africa

  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna adhabu ya kifo kwa mafisadi nchi za Afrika?

    Pamoja na ubaya mkubwa wa ufisadi katika maendeleo ya nchi kwa nini hakuna nchi hata moja ya Africa iliyoweka adhabu ya kifo kama China kuthibitisha dhamira kubwa ya kupambana na ufisadi?
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mtifuano ndani ya Africa

    Ndugu zangu Wazuru mtambue sisi wangoni kwa asili ni wa south tulikuja Tanzania tukapiga kambi kule Songea Nyasa Sasa je na Wanyakyusa nao wakianza kututimua si itakuwa kasheshe naomba mtatue mambo yenu bila kubaguana sisi wote ndugu wa taifa moja Africa
  3. Benews

    JamiiForums Tanzania Latest Betway Signup Code Africa -Official Voucher Codes for 7 Countries

    New to Betway? Use these official Betway signup codes to unlock your welcome bonus across Africa. Each country has a unique voucher code that activates the 100% first deposit match + free bets. Here’s the complete 2025 guide for Tanzania, Ghana, Nigeria, Zambia, Mozambique, South Africa, and...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Aisee mimi nafikiri africa sio mazingira safi kwa mtu alie introvert. Utaanza kusemwa wewe ni usalama😁

    _Ooh anajifanya, _anatumia madawa yanayo mpa ganzi muda wote, _huyu ni spy huyu, _anajikuta wa maana hataki kuongea na watu,
  5. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera wameshare video za wahamiaji wakipigwa South Africa

    I think kama hii kitu iko on the rise basi ni muda wa kurudi nyumbani. Like seriously how can you live with these people 🥷 Watu wavivu, masikini wasiopenda kufanya kazi, wanasingizia matatizo yao yote kwa foreigners Huwezi kukuta Msouth Africa aliyefanikiwa kimaisha akifanya huu ujinga. It's...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika ya weusi (chini ya jangwa la Sahara) ilipigwa vibaya zaidi na UKIMWI?

    Kesho ndio siku ya mwisho kwa Zambia kukubali dili la Trump la kutoa madini yao kwa US ili waendelee kupata msaada wa dawa za UKIMWI. Zambia ina waathirika zaidi ya milioni moja. Theluthi mbili ya Waafrika wa UKIMWI duniani kote wako Africa Kusini mwa jangwa la Sahara, hii ni idadi kubwa sana...
  7. Yesha

    JamiiForums Tanzania Court Fines Son of Former Zimbabwean President R600,000 and Orders Immediate Deportation; Co-Accused Tobias Gets 3-Year Jail Term in South Africa Case

    A court in South Africa has fined Chatunga R600,000 (approximately USD equivalent) and ordered his immediate deportation, while his co-accused, Tobias, has been sentenced to three years in prison and will be deported after serving his sentence. The ruling was delivered following their court...
  8. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwani South Africa kuna maisha mazuri?

    Kwa nini watu wanakimbilia South Africa na wakati wa south hawawataki? Kwani South Africa ni special sana? Ni kweli kuna maisha mazuri au wengi wanavutiwa na yale mazingira? Tuboreshe nchi yetu watu wasiwe wanakimbilia nchi za watu kwenda kudhalilishwa
  9. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania WIMA yatambua Mchango wa Dkt. Upendo katika Sekta Milki

    Mkurugenzi wa Milki Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Upendo Matotola, ameibuka mshindi miongoni mwa washindi wa Tuzo ya WIMA (Women in Management Africa) kwa mwaka 2026, kutokana na mchango wake mkubwa katika kukuza na kuimarisha sekta ya milki nchini. Tuzo hiyo ni ushahidi wa...
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Tetesi: AFCON 2027 huenda ikapelekwa South Africa

    Tukiwa tunapambana na Ripoti ya Jaji Chande. Huenda AFCON 2027 ikapelekwa Bondeni kutokana na na maandalizi duni. Viwanja bado, hoteli duni, barabara hoi. **Tujiandae kwenda bondeni.
  11. Think2

    JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango gani na watanzania wanaoishi Afrika Kusini

    Serikali tunaomba ndugu zetu waliopo South Africa warudishwe nyumbani. Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mtz akipigwa sana kama mbwa huko South africa Hizi ngozi nyeusi zimelaaniwa haya mambo huwezi yakuta ulaya
  12. Xmonster

    JamiiForums Tanzania Kiwanda kikubwa cha Dangote Cha kusafisha mafuta Kujengwa East Africa.

