africa

  1. Kikubwa Pumzi

    JamiiForums Tanzania Muziki Mzuri wa Africa Umefichwa Wapi? Wajuzi Tushirikishane

    Kuna muziki wa Africa ambao ni nadhifu sana, lakini ni nadra kuusikia radio, TV, social media, clubs au mainstream. Mimi napenda muziki kwa sauti, vyombo, vibe, melody, lyrics na production — sio kwa sababu tu ume-trend. Hii ndiyo aina ya playlist ninayoizungumza: 🎵 Black Tax – Just B 🎵 Chai...
  2. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Olulimi Oluganda - Ssabasajja Kabaka awangaale

    📖 ENGERO Z'OLULIMI OLUGANDA Amannya | Matovu Godfrey Omuziro | Ngabi Nsamba A'kabbiro | Jerengesa Omubala | kalikutanda N'ekakusuula mu b'engabi abasambaganyi Muzukulu w'ansamba 📖 🦁 Aggunde ggunde ayi SSABASAJJA KABAKA - Magulu nyondo 🐿️ ◾ Akalya a...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Uganda and Naminia minthe most undemocratic countries in Africa if not the World!

    Sasa unawaleta hao ili wafanye nini credible! Time will tell!
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu ina watu duni mpaka wanagombania bagia za bure?!

    Hili tukio inasemekana limetokea Mbeya! Watu wazima wanagombania bagia za bure! Africa inasikitisha na kukatisha tamaa sana. Kama hali Iko hivi Mbeya wanaosemekana ndio wazalishaji wakubwa wa chakula nchini huko kwingine hali ikoje?!
  5. idiomer

    JamiiForums Tanzania Africa nguvu ndio kubwa akili kiduchuu

    Imagine watu wanakamatwa halafu upelelezi haujakamilika mwezi mzima? Kukamata ni nguvu kazi ila upelelezi ni elimu na weledi..
  6. Red black

    JamiiForums Tanzania Ili Africa ipate maendeleo ni either wazungu wote wahamie huko Africa then waafrica muhamie US,Ulaya..nk

    Nje ya hapo Africa kupata maendeleo ni nadri sanaa. Wazungu wakikabidhiwa bara la Africa kama ambavyo livyo hivi sasa within 10yrs litakuwa very attractive and beautiful place to live.
  7. Yesha

    JamiiForums Tanzania Zimbabweans Must Now Apply for U.S. Visas in South Africa

    Zimbabweans seeking to travel to the United States will now have to apply for visas in South Africa after the U.S. Department of State moved routine visa processing from Harare to regional visa centres. The new arrangement came into effect on August 1, 2026, ending routine visa services at the...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukifika China uwezi kuona haya mapikipiki yao wanayouza Africa wanatumia kwao zaidi pikipiki za umeme

    Nilichoshangaa kwa wachina kwao hawatumii kabisa hizo wanazotengeneza wanatuletea sisi.Hata mtu wa derived uwezi kukuta anatumia. Najiuliza ni kwamba wameona hayana ubora kwenye miji yao mikubwa au uchafu.
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba Africa imeshakua na madikteta wengi na wameshindwa ondoa umaskini kwenye nchi zao

    Ayoub rioba afrika imeshakua na madikteta wengi sana ila cha ajabu wameshindwa kuondoa umaskini na kutengeneza taasisi imara kwenye nchi zao Sasa unavyosema chanzo cha matatizo ya afrika ni madikteta ni wazi hujasoma historia ya bara la afrika
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Usd 1 sawa lita 40 petrol.Tujadiliane kama East Africa

    Nchi za East africa zingekuwa na akili mpaka ile Sudani ya Kaskazini nayo kuwa na mafuta .Umoja huu ungekuwa nchi zenye nguvu na matajiri wa kutisha kwa kila rasilimali. Leo Libya iliyochukua miaka 15 vita inaanza kuwa Dubai mpya ya watu wenye kujiwekea maisha mazuri na nguvu kubwa 2026.
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mifumo mibovu ya Africa ,Kila muafrica anataka kufika Ulaya na Marekani

