Video Green Guard wa CCM walipomshambulia mwandishi Fredrick Katulanda 2010

Fred Katulanda, kumbe ulishawashtukia Green Guard zamani sana kuwa wanafanya kazi isiyowahusu, tehe tehe!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu Fred Katulanda! Hizo ni challenge the Investigative journalism! Ni mekucheki Channel ten katika kipindi cha 'Je, tutafika?' Mada: Masahibu yanayowapata waandishi wa habari! Ukweli imenigusa sana matukio yote yaliyokuzonga! Magari ya serikali nayo kubandikwa plate zenye namba binafsi ili kufanya kampeni napo dah! Watanzania tunatakiwa tuamke, la sivyo tutafyonzwa hadi damu! Pole sana mkuu! Hiyo ya mchungaji kuombea watu wakiwa uchi nayo......!
Inakumbusha Machungu sana, kila ninapoiangalia hii.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom