Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi Ya Tume Huru Ya Uchaguzi,

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by IsayaMwita, May 19, 2008.

 1. I

  IsayaMwita JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2008
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 1,119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kesi ya msingi kuhusu tume huru ya uchaguzi inatarajiwa kufunguliwa mwishoni mwa wiki hii na mchungaji mtikila .

  Kesi hii itakuwa na mvuto kwa watanzania na wadau wengine, je mahakama itakuwa tayari tena kumpa ushindi mwingine Mchungaji Mtikila? Na kama atashinda kesi hiyo, je tutarajie nini 2010?

  Je inawezekana Muungwana anahusika moja kwa moja na kesi hizi, ili wakimpiga chini kule awe ameandaa mazingira mazuri huku nyuma ya jamvi? na kama si hivyo basi tuseme mahakama imekuwa huru kutenda kazi zake bila kuingiliwa na serikali?

  Ama nyie mwalitazamaje hili waheshimiwa,
   
 2. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,195
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  hii ni habari njema kwa demokrasia Tanzania kama itafanikiwa. Ila mbona ile ya ugombea binafsi haijaanza kutekelezwa?
   
 3. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,603
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  Tume huru ni jeneza la CCM inawezekana mtu kununua sanda yake lakini sijasikia mtu kujitengenezea jeneza na kuliweka tayari.
  By the way their power will be coffined ,they will not agree to the conditions & so the stipulations.
   
Loading...