Search results

  1. Mongoiwe

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi Knight Support na Wahasibu wake wakamatwa

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi Knight Support (wa kwanza kulia), Bresing Kachambwa na Wahasibu wa kampuni hiyo wakiwa kwenye gari la Polisi baada ya kukamatwa wakituhumiwa kushindawa kuwasilisha NSSF michango ya makato ya wafanyakazi wake kiasi cha Sh bilioni 8.417.
  2. Mongoiwe

    ShyRose amuomba radhi Rais Magufuli kwa ujumbe uliosambaa kutokea kwenye akaunti yake ya Instagram. Asema alidukuliwa

    Kada maarufu wa CCM na aliyewahi kuwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA), ShyRose Bhanji kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram ameandika kuwa Hakubaliani na Utawala wa Rais JPM, na yuko tayari kwenda jela Ikumbukwe kuwa Mwanasiasa huyo siku kadhaa zilizopia aliandika...
  3. Mongoiwe

    Makanali watatu wa Jeshi la Rwanda wakamatwa Dar, Wafikishwa Kisutu

    Leo katika Mahakama ya Kisutu, kuna makanali watatu wa Jeshi la Rwanda wamefikishwa mahakamani, watu hawa wanadaiwa kuingia nchini kinyemela kwa kazi maalum. Cha ajabu wanasheria wa Serikali walukuwa wakizuia waandishi wasiruhusiwe kuandika eti sababu ya mahusiano yetu na Rwanda. Hata hivyo...
  4. Mongoiwe

    Waziri Nchemba: Maiti Saba wa Mto Ruvu ni wahamiaji haramu

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema kuwa miili ya watu saba iliyokutwa ikielea imekufa ikielea kwenye mto Ruvu ilikuwa ni ya Wahamiaji Haramu. Kauli hiyo ameitoa leo asubuhi wakati wa mahojiano na runinga ya Star Tv katika kipindi cha Tuongee Asubuhi. ================= Habari...
  5. Mongoiwe

    Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

    Hali siyo shwari ndani ya Kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL) ambayo inatokana na kuathiriwa kwa kiasi kikubwa kipindi hiki katika kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015 ili kuimaliza nguvu Gazeti hilo. Mpango huu umesukwa vyema na Idara ya Ndani ya Ujajusi kwa kuwa Gazeti hili lilikuwa mwiba...
  6. Mongoiwe

    Denis Msaky atoka Mwananchi atimkia Mtanzania

    Kuna Habari kwamba Mhariri Mkuu Mtendaji wa Gazeti la Mwananchi Denis Msacky, ameacha kazi rasmi huko na kwamba sasa atajiunga rasmi New Habari na kuwa Mhariri Mkuu Mtendaji wa Gazeti la Mtanzania kuanzia sasa.
  7. Mongoiwe

    VIDEO: Kagame apigwa mawe London

    Rais Kagame akishambuliwa kwa mawe huko Uingreza. TÉLÉ 24 LIVE: PAUL KAGAME humilier par les combattants de LONDRES et se cache par clé BOA - YouTube
  8. Mongoiwe

    Msaada nipate Internet Nokia Lumia 510

    Nimekwenda ofisi za Airtel pamoja na line yangu kukatwa imegoma ku operate 3G, simu naweza kupiga na kupokea, wakajaribu badala ya 3G kuweka EDGE lakini lakini ikagoma, nimeenda Tigo wao wameweka Line yao ile ndogo kwa ajili ya smartphone ndiyo inaonyesha kugoma hata kufanya kazi, msaada kwa...
  9. Mongoiwe

    Video Green Guard wa CCM walipomshambulia mwandishi Fredrick Katulanda 2010

    Hii nimekutana nayo mtandaoni, angalia madhara ya Green Guard. Katunews: VIDEO GREEN GUARD WA CCM WALIPOMSHAMBULIA MWANDISHI FREDRICK KATULANDA 2010
  10. Mongoiwe

    Katika kuusaka Urais Lowassa ajiita Ustadh Abdalah

    Ni baada ya kufanikiwa Makanisani amekuja na mpya, ameamua kuingia katika jamii ya Waislamu kwa maslai yake, katika mbio zake za kusaka Urais akiwa Jijini Mwanza aliweza 'kujisilimisha' kiaina na kujiita Ustadhi Abdalah, hii ni baada ya kuvishwa Joho maalum kwa kufanikisha upatikanaji wa Milioni...
  11. Mongoiwe

