Ni Africa tu ambapo mwenyekiti wa Chama yupo gerezani kwa makosa ya uhaini lakini bado anaendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA hii ni aibUu

instinct desire

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2026
Posts
1,200
Reaction score
889
Africa Kuna maajabu sana, mtu yupo gerezani lakini bado anaendelea kuwa kiongozi na watu wanamuona Bado kiongozi sasa mkiambiwa ni misukule au manyumbu mtalaumu?

Mtu anakesi ya uhaini huyo ni shetani kwa Mujibu wa makosa kwa Taifa lolote lile Duniani, amepoteza uzalendo kwa Taifa lake lakini Kuna misukule Bado inamwita mwenyekiti wetu🤣

Chadema chagueni mwenyekiti mwngine huyo ameshakosa sifa za kuwa hata balozi wa nyumba 10, otherwise mtakuwa mnashida kimfumo
 
Itoshe tu kusema kama umekwenda shule basi ulienda kusomea ujinga.
 
Africa Kuna maajabu sana, mtu yupo gerezani lakini bado anaendelea kuwa kiongozi na watu wanamuona Bado kiongozi sasa mkiambiwa ni misukule au manyumbu mtalaumu?

Mtu anakesi ya uhaini huyo ni shetani kwa Mujibu wa makosa kwa Taifa lolote lile Duniani, amepoteza uzalendo kwa Taifa lake lakini Kuna misukule Bado inamwita mwenyekiti wetu🤣

Chadema chagueni mwenyekiti mwngine huyo ameshakosa sifa za kuwa hata balozi wa nyumba 10, otherwise mtakuwa mnashida kimfumo
Kama ni mhaini ahukumiwe, hao misukule wenzio wanaogopa nini kutoa hukumu tujue moja.
 
Africa Kuna maajabu sana, mtu yupo gerezani lakini bado anaendelea kuwa kiongozi na watu wanamuona Bado kiongozi sasa mkiambiwa ni misukule au manyumbu mtalaumu?

Mtu anakesi ya uhaini huyo ni shetani kwa Mujibu wa makosa kwa Taifa lolote lile Duniani, amepoteza uzalendo kwa Taifa lake lakini Kuna misukule Bado inamwita mwenyekiti wetu🤣

Chadema chagueni mwenyekiti mwngine huyo ameshakosa sifa za kuwa hata balozi wa nyumba 10, otherwise mtakuwa mnashida kimfumo
Vipi mwenyekiti aliyeuwa watu hapo October 29 na kwenda kujificha kwenye kambi ya jwtz ngerengere licha kuapishwa garage?
Bado ana sifa za kuwa raisi japo wa chaneta?
 
You are the product of unsuccessful Incomplete abortion, stop reasoning like class 3 term one drop out of school,
Lissu is a walking Miracle,No weapon formed against him will succeed/ Prosper
 
You are the product of unsuccessful Incomplete abortion, stop reasoning like class 3 term one drop out of school,
Lissu is walking Miracle,No weapon formed against him will succeed/ Prosper
Is walking miracle🤣
Ndo maana mnaitwa manyumbu
 
Africa Kuna maajabu sana, mtu yupo gerezani lakini bado anaendelea kuwa kiongozi na watu wanamuona Bado kiongozi sasa mkiambiwa ni misukule au manyumbu mtalaumu?

Mtu anakesi ya uhaini huyo ni shetani kwa Mujibu wa makosa kwa Taifa lolote lile Duniani, amepoteza uzalendo kwa Taifa lake lakini Kuna misukule Bado inamwita mwenyekiti wetu🤣

Chadema chagueni mwenyekiti mwngine huyo ameshakosa sifa za kuwa hata balozi wa nyumba 10, otherwise mtakuwa mnashida kimfumo
Lissu sio mhaini.
 
Back
Top Bottom