IsayaMwita
JF-Expert Member
- Mar 9, 2008
- 1,127
- 140
Hakuna asiye fahamu kuhusu kinacho endelea kuhusu elimu yetu, watoto wetu wanaendelea kupoteza mielekeo yao huku mambo yakiendelea kuwa mabaya, tunaendelea kuwashambulia Magamba huku wao magamba na matajiri wakiendelea kuwasomesha watoto wao katika shule bora.
Mambo yanazidi kuharibika kila kukicha ......, mitoto ya mifisadi itaendelea kuwatawala watoto wetu hata baada ya kufa mimi na wewe,
Sasa mimi na wewe tumefanya nini ili kuhakikisha kwamba watoto wetu nao wanapata hata hiyo elimu kiduchu?
Napendekeza cha kufanya,
1. Kuanzia leo nakwenda kuomba vipindi pale shule ya kata , nayatoa masaa mawili kwa kila wiki kuwasaidia watoto wa kitanzania, nitafundisha Maths, na wewe mzalendo mwenzangu fanya kwa sehemu yako. Fikiri ni mara ngapi umekuwa ukipoteza muda mwingi hapa kwenye keyboard?
swali la kujiuliza, kweli Mwalimu Mkuu ataniruhusu kunipa vipindi ili niwasaidie hawa watanzania wenzangu?
Mwisho naomba ndugu zangu tupendekeze cha kufanya........