    Lema kuwataja waliomteka Dk. Ulimboka leo Ilala Bungoni

    Leo Jumamosi, Juni 30, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, atakuwa na mkutano wa hadhara Ilala Bungoni. Vyanzo vyangu vya habari, kutoka karibu na Lema vinasema kuwa leo atalipuka sana. Mojawapo ya masuala atakayolipua ni kuwataja...
  12. Mongoiwe

    BURIANI Mhariri Willy Edward tutakukumbuka kwa hili!

    Siyo vyema kumsema marehemu, hivyo name sikusudii kumsema bali kueleza nitakachomkumbuka nacho. Lakini kwa desturi ya makabila ya Wajita, Wakerewe na kabila la Wajaruo ambalo ninaamini marehemu kama mtani wangu, lilikuwa kabila lake (Kama nitakosea kabira nisamehewe), msibani hulia wakati wa...
  13. Mongoiwe

    Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)

    Mfanyabiashara Said Mohammed Saad Utangulizi Mfanyabiashara Said Mohammed Saad anamiliki Kampuni ya Home Shopping Center iliyopo Kariakoo Mtaa wa Swahili na Msimbazi katika Jengo la Ghorofa lenye vioo vilivyochorwa picha za waigizaji wa Kikundi cha Orijino Commedy kinachorusha vipindi...
  14. Mongoiwe

    Majeshi ya Burundi, waasi yapigana ndani ya Tanzania

    Majeshi ya Burundi, waasi yapigana ndani ya Tanzania Send to a friend Sunday, 15 January 2012 10:29 0digg Na Frederick Katulanda MAPAMBANO kati ya majeshi ya Burundi na vikosi vya waasi wanaoipinga Serikali ya nchi hiyo, yamezua hofu kwa...
  15. Mongoiwe

    Mwandishi Richard Masatu ameuawa!

    Kutoka katika Facebooka ya Frederick Katulanda Tarehe Jumatano, Agosti 10, 2011 saa 2:43 mchana: Kumeandikwa hivi:
  16. Mongoiwe

    Mhariri wa New Habari, Danny Mwakitereko apata ajali Dar

    Naibu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New habari (2006) Danny Mwakitereko amepata ajali ya gari jana usiku, jijini Dar es Salaam. Amefanyiwa upasuaji wa kichwa, katika Taasisi ya mifupa Muhimbili, sasa yuko ICU Muhimbili. Taarifa za awali, zinadai kuwa ilikuwa ni usiku aki-drive na bahati...
  17. Mongoiwe

    Mwisho wa kudu na mke mjamzito ni lini

    Ninaomba kuuliza, ikiwa mkeo anamimba, je ni kosa kuendelea kusex naye? Kama siyo kosa je mimba ikifikia miezi mingapi anapaswa kuacha kusex? Nisaidieni jamani.
  18. Mongoiwe

    Ni kweli JK anamiliki Hotel ya Malaika Mwanza?

    Kila uchao yanaibuka, jana nimesikia watu wakidai kuwa hata ile Hoteli ya Mwanza ya Malaika inamilikiwa na JK, na kwamba amemkabidhi mtanzania mwenye asili ya Kiasia kusimamia. Wenye data tupeni ukweli hapa JF.
  19. Mongoiwe

    Wajanja wa Mgodini wachota mamilioni NSSF

    Wajanja wachota mamilioni NSSF Send to a friend Sunday, 27 March 2011 05:43 Frederick Katulanda, Geita WAKATI shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kilifikiria kuwekeza zaidi fedha za wanachama wake katika uzalishaji wa Umeme, imebainika kuwa...
  20. Mongoiwe

    Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu Geita waandamana

    WAFANYAKAZI wa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM) leo wanameandamana na kumtaka mwajiri wao kukitambua chama cha wafanyakazi wa Migodi, nishati na ujenzi (Tamico) ikiwa ni pamoja na kuunda tume huru ya kuchunguza madai ya wenzao wanaoumia kazini. Maandamano hayo ambayo yalianzia mtaa wa...
Back
Top Bottom