Search results

  1. Kibunago

    Hujuma kwa mstakabali wa Amani, Usalama na Maendeleo ya Taifa letu

    Kwa vile AMA Chombo husika hakijawajibika ipaswayo kwa mujibu wa Sheria iliyokiunda ya na. 15 ya 1996 hususan sehemu II Ibara ya 5 (1) (d) AU kwa Viongozi waliotangulia kutosikiliza/ tekeleza ushauri wao, leo nateremsha ushauri kwa kutaja mambo ambayo yanatafsirika kuwa HUJUMA (kwa kujua au...
  2. Kibunago

    Haki ukweli

    Niliposikiliza speech ya Rais ya mwisho wa mwezi ambayo hakika Aaliongea mengi ya maana sana na kisha wimbo wa Taifa ukasikika; maneno ‘hekima, umoja na amani hizi ni ngao zetu’ nilisikia kuugua sana moyoni. Nikajiuliza hivi kwa nini nisianzishe kitu chenye mfano kama wa HAKI ELIMU; HAKI ARDHI...
  3. Kibunago

    Master j, madam rita na salama siku za kuaibishwa na kulia zaja

    Tunawezaje kuwaamini majaji wa Epic Bongo Stars search hususani kuhusu upigaji wa kura. Kwa nini kusingekuwa na screen counts tuone vividly jinsi watu walivyopiga kura ngapi kwa nani. Nimehisi hujuma ya wazi kwa kijana Norman aliyeondolewa leo. Kuna mazingira matatu ambayo ni ya wazi ambayo...
  4. Kibunago

    Washiriki wa kudumu kipindi cha malumbano ya hoja

    Kuna Washiriki fulani wanaojirudia rudia kila kipindi cha ‘Malumbano ya Hoja ITV’ kama vile, Ibrahim Dimoso (aka mwananchi wa kawaida), Ole, ndg. Aweda, ndg. Ngowi n.k. Je, ina maana hao ndio ‘role models’ wa malumbano ya nguvu au kwamba wao ndio wenye ujuzi mpana wa kila aina ya mada na...
  5. Kibunago

    Timu kamambe ya CCM inayoungwa mkono sana na CHADEMA!

    Hapo chini, ndio timu ya CCM (Musoma) ambayo CHADEMA inapozisoma namba zake, kibwagizo cha CCM- PURESHA INAPANDA INASHUUUKA! (CCM Presha inapanda inashuka - YouTube) kinaanza kupigiwa jalamba. CHADEMA wana kila haki ya kusema "Asante Mungu, mapenzi yako ya M4C yaendelee kutimizwa hapa...
  6. Kibunago

    Tunaanza kuona mwanga wizara ya nishati na madini

    Mh. Stephen Maselle (Naibu Waziri) amesikia akieleza waziwazi kuwakamata na kuwakabidhi kwa RPC viongozi wakuu (wageni) walioshiriki mkakati wa kutorosha dhahabu yetu bila kulipa kodi husika. Huu ni mwanzo mzuri wa uajibikaji bila kuoneana haya wala kuogopa eti sijui huyu ni nani au ana nini...
  7. Kibunago

    Je mkoa wa Mara hauna wa kuwasemea au mikoa mingine ndiyo ina mafundi zaidi?

    Ni mara ya pili nimemsikia Mheshimiwa Zitto, akiongea Bungeni kwa msisitizo kuwa Mwanza Airport ni uwanja nyeti na unatakiwa uendelezwe kuwa Serengeti International Airport hususani kwa ajili ya kuwahudumia wageni (Watalii) na raia kwa ujumla wanaozuru Serengengeti NP. Maswali: ni kwa nini...
  8. Kibunago

    Huyu ndiye Rais mtarajiwa?

    Kwa kutumia chombo cha kupembua pumba kutoka nafaka kiitwacho Truth-JFmeter. Katika kipimo cha efficient leadership scale yafuatayo ndiyo majibu ya uwezo alionao Mheshimiwa Zitto Kabwe katika nyanja ya Uongozi katika baadhi ya sifa zifuatazo:- Intelligence: below average 100%...
  9. Kibunago

    Nina mashaka na uwezo wa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia

    Msomi Mh. Waziri wa Mawasiliano, sayansi na Teknolojia kashindwa kabisa si tu kuwakumbuka Wabunge bali hata kusoma toka kwenye karatasi yake majina yao. Je huyu anawezaje kuleta mapinduzi ya sayansi na teknolojia nchini? Baadaye katika kujibu ilifikia kipindi akasema, "Silvesta Mapumbu, oh...
  10. Kibunago

    Bunge letu letu si lazima kuiga lakini tunaweza kujifunza

    Kuna taarifa (breaking news) sasa kuwa yapata watu 12 wameuwawa Colorado wakiwa katika ukumbi wa sinema nadhani 16 Century. Haya ni maafa yasiyotarajiwa kama yaliyotukuta ya wenzetu Watanzania waliofariki katika ajali ya meli visiwani juzi. Rais Obama na mpinzani wake wamesimamisha shughuli...
  11. Kibunago

    Pascal mayalla aachane na yafuatayo:-

    Akiwa ndani ya Sabasaba na PPR na baada ya kuona bidhaa fulani inayovutia katika banda la maonyesho, hukosi kumsikia akinena, "……….utafikiri vinatoka ulaya…." au atajishtua na kuuliza "………hivi kweli hivi / hizi si ready made……..?". Kaka...
  12. Kibunago

    Mubarak reported clinically dead.

    Aliyekuwa Rais wa Misri Mubarak hali yake kiafya imezidi kuwa mbaya amepelekwa hospitali ya kijeshi katika Ambulance sasa hivi Updates : CNN imetangaza kuwa Mubarak ni Clinically Dead. New Egypt State News Agency report on ousted President. Toppled president Hosni Mubarak has been...
  13. Kibunago

    Demokrasia ni zaidi ya kuwa na wanasiasa ni zaidi ya kuwa wanafalsafa wa enzi

    http://aje.me/KA9s8F Huko Ugriki kwa wabobezi wa falsafa na dhana za demokrasia, mdahalo wa wanasiasa wabadilika kuwa ulingo wa makofi!
  14. Kibunago

    Natoa onyo kali kwa the vavavuu channel

    Wewe unayetumia vibaya na kipuuzi uhuru wako na pia rasilimali TEHAMA nakupa onyo la mwisho. Si ujanja kuposti video zako U-Tube kwa jina la Wasanii maarufu mfano Kanumba (RIP), Bukuku, Rose Muhando n.k huku video zako hazina uhusiano na unayoposti ambayo mara nyingi naona ni mihadhara ya...
  15. Kibunago

    Mgombea W. Malecela aendelee kufundwa!

    Ukiachilia mbali uwezo wa kusimamia / kutekeleza ahadi, kuna Wapiga kura wengi ambao wanamkubali Mgombea au Kiongozi kutokana na jinsi anavyowasilisha hoja! Kwa vile anasema amezaliwa hapa JF- Kisiasa ngoja tuendelee kumfunda namna ya kujiwasilisha ipaswavyo! Ufunguo: §...
  16. Kibunago

    Agenda ya muungano jmt vs mapendekezo mengine ya marekebosho ya katiba

    Kutokana na kile kisemekanacho kuwa changamoto au kero za Muungano wetu, Kwa mtazamo wangu na kwa hekima ya kufuata kanuni ya kuanza kinachostahili KWANZA, bila kumungunya maneno namshauri Mh. Samia Suluhu - Waziri wa Nchi- Muungano kuwa: Agenda ya Watanzania kuamua WANATAKA MUUNGANO WA AINA...
  17. Kibunago

    Waziri wa Uchukuzi, Mh. Omari, mimi ninakuelewa lakini je?

    Waziri wa Uchukuzi , Mh. Omar, mimi ninamwelewa na nimemkubali. Kupitia ITV amesema tuimarishe PPP na sio kutegemea bajeti ikiwa ni pamoja na kukaribisha wawekezaji kwa kuwapa vivutio, kuingia Ubia na pia ubinafsishaji ; tuondoe ukiritimba katika huduma zetu za usafiri na tuongeze...
  18. Kibunago

    Mchango katika kipindi cha hoja cha deogratias na fatma

    Deogratias & Fatma, Hongereni sana kwa kipindi chenu cha Hoja. Leo mmejitahidi zaidi isipokuwa wachangiaji ndio hawakuwa na hoja za nguvu sijui kwa sababu mlichukuwa Mainjinia zaidi ambao tunatania kuwa ni watu wa namba zaidi kuliko malumbano ya kifilosofia na itikadi kama wale ma Social...
  19. Kibunago

    Kwamba akionwa aombwe kwa upole ahame nchi...

    Asubuhi hii Paul Makonda (UVCCM- Moshi Mjini) karudia maneno yake ya jana kupitia ITV lakini kwa msisitizo mpya kuwa RA akionwa popote AOMBWE KWA UPOLE aondoke nchini kwani ndiye chanzo cha ufisadi wote na kwamba ana uhakika kuwa ameshahamisha familia yake na yuko katika mazingira ya kuwa na...
  20. Kibunago

    Mtihani rahisi kupata 100% ni huu hapa

    Maswali rahisi kwa TANESCO au TUICO – TANESCO. Nini tafsiri ya kina ya Tamko la Viongozi wao wa TUICO:-- 1. Kusema kuwa wao hawatalipa Dowans isipokuwa Dowans ilipwe na Serikali: Je serikali ikiilipa Dowans wao hawataumia au kuguswa na hayo malipo (directly or indirectly) kwa vyovyote...
Back
Top Bottom