Search results

  1. IsayaMwita

    Tafakuri... Watanzania Wenzangu

    Ndg wana Jf, Ni muda mrefu nimepotea hapa jamvini, na wakati mwingine nimekuwa nikitumia muda wangu kuyasoma mawazo wa wana JF wengine. Leo nina mitazamo miwili juu ya taifa letu. Mtizamo wa kwanza. Kwa nini rais Kikwete aliamua kumteua Mhe. Mbatia kuwa Mbunge? kulikuwa na sababu zipi za...
  2. IsayaMwita

    Pendekezo!

    Hakuna asiye fahamu kuhusu kinacho endelea kuhusu elimu yetu, watoto wetu wanaendelea kupoteza mielekeo yao huku mambo yakiendelea kuwa mabaya, tunaendelea kuwashambulia Magamba huku wao magamba na matajiri wakiendelea kuwasomesha watoto wao katika shule bora. Mambo yanazidi kuharibika kila...
  3. IsayaMwita

    Cdm mp,

    Wabunge wa chadema, hiki ndicho kipindi cha kususia bunge, madaktari wapo kwenye mgomo, ndg zetu wanaendelea kufa. kwa kukosa matibabu Spika hataki mjadala wa madaktari ujadiliwe...., na kwa kuwa hili la Dr UL nalo ni la kitaifa, hapa sasa wabunge wangu tusimame imara kwa hili ili madaktari...
  4. IsayaMwita

    Kwako kaka Mpina

    Mheshimiwa mbunge Mpina, ile budget uliyoipinga magamba wenzako wameipitisha, je unawaambia nini watanzania? utaendelea kuwa mchumia tumbo ili maisha ya wanao yasonge? je ni uwamuzi gani utauchukua kwa sasa mami? wamekupuuza, wamekudharau....,wanajua hauna pa kwenda, watanzania wanasubiri kauli...
  5. IsayaMwita

    CHADEMA tuokoeni wana Kigamboni

    Ni siku tano sasa tangu lile ongezeko la nauli limeanza kutelezeka, hakika mambo yanakwenda ndivyo sivyo. kwa kawaida mtu anaweza kudhani sisi ni walalamishi tusiyopenda kuchangia pato la taifa ( cost shareling) shida inakuja pale hata pale bei ya mizigo ilipopanda, Mfano mwenye guta ( baiskeli...
  6. IsayaMwita

    Elections 2010 Iko wapi tanzana mpya?

    Hakika, Hakika najua kwa wale wapiganaji tumebaki midomo wazi, hatuwi twende wapi! dunia haitutaki tena, Matumaini yamepotea ghafla........, sijui tunatokaje hapa tulipofikishwa na akina Wa 16, Maralia Sugu na wengineo wengi wanao faidika na mfumo huu. Ndoto na njozi zetu zinaendelea kufifia...
  7. IsayaMwita

    Elections 2010 Tusiishie hapa.

    Kila mpenda MABADILIKO afanye kwa sehemu yake, wale tutakao weza tuhakikishe tunasimama kama mawakala wa CHADEMA, na wale tuliopata nafasi ya usimamizi naomba tukalinde kura za Slaa, Ushindi ni lazima. Wengine wenu tumepotea hapa jamvini na si kwamba tunapenda ila vita iliyoko mbele yetu...
  8. IsayaMwita

    Elections 2010 Je Dr. Slaa akitupa jalamba, ushindi utakuwepo 2010?

    Ni maswali mengi yayoelea vichwani mwa Watanzania kwa sasa, na bado majibu ni Kitendawili. (a)Ni nani maarufu kati ya Dr Slaa na Kikwete kwa sasa? (b) Je ni kweli Dr slaa anafahamika hadi huko kwenye grassroot? (c) Na kama Watanzania watamuamini Dr slaa, je yawezekana akatusaliti huko mbele...
  9. IsayaMwita

    Huu mgogoro wa ardhi tarime utaisha salama?

    Hakika hakika ni lazima tuwe na tahadhari kubwa kama si angalizo .Wiki iliyopita mgogoro wa ardhi kati ya Jeshi la kujenga Taifa na wananchi umezuka hapa wilayani, maswali ya kujiuliza Hawa wananchi awamu hii wataliogopa jeshi na kukubali matokeo kwamba wamedhurumiwa ama ndiyo watawavaa...
  10. IsayaMwita

    Wapinzani sasa twalana wenyewe

    Hakika , hakika, CCM ni vicheko na ndelemo, kile walichotegemea sasa chatimia, walijua kuwa upinzania nguvu yao ni ndogo ni kelele za chura. Ni kweli wapinzani walifanikiwa kuwashika pabaya ila kwa sasa kila kukicha wanajinasua pole pole, Hebu sisi watanzania ni nani katuloga? tumekuwa kama...
  11. IsayaMwita

    Karibu Tarime mama Kilango 2010

    Ndugu zangu wana Jf nachukua fursa kumkaribisha mama yetu hapa Tarime kwani nimeona anaweza kufanya kila kinachowezekana kulitwaa jimbo hili mikononi mwa CHADEMA. Nimeamua kulisema hili kwani kwa kile mama kilango alichokisema kuwa 2010 atakuwa pale Moshi sasa basi sijasikia mwanasiasa yoyote...
  12. IsayaMwita

    Hapa kikwete katupiga bao!

