayana watu wengi.
Ukija katika Usafiri , ikiwa hauna Usafiri wako ile kukaa katika daladala unatamani daladala ipae ufike mapema uendako.
Ukija...
Kikosi kilicho anza leo kimesheheni wanzazibari, pipino , fey, shekhan, Ibrahim baka, na yule straiker alie funga goli likawa offside.
Tulitegemea aya nimashindano ya ya kuonyesha vipaji vya watanganyika. Je ni Zanzibar heroes ndo imefuzu chan kuna wataalum wengi wametemwa kutoka bara mtu kama...
Unamkumbuka yule Winga msumbufu wa timu ya Taifa ya ivorycoast anayechezea Brighton, akasumbua sana watu kwenye Afcon 2023.
Basi leo kazaliwa upya Uganda kwa jina la Alain Okello...
Huyu dogo Okello ni talent mpya ndani ya Afrika Mashariki mwenye attributes purely kama za Simon koffi...
usije sema sikusema, jamaa yangu kaa aplai loan alikua na immediate cause kwenye mfumo wao ,mpaka sasa wiki imepita kwenye mfumo wao inasoma complete disbursed ila kwenye account hakuna pesa imeingia ,akiwapigia hawatoi ushirikiano wowotee.
Baada ya JR junior kurudi east africa radio baada ya kutoka Times fm, ni wazi nyota ya rich msafi inaenda kuzima, nimefuatilia vipindi kadhaa kwa sasa JR junior ndo anatawala kipindi, kwenye interview za wasanii, JR ndo anaongoza kwa kuuliza maswali mengi,
Rich msafi amebaki kama msindikizaji
Selcom Pesa has emerged as a significant market disruptor in the financial services sector, particularly in Tanzania.1 Its disruptive strategy centers on providing a digital financial platform with a focus on affordability, convenience, and a wide range of services designed to serve both the...
Kuna dogo wa mtaani hapa alienda south Africa kutafuta maisha mwezi wa 1 mwaka huu Kwa jinsi navyomjua dogo hakusoma na Wala Hana kipaji ila ni msela tu mtaani alikua na miaka 27 kapigwa risasi jioni ya Leo tumepata taarifa sijui tatizo ni Nini huko south Africa maana matukio yamezidi sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.