    Mi nitazungumzia kwa bara letu ,Siwezi kuzungumzia mpaka Asia. Mumeona idadi ya wahamiaji haramu wakijaribu kuingia spain na hii rekodi ni kubwa kwa masaa 24. Tuache wale wa kila siku.Hii inaleta picha gani ?. Na wengine kama viongozi wa afrika nao wanaamia huko sababu wakale maisha mazuri...
  12. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ukipata nafasi ya kukimbia Africa kimbia mbio zako zote

    Usiwashangae wamorocco kuvamia Spain, zaidi ya wamorocco 3000 wameingia Spain Kwa kuvuka bahari, licha ya Morocco kufahamika Kwa mazuri yake, ni Moja Kati ya nchi ambayo ni tofauti na nchi zetu wamepiga hatua na wametuacha mbali kidogo, lakini watu Kila siku wanazama baharini wakitafuta maisha...
  13. Yesha

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe Repatriates From South Africa Surpass 115,000

    More than 115,000 Zimbabweans have returned home from South Africa as the government scales up its repatriation and reintegration programme, Cabinet has announced. Speaking during Tuesday's post-Cabinet media briefing, Minister of Information, Publicity and Broadcasting Services Soda Zhemu...
  14. V

    JamiiForums Tanzania SIKILIZA HUU WIMBO kutoka kwa mwombaji Bora wa nyimbo za INJILI Africa na duniani Mbarikiwa Mwakipesile

    https://youtu.be/mRS35Oemxe8?si=yoM-HCCm6EZk9Hqazq
  15. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baadhi ya Watanzania na Wakenya waunganisha nguvu kuisaka familia ya Mafwele Afrika Kusini

    Hajaisha mpaka iishe. Nimepata very classified information kuwa pamoja na Mafwele kutenda makosa makubwa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu( Crime against humanity), alijua kabisa ipo siku atawindwa. Sasa Ili Aishi Kwa amani alihamisha familia yake Uko South Africa. Sasa kama mjuavyo ubaya haudumu...
  16. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Africa CDC Chief Calls on US to Lift Uganda's Ebola Travel Restrictions

    Director General of the Africa CDC, Dr. Jean Kaseya The Director General of the Africa Centres for Disease Control and Prevention (Africa CDC), Dr. Jean Kaseya, has urged the United States to lift its Ebola related travel restrictions on Uganda, arguing that the country's public health situation...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nisamehe sana John Pombe Magufuli mwema wa Africa

    Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John Kwenye pita pita zangu Kuna vitu vingi nimekuja kuvigundua jinsi viongozi wa serikali...
  18. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Josee Chameleon: The Very Best of East Africa

    MILENIA ya tatu ilikuwa inausabahi ulimwengu. Ni mwanzo wa Karne ya 21, hii ni kwa mujibu wa Gregorian Calendar. Mwaka ni 2000, Joseph Kibweteere alishazingua kinoma Uganda, alisababisha vifo vya watu 778. Kipindi hichohicho, Joseph mwingine alikuwa Kenya akitengeneza heshima ya Uganda. Ndani...
  19. Yesha

    JamiiForums Tanzania Government Releases US$2 Million to Support Zimbabweans Returning from South Africa

    The Government has allocated US$2 million to assist Zimbabwean nationals returning home from South Africa amid growing concerns over rising anti-immigrant sentiment and fears of a resurgence of xenophobic violence. The announcement was made by Nathan Nkomo, Chief Director of the Civil...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi za africa zina subiria kilicho kosea sio kuwai kinachoendelea kukosea.

    Ukiangalia nchi zote za afrika zilisubiria kosa kwanza likafikia tamati ndio waanze kulitatua. Ukilinganisha na wenzetu kukionekana kuna dalili ya makosa uwahi haraka kulitatua ,Ndio maana kila siku kompyuta na vifaa vyetu zinaomba mabadiliko ya kufanyiwa mabadiliko. Serikali za afrika nyingi...
Back
Top Bottom