Mongoiwe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 524
- 271
Hali siyo shwari ndani ya Kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL) ambayo inatokana na kuathiriwa kwa kiasi kikubwa kipindi hiki katika kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015 ili kuimaliza nguvu Gazeti hilo.
Mpango huu umesukwa vyema na Idara ya Ndani ya Ujajusi kwa kuwa Gazeti hili lilikuwa mwiba mkali kwa Serikali na watawala na hii ikiwa ni awamu ya pili baada ya ----------- kudhibitiwa.
Katika kutekeleza mpango huo, MCL ikimtumia Meneja Raslimali watu (HR) Aika Masawe imeanza mpango wa kuwatimua waandishi wake ambapo katika mpango huo baada ya kushtukiwa na Dennis Msaki aliamua kutimukia Mtanzania huku akibeba timu ya waandishi.
Wakati News Room ikijipanga kuziba pengo la Dennis Msaki na wengine waliotimka, Aika kwa Kushirikiana na CEO mpya Frances Nanai aliyerithi nafasi ya Tido Mhando ambaye pia aliondolewa, walianza mpango wa kupunguza wafanyakazi kwa asilimia 50 ili kujenga ufanisi wa Kampuni hiyo.
Lakini kutokana na Aika kuwa kazini alianza kutekeleza zoezi hilo kwa lengo na nia yake ya kutimua wafanyakazi wazalishaji ikiwa ni pamoja na waandishi wazuri ili kukamilisha adhma yake ya kuua kampuni.
Katika mpango huo ndipo Waandishi kama Nevile Meena waliamua kuachia ngazi na kukimbilia Tanzania Daima (huko anakuwa Managing Editor), Julius Samwel ambaye naye aliamua kuacha kazi naye anakwenda Jambo Leo (kuwa Managing editor) akiungana na Theophil Makunga ambaye pia mwananchi walimtimua kwa kisingizio cha kustaafu.
Mpango umekamilika na sasa orodha ya waandishi wengine 7 wenye nyadhifa za juu inajiandaa kuachia ngazi MCL wiki hii hatua ambayo itaiweka katika hali mbaya zaidi ya sasa.