Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,566
- 7,332
Hapa Afrika Mashariki watu wengi uangalia skendo na vitu visivyokuwa na umuhimu hili kumuweka mtu pale kileleni.
Diamond Platinumz ni msanii mkubwa tu Afrika Mashariki, lakini soko la dunia la muziki limekuwa likimsumbua sana na ujikuta akitumia nguvu sana kufanya collaboration na A-list wa Dunia. Na Mara nyingi yeye ndio uwaomba Collaboration.
View: https://youtu.be/SpDX35GI7cI?si=gGOo8wAOXAaxvjGB
Lakini kuna huyu dogo kutokea Uganda, siku hizi ni kama kila goma analotoa ni hit, mfano lile la Morroco limetembea sana. Watu wa mamtoni wameruka nalo sana pia kapata Remix collabo kutoka kwa French Montana. Na inaonekana mambo mengi mazuri yanakuja kutoka kwake.
Dogo pia aliachia like goma la "Wrong Places" pia likaenda Viral
View: https://youtu.be/hz1_UhKSKGQ?si=9SsCkrfGF6uw8U6R
Ufalme wa mziki wa Tanzania ni kama unapoteza mvuto kwa sababu hakuna damu mpya kwenye game zinazoweza kuichanganya dunia. Kila siku ni Diamond Platnumz, label ya WCB ilikuwa inaachia vipanga walioweza ku-dominate, ila siku hizi ni kama wamepooza. D-voice ni singeli zake za kuchamba ma-ex zake haziwezi kutoba global.
Muda mwingine ukitaka kugusa dunia, pia lugha inachangia. Joshua Baraka anacharanga kimombo, na target yake inaonekana sio soko la Afrika Mashariki bali Dunia.