    Bilionea Aliko Dangote ametangaza mpango wake wa kujenga kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) Afrika Mashariki.Tanga, Tanzania Akizungumza katika mkutano wa Africa We Build Summit 2026 uliofanyika Nairobi siku ya Alhamisi, Dangote alisema kuwa kiwanda kinachopendekezwa kitakuwa na uwezo wa...
  13. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kama tusipoanza kuzijenga nchi za Africa sasahivi, sijui lini tutaanza kujenga

    Ukiwa unasema Tanzania tuko slow kimaendeleo wanakuja machawa wa Samia wanakuambia kama huridhiki basi hama nchi. WTF! Hivi kwa nini machawa wa Samia mnadhani hii nchi ni yenu peke yenu na Samia wenu? Watu wanataka tubadilike tuwe serious, sio kuhama nchi Nadhani sasahivi mnaona dunia...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Huu mpango wa Dangote kujenga refinery East Africa umekaaje?

  15. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni calls for strategic infrastructure investment in Africa

    President Museveni has asked African governments to invest in strategic infrastructural development that will drive the continent’s industrial development. He made the call during the opening ceremony of the Africa We Build Summit 2026 at JW Marriott Hotel in Nairobi, Kenya. Museveni called...
  16. Ofisho mlinzi

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya watu waliozaliwa nchi za ughaibuni na wenye asili ya Africa wanaonekana kuwa na shauku ya kurudi Africa

    Wakuu Masiku kadhaa yaliopita nilipatana na kìjana mmoja mwenye uraia wa USA na mwenye asili ya Afrika. Tulipata kuzungumza mawili matatu nilimsikia akisema amekua na shauku kubwa sana kujua chimbuko lake. Ameonekana mwenye furaha sana kuwa sehemu ya Africa Alienda mbali kwa kusema...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ona ukatili unaofanywa na Africa ya Kusini kwa wageni

    Wanawapiga wageni!
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto vs Tanzania: Vita ya Barabara na Fuel Yachacha East Africa!

    Mambo imechemka East Africa baada ya William Ruto kulinganisha Kenya na majirani wake kuhusu barabara na bei ya mafuta. Akiongea church service April 19, Ruto alisema Kenya iko na about 20,000km za tarmac roads akidai ni zaidi ya nchi zingine zote za East Africa combined. Lakini serikali ya...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania IMF: Wakati Tanzania Inatarajia Kufikia GDP ya $ Bilioni 💯 ,DRC Kuipita Ethiopia na Kuwa Nchi ya 5 Kwa Uchumi Mkubwa Africa 2026.

    My Take SSH ndio ataandika historia ya kukuza Uchumi kutoka Dola Bilioni 70 na Kufikia Dola Bilioni 💯 Kwa mara ya kwanza katika Historia ya Tanzania. https://www.threads.com/@africaviewfacts/post/DXPPfhxkaJ2?xmt=AQF0bBngHHIzlkgokmYGVVuwVBsecSwiOLLHMz28k-srvW3l8fXay2lmKA6cb0Hq9vuKSnY&slof=1
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanasiasa na watawala wa Afrika huwa wanaitwa na kuitana waheshimiwa?

    Hili suala la wanasiasa na watawala kuitwa na kuitana waheshimiwa ni mojawapo ya mambo ya ajabu sana ya Waafrika.
Back
Top Bottom