Search results

  1. K

    Marekani yasitisha zoezi la kupeleka ndege vita F -16 baada ya mifumo yake ya ulinzi kudunguliwa uko Ukraine

    Baada ya mifumo ya ulinzi ya Marekani ambayo walikuwa wakiiamini sana kupigwa na kuharibiwa na majeshi ya Russia, kwa kutumia makombora ya kinzhai, leo Marekani amepiga marufuku ndege zake aina ya F -16 zisipelekwe ukraine wala kuwafundisha askali wa ukraine. Hii Ni baada ya kugundua kwamba...
  2. K

    Video: Nyumba ya Tulia Ackson

    Uwezo wa mtumishi wa serikali kujenga huo mjengo.
  3. K

    Rais Ruto aanza kunyang'anya mashamba makubwa kwa waliyojimilikisha yakiwemo ya Kenyatta

    Rais wa Kenya na Naibu wake wameanza mkakakti wa kuwanyang'anya mashamba makubwa kwa waliyojimilikisha kipindi cha Rais wa kwanza, wa pili, wa tatu na wanne. Wakati huo wale veterans na familia zao hazina mashamba. Hivyo serikali chini ya Rais Ruto wameanza mkakati wa kuchukuwa mashamba hayo na...
  4. K

    Gharama ya ujenzi wa bomba la mafuta toka Mtwara kwenda Dar es Salaam

    Tuijue gharama ya Ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kuja Dar es salaam. Tukimaliza hapo, tuanze kuelewa kwanini Gesi tunaipeleka Kenya. Gharama za mradi ni Dola za Marekani 1,225,327,000 (Bilion 1.2)Kati ya fedha hizo Benki ya Exim ya China imechangia asilimia 95 na Serikali ya Tanzania...
  5. K

    Kwanini akina mama upenda kuishi kwa watoto wao wa kiume kuliko kwa binti zake

    Kwa nini familia za Kiafrika especially Tanzania akina mama yuko radhi atoke Kwa mume wake akaishi kwa mtoto wake wa kiume ambaye ana mke wake, pia huwa hawataki kwenda kukaa kwa binti zao ambao nao wanandoa zao. Akikaa kwa kijana wake anataka kuwa control kila kitu kama watoto wadogo. Pia uwa...
  6. K

    Kwanini vijana wengi mabilionea watarajiwa huwa ni wezi frauder

    https://face2faceafrica.com/article/new-details-emerge-on-arrest-of-forbes-celebrated-young-nigerian-billionaire-in-the-u-s-over-11m-fraud =========================================================================================== Mwingine hi huyo wa solar wa Tanzania Yule kijana aliyewahi...
  7. K

    Bill Gates Dirty Tricks in Burkina Faso and Nigeria

    🏾 *PRAY FOR AFRICA* Bill Gates Dirty Tricks in Burkina Faso and Nigeria, by Sussy Vozniak, reporter for Intelicor Press, Vienna. Paris: Secret documents leaked on the fiasco in Burkina Faso expose troubling information on the undercover activities of the American Multi-Billionaire Bill...
  8. K

    Dereva wa basi la Shabiby (T 706 DPS) kutoka Mbeya kwenda Dodoma anakimbia sana hata kwenye milima ya Nyang'oro

    Leo 11/8/2019 tumesafiri na bus la Shabiby Line toka Mbeya kuja Dodoma bus No T706 DPS, kwenye milima ya Nyang'oro Dereva alikuwa anaendesha 80km/hour badala ya 50km/hour Karibu utumbo utoke ukiona hizo kona kari jamaa analala nazo. Alarm ya gari ilikuwa inalia kila dakika kuashiria kwamba...
  9. K

    USA: Hate crimes, Racism and discrimination left more than 250 people dead within 7 month

    Watu wakiambiwa TANZANIA ni kisiwa cha amani, wengi wanatoa povu. Venezuela, Uruguay, Japan warn citizens about traveling to the US because of mass shootings Adrianna Rodriguez,USA TODAY 8 hours ago "Foreign countries are issuing...
  10. K

    Lissu vs Acacia mining

    Mwandishi aliyeshinda Tuzo ya CNN ahoji nini kimemtokea Lissu?Aliwatukana Acacia/Barrick kwa miaka 20, leo anawatetea? Ataka uchunguzi wa kina. @ Lissu, aliwatukana kwa miaka 20, baada ya magufuri kuingia madarakani na kukata mirija ya makinikia, Lissu akaanza kuwatetea, hapo ndo shida...
  11. K

    Acacia vs Tundu Lissu

    Mwandishi aliyeshinda Tuzo ya CNN ahoji nini kimemtokea Lissu?Aliwatukana Acacia/Barrick kwa miaka 20, leo anawatetea? Ataka uchunguzi wa kina. @ Lissu, aliwatukana kwa miaka 20, baada ya magufuri kuingia madarakani na kukata mirija ya makinikia, Lissu akaanza kuwatetea, hapo ndo shida...
  12. K

    Michepuko ndani ya jiji la Dar es Salaam

    RIPOTI MAALUM: HATARI KUBWA KWA WANANDOA Na Bollen Ngetti HUU ni utafiti ambao umenichukua takriban miezi 6! Ilikuwa niikabidhi kwenu wadau na Serikali wiki mbili zilizopita lakini haikuwa hivyo kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu! Nitumie ukuta huu kutoa ripoti japo kwa...
  13. K

    Nani anamiliki 36.1% share za Acacia mining

    Jamani nauliza tu, nani anamiliki asilimia 36.1 share za Acacia mining Toronto based Barrick. Baada ya JPM kuweka kufuri kutosafilisha makinikia, kuna baadhi ya waliokuwa waandamizi wa serikali iliyopita walipanda ndege kwenda Toronto kwa gia ya kwenda kupumuzika na kufanya mambo yao...
  14. K

    Yusuf Manji na wenzake wanne watakiwa kuilipa zaidi ya Tsh. Bilioni 33 benki ya NBC

    Mahakama Kuu kitengo cha Biashara imemuamuru Mfanyabiashara Yusuf Manji na Wenzake wanne kulipa fedha hizo kwa benki ya NBC kutokana na mkopo waliochukua katika matukio tofauti Katika kesi namba 54 ya 2018, Manji na Washtakiwa wengine, Farm Equip(Tanzania) Company Limited, Tanperch Limited...
  15. K

    MADINI-WALIOTUINGIZA MKENGE HAWA HAPA

    Mkataba ulisainiwa London- Lowasa alikuwa pale London siku ya kusaini mkataba na mkubwa wake alitaka kujuwa wao % yao itakuwa ngapi.
  16. K

    Mti wa ajabu wa mwembe washindikana kukatwa

    Mti wa ajaba wa Mwembe, Dozer D8k limeshindwa kuung’oa hapo ulipo, chain sawa imeshindwa kuukata, shoka limeshindwa kuuwangusha. Inasemekama hata Nyanza Road Works imebidi wauwache kama ulivyo, maana ukiukata unatoa damu kama ya binadamu na sauti “ unanikata nimekukosea nini” hayo ni amaajabu...
  17. K

    Anguko la mabenki: PAC yaagiza ukaguzi maalum ufisadi wa riba katika amana za bilioni 440 TPA

    PAC yaagiza ukaguzi maalum ufisadi wa Riba katika amana za bilioni 440 TPA; Wizi hufanyika hivi! Kamati ya fedha za serikali (PAC) imemuagiza CAG na BOT kukagua ubadhirifu wa riba/faida ya akaunti za muda maalum kiasi cha shilingi Bilioni 440 za Mamlaka ya bandari, zilizowekwa katika benki...
  18. K

    Russia unveils 'Satan 2,' a nuclear missile that could 'wipe out Texas,'

    Russia unveils 'Satan 2,' a nuclear missile that could 'wipe out Texas,' speed past U.S. defense systems | U.S. News Russia unveiled a new intercontinental ballistic missile that can reportedly destroy a geographic area as large as Texas. The debut of the RS-28 Sarmat, nicknamed "Satan 2,"...
  19. K

    James Lembeli auza jimbo la Kahama Mjini kwa Kishimba wa CCM

    Kuna tetesi kwamba James Lembeli keshavuta za kwake kama alivyofanya Mbowe kwa Lowasa, tayari Lembeli anafanya maandalizi ya kukabidhi jimbo kwa Bwana Ndangote wa Tanzania aka Kishimba wa CCM. Jimbo la kahama Mjini. Sasa hivi anajikosha kwa misemo yake ambayo mtu mwenye akili ndogo tu atajua...
  20. K

    Mbowe, Hata kama punda atafia njiani lazima mzigo ufike

    Leo, kwenye uzinduzi wa ukawa kitu ambacho nimeona, 1) Mbowe analazimisha kitu ambacho akiwezekani kabisa kabisa, kwenye uzinduzi sikusikia point za maana kabisa tofauti na marudio ya magufuri anayochanja nayo mbuga uko Mbeya na Katavi, Mbowe tafadhali rudisha pesa za Lowasa ni kama umemtapeli...
Back
Top Bottom