The Kenyan government has successfully evacuated 86 citizens from South Africa following a surge in anti-immigrant protests that have swept across several cities, raising fears over the safety of foreign nationals. The evacuation was coordinated by the State Department for Diaspora Affairs in...
This is not just a story about poverty. It is a story about survival, a mother's sacrifice, and a child's determination to find hope in the darkest moments.
Will this young boy escape the village that stole his childhood?
Click the below Link and join me on this unforgettable journey.👇👇👇...
Kwa Tanzania chama ambacho kinapewa Hela nyingi na wazungu kwa lengo la kuvuruga Amani na uchumi ni CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA ) kipo Tanzania
Vyama vingine ni New Patriotic Party kipo Ghana,
chama cha Democratic Alliance kipo South Africa,
Citizens coalition for change party...
Breaking News: 269 More Nigerians Return from South Africa as Federal Government Intensifies Evacuation Efforts
The Federal Government has successfully evacuated an additional 269 Nigerians from South Africa, increasing the total number of citizens brought home in the past week to 335. The move...
The Government of Uganda has announced plans to evacuate its nationals from South Africa following an escalation in anti-immigrant violence and xenophobic attacks that have left hundreds seeking assistance to return home.
In a press statement issued on June 28, 2026, the Ministry of Foreign...
Ili swala lipo uganda,lipo kenya na visiwani na sijajua tanzania.
Ila mimi sio muelezaji mzuri kuandika ila naleta mafail ambayo tuanze kuulizana kwanza.
Ina wezekana kuna nguvu kubwa ambayo hata walifikisha haya walifutwa nchi hizi zote tatu Africa mashariki na kwa nini waliuungana kwa uwoga
She's ma favorite artist..
The first time nasikiliza wimbo wake.. Essence I was in awe!
It was pure art, in its essence ngoma ya essence ilikuwa essential..
Ni mwanamziki asiyependa Kiki but ana Grammy yake mkononi. Hama makuu, polite hapendi Kiki, ni yeye na kazi tuu
I love tems, till I die...
Huwezi kumtenganisha Mungu wa kweli na taifa la Israel huo ndo ukweli
Haijalishi Israel walimuasi Mungu wao Kwa miaka mingapi lakini Mungu wao LAZIMA awarudishe kwenye Agano lake
Biblia ni kitabu kinachoonyesha uhusiano wa Mungu wa kweli na taifa lake la Israel kuanzia Mwanzo Hadi Ufunuo...
Makerere University has been placed 23rd in Africa and 639 among global universities by the US News and World Report Best Global Universities Rankings 2026-2027. Makerere’s overall global score stood at 44.9 percent.
The rankings serve as a benchmark for students, researchers and policymakers...
Waingereza wamemtimua kazi Waziri Mkuu wao lakini sasa wanabishana walichomfukuzia kazi Keir Starmer ni kipi hata wenyewe hawaelewi!
Haieleweki kwa nini amelazimishwa kujiuzulu na chama chake alichokiongoza kwenye ushindi mkubwa huku akitimiza ahadi zote alizoahidi.
Keir Starmer aje Africa...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema enzi za kutegemea misaada kugharamia maendeleo na huduma za kijamii zimepitwa na wakati, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kujenga utamaduni wa kujitegemea na kuwajibika kutatua changamoto zao wenyewe.
Dk Mwigulu amesema dunia ya sasa...
Historia ya Afrika imejaa simulizi za utajiri wa rasilimali, lakini pia simulizi za kuporwa kwa rasilimali hizo. Mara nyingi lawama zote hupelekwa kwa mabeberu wakoloni na makampuni ya kimataifa kwa sababu ya kuhodhi thamani ya dhahabu, almasi, mafuta na madini mengine. Lakini tukirudi nyuma...
Nje ya siasa Kidogo Uzi huu utawasaidia wale wanaojitosa hasa watoto wa kike mabinti Kwenda Ulaya (Hapa hawateseki sana) Asia(China, India, Nepal, Thailand ,Hongkon, Malaysia , Macau, Philippines , Singapore, Indonesia, Laos, Vietnam) haya maeneo yote nshayapitia na kuona wadada wanavyoteseka...
130+
Very Superior / Gifted
Top 2%
High IQ
120–129
Superior
Top 9%
High
110–119
High Average
Top 25%
Above Average
90–109
Average
25–75%
Typical / Normal range
80–89
Low Average
Bottom 25%
Below Average
70–79
Borderline
Bottom 9%
Low
Below 70
Extremely Low
Bottom 2%
Very Low (disability range)
Kunauwezekano usio na shaka kabisa ,kama siasa za bara la Afrika zitakuwa hivi kwa chama kimoja kujiita dola na kuamulia vyama vingine viishije ,kupora uchaguzi waziwazi bila aibu,kuuwa wapinzani na wanaharakati wa tawala hizo, kueneza propaganda mfu kuwaita wasaliti tena sio wazalendo,kuna...
Kama viongozi wa chadema kutwa wanakesha wanapitisha kapu la donation kuwatapeli watu nchini, Je! Wanauwezo wa kulipia land huko kwa mabeberu? Je wanauwezo wa kusomesha watoto huko kwa mabeberu? Je! familia zao zinaishije huko kwa mabeberu? Wanatudhalilisha waafrica tunaonekana hatuwezi kutunza...
Takriban Wakenya 50 wanaoishi South Africa kupitia kundi la Kenyan Diaspora in South Africa (KEDASA) wameiomba serikali ya Kenya kuingilia kati na kuwasaidia kurejea nyumbani kutokana na hali ya usalama inayozidi kuwa mbaya.
According to reports, wengi wao wamepoteza ajira, wamekuwa wakikumbana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.