    Kwa jinsi Muungwana anavyo wajibika kwa sasa si ndiyo anazidi kukiruka kiunzi 2010? hatujui tutamrushia madongo yapi, kwani yeye kama yeye hakika anaendelelea kuisafisha ile njia, Tuangalie tusije tukakosa mshiko, !!!!! Nadhani zile hoja za kufichua ufisadi tungeanza sasa si mwaka jana...
  13. IsayaMwita

    Zile hoja za ufisadi ziko wapi?

    Nakushukuru Mola kwa kunipa pumzi yako baba, bado ninaendelea kuishi, japo sitakiwi kuishi hapa duniani(Tanzania), najua ni mpango wako kuwa hapa duniani katika nchi njema ya Tanzania, nchi tajiri huku mimi nikiwa maskini wa kutupwa. Ndugu zangu wana JF, kuna kipindi nilidhani mtalisaidia...
  14. IsayaMwita

    Yuko wapi Raila Odinga wa Tanzania?

    Nimekuwa nikijiuliza maswali lukuki, wako wapi watanzania(wapiganaji) wanaoweza kutukwamua hapa tulipo? tumekwama, hatuna mwelekeo, wale tuliowaamini nao wameingia MITINI Maswali ya kujiuliza: (a) je ni kweli hatuna watu wazalendo kama akina Odinga wa pale Kenya? (b) Ni nini mtizamo wa...
  15. IsayaMwita

    Kitu cha kushangaza kwa sasa iweje serikali iingilie Maamuzi Harmashauri ya Tarime?

    Ni baada ya wale wafanyakazi 8 wa halmashauri hii kutimuliwa na madiwani wakidhaniwa kuwa walihujumu sh, bilion 1, pesa za walipa kodi, sasa serikali imeamuru warudishwe kazini,hiyo imethibitika baada ya kupokea barua toka ikulu, jambo la kushangaza barua hii imebainisha kuwa madiwani wa Tarime...
  16. IsayaMwita

    Kitu cha kushangaza kwa sasa iweje serikali iingilie Maamuzi Harmashauri ya Tarime?

    Ni baada ya wale wafanyakazi 8 wa halmashauri hii kutimuliwa wakidhaniwa kuwa walihujumu sh, bilion 1, pesa za walipa kodi, sasa serikali imeamuru warudishwe kazini,hiyo imethibitika baada ya kupokea barua toka ikulu, jambo la kushangaza barua hii imetoka ikuru, ikiamuru madiwani wa Tarime...
  17. IsayaMwita

    Dar, Arusha, Mwanza Na Mbeya, Yako Wapi Mageuzi?

    Iweje CCM washinde mijini? jamani tunaamini huku mijini ndiko kuna uelewa mkubwa, magazeti mengi, Redio za kutosha na TV!!!!!!!! Mijini ndiko kunafukuzwa wamachinga, watu kubomorewa majumba, hebu inakuweje jamani? Waandishi wote wanaishi mijini. Wasomi wote wanaishi...
  18. IsayaMwita

    Kesi Ya Tume Huru Ya Uchaguzi,

    Kesi ya msingi kuhusu tume huru ya uchaguzi inatarajiwa kufunguliwa mwishoni mwa wiki hii na mchungaji mtikila . Kesi hii itakuwa na mvuto kwa watanzania na wadau wengine, je mahakama itakuwa tayari tena kumpa ushindi mwingine Mchungaji Mtikila? Na kama atashinda kesi hiyo, je tutarajie nini...
  19. IsayaMwita

    Kesi Ya Tume Huru Ya Uchaguzi,

    Kesi ya msingi kuhusu tume huru ya uchaguzi inatarajiwa kufunguliwa mwishoni mwa wiki hii na mchungaji mtikila . Kesi hii itakuwa na mvuto kwa watanzania na wadau wengine, je mahakama itakuwa tayari tena kumpa ushindi mwingine Mchungaji Mtikila? Na kama atashinda kesi hiyo, je tutarajie...
  20. IsayaMwita

    Nguvu Ya Dola

    Hebu inakuweje serikali iwaamishe kwa nguvu watu toka ktk makazi yao kwa nguvu ? inakuweje serikali hiyohiyo itathimini yenyewe thamani bila kumuhusisha muhusika mwenye nyumba au kiwanja thamani ya mali ya muhusika? Hili ndilo wakazi wa Kibamba na Kurasini wanalopambana nalo kwa sasa, Je...
Back
Top Bottom