Kesi Ya Tume Huru Ya Uchaguzi,

IsayaMwita

JF-Expert Member
Mar 9, 2008
1,129
1,250
Kesi ya msingi kuhusu tume huru ya uchaguzi inatarajiwa kufunguliwa mwishoni mwa wiki hii na mchungaji mtikila .

Kesi hii itakuwa na mvuto kwa watanzania na wadau wengine, je mahakama itakuwa tayari tena kumpa ushindi mwingine Mchungaji Mtikila? Na kama atashinda kesi hiyo, je tutarajie nini 2010?

Je inawezekana Muungwana anahusika moja kwa moja na kesi hizi, ili wakimpiga chini kule awe ameandaa mazingira mazuri huku nyuma ya jamvi? na kama si hivyo basi tuseme mahakama imekuwa huru kutenda kazi zake bila kuingiliwa na serikali?

Ama nyie mwalitazamaje hili waheshimiwa,
 
Zitto

Former MP Kigoma Urban
Mar 2, 2007
1,553
2,000

Nimetoka kuongea na mchungaji Mtikila muda mfupi uliopita kuhusiana na nia ya serikali kutaka kukata rufaa kuhusiana na kesi ya mgombea binafsi. Tumekubaliana kuwa ni vema kutoisubiri serikali kuleta muswada wa mabadiliko ya katiba kwani itachelewa kufanya hivyo na hata nia ya kutaka kukata rufaa ni ujanja wa kuchelewesha. Nimekubaliana nae tunahamishia mapambano Bungeni na tayari nimetoa 'notice' kwa Katibu wa Bunge kuhusu nia ya kuleta muswada ili kutekeleza amri ya mahakama.

Muswada pia utafanya mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi na kutamka wazi aktika Katiba juu ya Tume Huru ya Uchaguzi.
One struggle, many fronts!
 
IsayaMwita

JF-Expert Member
Mar 9, 2008
1,129
1,250
Zitto,
Vipi kuhusu hii kesi ya tume huru ya uchaguzi unadhani kuna changamoto zinaweza kumkabili mchungaji mtikila kwamba ikakataliwa kufaliwa pale mahakamani? je unadhani mahakama itakuwa tayari kutoa haki kwa mchungaji Mtikila na kuisariti serikali iliyoko madarakani?
 
Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,606
1,500
Kazi nzuri Zitto, mungu ndio pekee atakae kulipa inshallah. You don't know how much you inspired many of us. You and few others start this movements, the movement for children, men and women of Republic of Tanzania.

Najua safari ni ndefu, lakini kwenye nia pana njia. We will make it at the end of the day. It has never been easy, ask MLK, Malcom or Mandela or Mwalimu.
Good work Zitto
 
Bikirembwe

JF-Expert Member
Feb 13, 2008
250
0
Kesi ya msingi kuhusu tume huru ya uchaguzi inatarajiwa kufunguliwa mwishoni mwa wiki hii na mchungaji mtikila .

Kesi hii itakuwa na mvuto kwa watanzania na wadau wengine, je mahakama itakuwa tayari tena kumpa ushindi mwingine Mchungaji Mtikila? Na kama atashinda kesi hiyo, je tutarajie nini 2010?

Je inawezekana Muungwana anahusika moja kwa moja na kesi hizi, ili wakimpiga chini kule awe ameandaa mazingira mazuri huku nyuma ya jamvi? na kama si hivyo basi tuseme mahakama imekuwa huru kutenda kazi zake bila kuingiliwa na serikali?

Ama nyie mwalitazamaje hili waheshimiwa,

Kuna wengi wa Wtz hawaoni mchango wa Mchungaj Mtikila katika mapambano lakini kusema kweli amefanya mengi kuliko baadhi ya viongozi wa upinzani wanaotumia majukwaa.

Thumb up mchungaji na tuko bega kwa bega na wewe - likiwezekana hili nakushinda kesi itakuwa hatua moja ya kuondoa ukiritimba katiak Tume ya Uchaguzi.

Safari ni ndefu lakini naamini tutafika muhimu ni mshikamano tukijua kunafanya haya kwa kuweka mizizzi bora ya Taifa letu kwa kizazi kijacho tafauti na wale wanaofikiri kujaza vijisenti katika mifuko yao ndio kujijengea hatima yao na familia zao na kusahau wana wa nchi hii.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom