Vyuo vikuu 10 bora Afrika 2026

Vyuo vikuu 10 bora Afrika 2026

36must

Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
50
Reaction score
84
Vifuatavyo ni vyuo vikuu bora Africa Mashariki 2026:
1. Chuo kikuu Addis Ababa ( Ethiopia)
2.Chuo kikuu Makerere(Uganda)
3.Chuo kikuu Nairobi( Kenya)
4.Chuo kikuu cha Khartoom ( Sudan)
5. Kenyatta University( Kenya)
6. Strathmore University( Kenya)
7. Chuo kikuu cha UDSM( Tanzania)
8. Chuo kikuu kilimo&Tech Jomo Kenyata( Kenya)
9. Chuo Kikuu Rwanda( Rwanda)
10. Kenyatta University (Kenya)

CHANZO; Vyuo 10 bora Afrika Mashariki 2026 - BBC News Swahili

Je Chuo kikuu cha MUHAS kimeshuka hadhi???
 
Tuna zidiwa mpaka na Sudan? hii ni matokeo ya kuendekeza siasa mpaka kwenye taaluma
 
kwa hiyo kunya bata anye ukinya wewe ni tatizo si ndio
Kwa hivyo unafikiri hao wamekosea Kama mimi?
Hao hawajakosea, ipo hivyo ni majina ya vyuo viwili tofauti.
Inaonesha ulikuwa unataka ligi tu na mimi.
Mimi sijawakosoa. Nimetaka tu kuelezea nilichokiona, huo mfanano.
 
BBC ya siku hizi haina tofauti na zile media za Madam Ritha!!😀
 
Huwezi ukapata vyuo bora Tanzania kutokana na outcome yake... Lecturers kina Kabudu, Bashiru afu wanafunzi wao ndio kina Katambi 🤣 anatembea na katiba wakati ukimuuliza swali la katiba aliyoishika hawezi kujibu kwakutumia hiyo katiba!!.
Just imagine Rais wa wanafunzi ni Kiriba sijui KIRIBA TUMBO... Yupo busy kusifia upuuzi wa ccm!
 
Vifuatavyo ni vyuo vikuu bora Africa Mashariki 2026:
1. Chuo kikuu Addis Ababa ( Ethiopia)
2.Chuo kikuu Makerere(Uganda)
3.Chuo kikuu Nairobi( Kenya)
4.Chuo kikuu cha Khartoom ( Sudan)
5. Kenyatta University( Kenya)
6. Strathmore University( Kenya)
7. Chuo kikuu cha UDSM( Tanzania)
8. Chuo kikuu kilimo&Tech Jomo Kenyata( Kenya)
9. Chuo Kikuu Rwanda( Rwanda)
10. Kenyatta University (Kenya)

CHANZO; Vyuo 10 bora Afrika Mashariki 2026 - BBC News Swahili

Je Chuo kikuu cha MUHAS kimeshuka hadhi???
Kichwa cha habari Afrika, content umeweka Afrika Mashariki.
 
Back
Top Bottom