Huu mgogoro wa ardhi tarime utaisha salama?

IsayaMwita

JF-Expert Member
Mar 9, 2008
1,127
140
Hakika hakika ni lazima tuwe na tahadhari kubwa kama si angalizo .Wiki iliyopita mgogoro wa ardhi kati ya Jeshi la kujenga Taifa na wananchi umezuka hapa wilayani,

maswali ya kujiuliza

Hawa wananchi awamu hii wataliogopa jeshi na kukubali matokeo kwamba wamedhurumiwa ama ndiyo watawavaa?

ni ni ni hatima ya hawa watanzania wanaolala nje kwa sasa?
 
Isaya Mwita..Umeshachagua side mpaka hapo ulipo..hii habari au unataka mjadala?Kwa kuwa umesema kuwa wananchi wamedhulumiwa..una uhakika gani?kwanini unafikiri wamedhulumiwa?Na kwanini isiwe wao wamechukua arhdi isiyo yao..ndio maana jeshi likaja kuitwaaa?Nani asiye jua kuhusu taarime achilia mbali mifugo,ardhi, madini etc?Hii ni kukupa tu mtazamo zaidi ya huo unao weza kuuwakilisha hapa.
 
Back
Top Bottom