Kitu cha kushangaza kwa sasa iweje serikali iingilie Maamuzi Harmashauri ya Tarime?

IsayaMwita

JF-Expert Member
Mar 9, 2008
1,127
138
Ni baada ya wale wafanyakazi 8 wa halmashauri hii kutimuliwa wakidhaniwa kuwa walihujumu sh, bilion 1, pesa za walipa kodi, sasa serikali imeamuru warudishwe kazini,hiyo imethibitika baada ya kupokea barua toka ikulu, jambo la kushangaza barua hii imetoka ikuru, ikiamuru madiwani wa Tarime walikosea kuwasimamisha kazi hao wafanyakazi,

Swali la kujiuliza hapa ni vipi serikali ipinge maamuzi ya wale madiwani?

Kwani ikiwa jimbo linaongozwa na vyama pinzani maamuzi yake si sahihi kwa maslahi ya Taifa hili?

Wana JF hili mnalionaje?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom