MADINI-WALIOTUINGIZA MKENGE HAWA HAPA

Kokolo

JF-Expert Member
Mar 20, 2008
1,958
3,260
Mkataba ulisainiwa London- Lowasa alikuwa pale London siku ya kusaini mkataba na mkubwa wake alitaka kujuwa wao % yao itakuwa ngapi.
 

Attachments

  • MIKATABA YA MADINI.doc
    97.5 KB · Views: 37
Alikuwepo ila hakusaini, ila aliyesaini yupo wap na aliyekuwa mkuu wa kaya yupo wap sasa...?
 
Back
Top Bottom