Nguvu Ya Dola

IsayaMwita

JF-Expert Member
Mar 9, 2008
1,127
140
Hebu inakuweje serikali iwaamishe kwa nguvu watu toka ktk makazi yao kwa nguvu ? inakuweje serikali hiyohiyo itathimini yenyewe thamani bila kumuhusisha muhusika mwenye nyumba au kiwanja thamani ya mali ya muhusika?

Hili ndilo wakazi wa Kibamba na Kurasini wanalopambana nalo kwa sasa,

Je hii ni halali jambo hilo kufanyika kwa mtindo huo?

Lakini kibaya zaidi ni pale wawekezaji wanapofika na kupewa ardhi yetu na kisha wananchi wa maeneo hayo kuhamishwa kwa nguvu, mfano ni kule Geita, wananchi wale kwa sasa wanaishi shuleni,je nini kifanyike ili kunusuru hali hii?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom